Kama mzazi hana cheti utapeleka Affidavit ya huyo mzazi itakayoonesha majina yake kamili,mwaka aliozalliwa,mkoa alipozaliwa, wilaya na kijijj au kata alipozaliwa.Mimi nilifanya hivi na ndio utaratibu niliopewa uhamiaji wakati wa maombi ya passport yangu..
Kuhusu dreadloocks sifahamu.