AY 5225
JF-Expert Member
- Jul 16, 2023
- 542
- 1,243
Heshima yenu wakubwa.
Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport?
Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu ambae mzazi wake alizaliwa 1950s na hana cheti cha kuzaliwa ila ana kitambulisho cha uraia, kwenye section ya "cheti cha kuzaliwa cha mzazi" anaweza kuweka picha ya kitambulisho cha uraia cha mzazi wake ama that's not an option?
Any valuable input is much appreciated.