Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli.
Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi ujao kwa kuwa kinafuata mlengo wa Dr. Magufuli na mambo mengi aliyoyafanya akiwa hai.
Binafisi sina tatizo na Chama hiki kipya.
Ila naomba wanisaidie kujibu maswali haya
1. Wanafikili Dr.Magufuli kipindi Cha uongozi wake alikubalika sana nchini?? Kama wanaamini hivyo kwa nini yeye mwenyewe uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita 2019 hakuruhusu democrasia ichukue mkondo wake?? badala yake alilazimisha wenyeviti wa mitaa na vijiji washinde wa Chama chake
CC M bila kupingwa?? nini aliogopa??
2. Kama hayati Dr.Magufuli aliamini aliongoza kwa haki na utawala bora hivyo kuamini aliongoza vizuri kwa nini alivuluga uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais wa mwaka 2020. Sote tunajua Wabunge wengi walipita bila kupingwa kuliko uchaguzi wowote ule hapa nchini.
Ushauli wangu kwa Chama hiki kisijipe matumaini hewa ambayo siyo ya kweli Kwa kuwa hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli hakuwa muumini wa Democrasia nje ya chama na ndani ya chamabadala yake alitumia mamlaka na madaraka yake kumpa Ubunge mtu yeyote aliyemtaka yeye.
Rejea akina Kabudi Ndalichako, gwajima, patrobas Katambi, Silinde hawa yeye alishapanga wawe wabunge hata waliposhindwa kura za maoni ndani ya chama alitumia mamlaka yake wakapitishwa kwa hivyo siyo kweli kuwa alikuwa na political influence kiasi kinachosemwa.
Vile vile Dr.Magufuli alikuwa popula mikoa ya kanda ya ziwa hasa Mwanza na Geita na Kanda ya kati na Kwa watu wenye elimu ndogo.Lakini Kaskazini na kusini kule mbeya hakuwa popular na Kwa watu wengi wasomi.
Nihitimishe kwa kurejea maneno ya mheshimiwa Lusinde kuwa tumuache hayati Dr. Magufuli aachwe apumzike kwa amani maana hawezi kujibu. Lakini anaachwaje sasa? Tusimtumie kwa faida yetu ya kisiasa tulio hai maana tukimtumia kupata political populality tutakuwa tumewaruhusu wengine kumsema kinyume chake ili kuleta political demage.
Watanzania Tupendane.