Kuna shida gani? Vijana wengi wanaohitimu wa kozi ya IT hawawezi kutengeneza website

We jamaa sijuwi unamatatizo gani, eti nani atakuajiri kuandika ethernet driver!!!! Na unaezakuta eti unajiita Engineer (pumba, pumba, pumba) like sirias kabisa mwanafunzi wa Engineering unataka tubishane hapa , eti wanatumia transformer isiyofaa lakini wanafanya kazi katika hali ya kweli (unadesign vitu inefficiently alafu unaita hali za kweli mkuu hizo ni mnatumia nyinyi tu huwezikuta kwenye product iliyokuwa serious) , Mpaka hapo naweza sema basi udsm ni bora kuliko DIT eti hamsomi kama mwajiri wako hataki, Do you guys even enjoy Engineering!!!!!!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kuna mwenzenu mmoja nilimkuta kachanganyikiwa ameunguza prototype aliyokuwa amedesign kama FYP namuuliza ilikuwaje anasema aliweka kwenye umeme wa nyumban, nilicheki schematic yake hakuna sehemu kaweka protection dhidi ya overcurrent wala voltage, nilibaki kucheka eti ndo Engineer πŸ˜‚πŸ˜‚.
hapa mtaani nna powere supply ya wati 10 naitumia almost mwaka sasa na haijwahi kushika hata moto, sio kama hizo zenu mnadesign design kama mafundi tu. Mkuu, hiyo mentality yako ya kusema hujui kisa hakuna atakayekuajiri ufanye ni ya kipuuzi sana ndo mana wengi hamna ubunifu mnaishia kucopy projects za wahindi tu alafu mnaita zenu,
 
Nimekupa challenge, nenda kajaribu kudesign switcher ya Kilohertz 10 kwa MOSFET au BJT au vyovyote unavyotaka (labda useme hujuwi kwakuwa hakuna atakayekuajiri kudesign switcherπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚) mimi usinioneshe wala nini wewe jitathmini mwenyewe, Kama engineering yako ikishindwa kufanya hiko basi wewe sio Engineer ni fundi.
Pale mnajitapa mnajifunza kutengeneza pcb, alafu hawezi hata kusplit power planes πŸ˜‚πŸ˜‚ macrosstalk kibao alafu mnaita PCB. Kama mkipunguza mdomo mkashirikiana na wenzenu mnaowadharau mngefanya vitu vizuri kuliko saivi mnakazi ya kubwabwaja tu
 
Web mbali ivyo,kuna mmoja n rafiki yangu hawezi piga window
 
Hizi elimu za kusoma kwa Google bila vitendo lazima zitoe wanafunzi wasio competant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…