dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... wote hao wana similar traits - roho mbaya!Waanzilishi ni Bashiru, Ndugai, Makonda, Polepole n.k wala hakina jipya sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... wote hao wana similar traits - roho mbaya!Waanzilishi ni Bashiru, Ndugai, Makonda, Polepole n.k wala hakina jipya sn
Lengo la kuandika kuhusu hiki chama ni nini? Kama kinamtumia Hayati Magufuli ambaye hakuwa "popular" sasa wewe unateaeka na nini hadi kuanzisha uzi?Umesoma post yote mkuu au umekimbilia kutoa comment tu.
Kwani lengo la post yeyote Kwenye jukwaa hili ni nini??Lengo la kuandika kuhusu hiki chama ni nini? Kama kinamtumia Hayati Magufuli ambaye hakuwa "popular" sasa wewe unateaeka na nini hadi kuanzisha uzi?
Unauhakika ni wasukuma wote waliunga mkono hayo uyasemayoYupo aliyetaka sana kutugawanyisha na wasukuma wote wakapiga makofi,, mbona hamkumkemea, yeye ndo mwanzilishi wa ukanda na ukabila,,
Umenena vyema mkuu.Unauhakika ni wasukuma wote waliunga mkono hayo uyasemayo
Na kwanini mnapambana na marehemu ambaye hawezi kujibu wala kuwasaidia katika mapambano yenu ya sasa
Usihusishe wasukuma wote kwenye ujinga wako na hili hata hapa JF naona wanalifuga sana
Wasukuma hatuhusiki na udhalimu wowote aliotendewa mtu yoyote
Huyo alietenda alitenda kwa nafsi yake sio kwa usukuma wake maana hakuna sehemu wasukuma tunafundshwa kubagua wenzetu
Wasukuma ni kabila ambalo hata kama umepotea porini tutakusaidia chakula,malazi na tutakuonesha njia sahihi ya kufika kwako maana kwetu UTanzania na utu ni muhimu zaidi kuliko kabila letu
Naomba tuongee zaidi kama watanzania sio mambo ya makabila maana hayajengi.
Ni majambazi tupu... wote hao wana similar traits - roho mbaya!
Asante kaka.Umenena vyema mkuu.