Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Duh.Tundu Lisu aliitisha maandamano nchi nzima akaishia kuandamana yeye mwenyewe kuelekea ubalozi wa mme wake Amsterdam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.Tundu Lisu aliitisha maandamano nchi nzima akaishia kuandamana yeye mwenyewe kuelekea ubalozi wa mme wake Amsterdam.
Ndiyo wenyeweKama ni hawa tujiandae kisaikolojia maana biashara ya watumwa itarudi na mambo ya kutekana
Tuwakaribishe mitaani ndo watajua kama hawajuiNdiyo wenyewe
Wana pension zaoTuwakaribishe mitaani ndo watajua kama hawajui
Haipo tena maishaWaliokuwa wanakula raha kuliko wote,, hahaha, raha imekatika sasa wanahaha wataipataje tena,
Ni wajinga tuu ndio wanaweza chagua chama chenye mlengo huo..Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR.John Pombe Joseph Magufuli.
Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi ujao kwa kuwa kinafuata mlengo wa Dr.Magufuli na mambo mengi aliyoyafanya akiwa hai.
Binafisi sina tatizo na Chama hiki kipya.
Ila naomba wanisaidie kujibu maswali haya 1.Wanafikili Dr.Magufuli kipindi Cha uongozi wake alikubalika sana nchini?? Kama wanaamini hivyo kwa nini yeye mwenyewe uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita 2019 hakuruhusu democrasia ichukue mkondo wake?? badala yake alilazimisha wenyeviti wa mitaa na vijiji washinde wa Chama chake
CC M bila kupingwa?? nini aliogopa??
2.Kama hayati Dr.Magufuli aliamini aliongoza kwa haki na utawala bora hivyo kuamini aliongoza vizuri kwa nini alivuluga uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais wa mwaka 2020.Sote tunajua Wabunge wengi walipita bila kupingwa kuliko uchaguzi wowote ule hapa nchini.
Ushauli wangu kwa Chama hiki kisijipe matumaini hewa ambayo siyo ya kweli Kwa kuwa hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli hakuwa muumini wa Democrasia nje ya chama na ndani ya chamabadala yake alitumia mamlaka na madaraka yake kumpa Ubunge mtu yeyote aliyemtaka yeye.
Rejea akina Kabudi Ndalichako, gwajima, patrobas Katambi, Silinde hawa yeye alishapanga wawe wabunge hata waliposhindwa kura za maoni ndani ya chama alitumia mamlaka yake wakapitishwa kwa hivyo siyo kweli kuwa alikuwa na political influence kiasi kinachosemwa.
Vile vile Dr.Magufuli alikuwa popula mikoa ya kanda ya ziwa hasa Mwanza na Geita na Kanda ya kati na Kwa watu wenye elimu ndogo.Lakini Kaskazini na kusini kule mbeya hakuwa popular na Kwa watu wengi wasomi.
Nihitimishe kwa kurejea maneno ya mheshimiwa Lusinde kuwa tumuache hayati Dr. Magufuli aachwe apumzike kwa amani maana hawezi kujibu.Lakini anaachwaje sasa?? Tusimtumie kwa faida yetu ya kisiasa tulio hai maana tukimtumia kupata political populality tutakuwa tumewaruhusu wengine kumsema kinyume chake ili kuleta political demage.Watanzania Tupendane.
Mjinga weweKwani wewe nani kakuzuia kuzikwa na Mama yako [emoji848][emoji28]
Mkuu, embu elezea vizuri hapo kwa Wasukuma muporwa!kabisa kabisa
kuna waliotumia Uislam wakachemka, kuna waliotumia ukristo wakachemka,wengine walirekodiwa 2015 wakisema sasa zamu yao Walutheran wakapotea, wengine walitumia uchaga wakapotea, wengine wakatumia upemba wakapotea, wengine wakatumia usukuma wakapora nao wakaporwa nakadhalika
Positive thoughts,thanks mkuuNi wajinga tuu ndio wanaweza chagua chama chenye mlengo huo..
Hata hivyo Kwa kuwa jamii yetu imeasisiwa na watu wenye mlengo wa ujamaa ambao mda mwingi wanaongea saaana na kutumia propaganda na nguvu kubwa kulazimisha mawazo yao sio ajabu vyama vya watu wa hivyo kutokea..
Hata France yupo Le Pan wa msimamo mkali so wanaoamini kwenye msingi wa ukweli na uliberali hawawezi shabikia vyama vya kipuuzi kama hivyo..
Hao ndio wanaaminisha wanyonge kuwa wanapambana na ufisadi kwa maigizo ilhali wao ndio majizi makubwa,ndivyo inatokea hata Russia na Putin..
Imagine watu hawatengenezi fursa za biashara kwa vijana,hawatoi ajira na wanapambana na wafanyabiashara kuharibu biashara zao eti nao wanataka kuwa viongozi..
Watu walioua private sector hawafai kabisa kuchaguliwa,sijui wajinga na maskini walisaidiwa vipi na kina Magufuli kutoka kwenye umaskini wao.
Mbona wewe mwenyewe ni hayawani; tena wa kutupwa?Umekujaje na Tundu Lissu hapa kama siyo hayawani wewe?
