Kuna shida gani? Vijana wengi wanaohitimu wa kozi ya IT hawawezi kutengeneza website

Kutumia neno IT ktk swala la usanifu wa mtandao na programu mbalimbali si sahihi.

IT kwa muktadha wa Tanzania ni mtu mmoja ambae ni BEGINNER ktk nyanya ya Tech.

Huyu mtu utamkutq ktk ofisi uchwara akipiga OS, kubadiri HDD kufanya installation za App mbalimbali.


Ila kuna mtu anaitwa PROGRAMMER.

huyu pia kagawanyika ktk makundi mawili.

Front end na backend..

Ingawa ndan ya hayo makundi kuna mgawanyiko tena hasa wa lugha.

Kuna kundi ambalo ni versatile anaitwa FULL STACK DEVELOPER huyu full stack pia kagawanyika. Anaweza kuw full stack wa webapp ila sio full stack wa program hizi za kawaida nje ya webapp.


So.. swala la PROGRAMMING ni mtambuka, na lina wataalam wake.

Kusom COMPUTER SCIENCE hakukufanyi uwe mtaalam wa codes.

Mwisho.

Watu wengi hawajui wanataka nini.

Wengi hawajui Tech ilipotokea, ilipo na inaenda wapi.

Wengi hawana interest ya moyoni

Wengi hawana exposure na wala hawaitaki.

Wengi hawajui kwamba Tech inategemea kila aina ya ujuzi.

Mfn ukisoma cyber security ukasema utakuw mtaalam wa udukuzi.. ukaacha kusoma programming languages bado hutotoboa.. maana inafikiq stage inabid kuunda program yako wewe ya kufanya udukuzi au kubadiri syntax za program fulani uiwekee malicious commands (Kuinject Payload) lazima usanifu program. Bila ujuzi wa programming hutoboi.
 
Hawasomi,
Binti yangu nimelipa mamilioni karudi na mimba na kashazaa yule fala katoka baru.
Uzuri najua pa kumpata nikadai hela zangu.
Na ndio atajua bamkwe wake nani
 
Mimi wakati namaliza S.Eng kipindi hcho pia nilikuwa kiazi sana
Ila nilipata internship kwenye taasis moja hivi hapa nashukuru sana nilijifunza vingi na nilikuwa tayari kujifunza
Kuwa developer is more than knowing pl fulani
Its a lerning process ambayo kila siku tunajifunza
Hao vijana unaowadharau
If they are willing to learn na kujitoa wakiwa katika mazingira sahihi wataweza tu
 
Tatizo ma bro wengi mkisikia dogo amesoma IT mnataka kamserereko mkipewa budget mnasema kubwa, kwa sababu tu dogo ni fresh hamlipi website kuna vitu vya kulipia, alafu kuna gharama za muhusika, pia IT ina course nyingi ndani uliemuuliza alikuwa amebase kwenye nini, wengine wameseoma IT ila website walikuwa wanasoma wasipate sap amefatilia sana Network, au database
 
We unawaonea wivu wenzio baada ya kushindwa kusomea hiyo fani. Vijana wa IT wanafanya mambo makubwa zaidi ya website
 
Inatokea pale mtu unachagua course usiyoipenda kutoka moyoni.
 
Mkuu naiomba hiyo kazi mimi.
Chini hapa ni website niliyotengeneza karibuni. Ni products showcase ambayo inaweza kuwa e-commerce. Ina shop na dashboard kwaajili ya admin (laravel, react, typescript tailwindCSS)

Shop

Dashboard

Nyingine


Nina experience ya miaka 4.
 
Pia mkuu wengine wanaenda chuo wana specialize kwenye cyber security, networking n.k kwahiyo sio kila IT/CS anajua software development. Sema kama hawafahamu wangekwambia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…