Wizi wa kura 2019 na 2020 kama dhana ya kutokukubalika kwa Magufuli kwa kura za wananchi? Mbona haijajibiwa?Mkuu umeandika vyema lakini naomba ibaki kuwa ni hisia zako.
Magufuli alikua binadamu amefanya mengi mazuri na mengine mabaya yamefanyika chini ya utawala wake. Kutokana na uhalisia huu, ni akili ya mtu ndio itaamua ichukue lipi katika yote aliyoyafanya, sisi wanaumoja tunamuona kama kiongozi mzalendo wa kupigiwa mfano aliyeekuwa na dhamira ya dhati kuhakikisha Tanzania inasonga mbele kiuchumi na kuacha kuwa taifa dhalili la kutembeza bakuli. Umaskini ulikua ni gonjwa baya kwake hivyo alifanya kila mbinu kuhakikisha tunajikwamua kwayo
Wengine wanamuona kama kiongozi mbaya na aliyekosa utu. Hatuwezi kuwapinga hao kwani mhusika amekwisha ondoka
Umoja Party kama taasisi itajumuisha watu wa kada na namna mbalimbali hivyo tuyachukua yale mema kwa nchi yetu na kuyahuburi hayo kwa watanzania wote.
Kuhusu mapokeo naomba tuache muda useme nanihakika ya kila mwanaumoja kwamba tutashinda tena na zaidi ya kushinda kwa sababu Umoja ni Nguvu na Umoja haujawahi kushindwa na lolote
Wafwa!!Waliokuwa wanakula raha kuliko wote,, hahaha, raha imekatika sasa wanahaha wataipataje tena,
Mkuu umeandika vyema lakini naomba ibaki kuwa ni hisia zako.
Magufuli alikua binadamu amefanya mengi mazuri na mengine mabaya yamefanyika chini ya utawala wake. Kutokana na uhalisia huu, ni akili ya mtu ndio itaamua ichukue lipi katika yote aliyoyafanya, sisi wanaumoja tunamuona kama kiongozi mzalendo wa kupigiwa mfano aliyeekuwa na dhamira ya dhati kuhakikisha Tanzania inasonga mbele kiuchumi na kuacha kuwa taifa dhalili la kutembeza bakuli. Umaskini ulikua ni gonjwa baya kwake hivyo alifanya kila mbinu kuhakikisha tunajikwamua kwayo
Wengine wanamuona kama kiongozi mbaya na aliyekosa utu. Hatuwezi kuwapinga hao kwani mhusika amekwisha ondoka
Umoja Party kama taasisi itajumuisha watu wa kada na namna mbalimbali hivyo tuyachukua yale mema kwa nchi yetu na kuyahuburi hayo kwa watanzania wote.
Kuhusu mapokeo naomba tuache muda useme nanihakika ya kila mwanaumoja kwamba tutashinda tena na zaidi ya kushinda kwa sababu Umoja ni Nguvu na Umoja haujawahi kushindwa na lolote
Wasukuma wana matatizo sana, vipi chama lao la Umoja wa wasukuma limeanza kupwaya, sasa wanapiga promo kila mahali kupima upepo.
Ule upendeleo kwa Sukuma Gang hamna tena hata mkitapatapa,
Vip hiki ndo kile chama Gwajima aliwaambia wasukuma wote waunde ndo hiki tayari Umoja Party?
Hakuna jambo sipend kama mtu wa aina yako kuattack kabila lingine
Mimi ni msukuma+mchaga na nayapenda sana makabila yote hayo
Acha ukabila hauna manufaa kwako wala kwa Taifa letu.
Chaguzi zote zilikwenda vizuri wenye kulalamika si wangekwenda mahakamani? Acheni fitina bwanaNa Mimi hawa umoja party nawaona wanaelekea huko ndo maana nimeomba wanijibu maswali mawili kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Kama umoja ni nguvu, mbona nchi yetu kabla ya dhalimu ilikuwa na umoja lakini bado ni masikini?Mkuu umeandika vyema lakini naomba ibaki kuwa ni hisia zako.
Magufuli alikua binadamu amefanya mengi mazuri na mengine mabaya yamefanyika chini ya utawala wake. Kutokana na uhalisia huu, ni akili ya mtu ndio itaamua ichukue lipi katika yote aliyoyafanya, sisi wanaumoja tunamuona kama kiongozi mzalendo wa kupigiwa mfano aliyeekuwa na dhamira ya dhati kuhakikisha Tanzania inasonga mbele kiuchumi na kuacha kuwa taifa dhalili la kutembeza bakuli. Umaskini ulikua ni gonjwa baya kwake hivyo alifanya kila mbinu kuhakikisha tunajikwamua kwayo
Wengine wanamuona kama kiongozi mbaya na aliyekosa utu. Hatuwezi kuwapinga hao kwani mhusika amekwisha ondoka
Umoja Party kama taasisi itajumuisha watu wa kada na namna mbalimbali hivyo tuyachukua yale mema kwa nchi yetu na kuyahuburi hayo kwa watanzania wote.
Kuhusu mapokeo naomba tuache muda useme nanihakika ya kila mwanaumoja kwamba tutashinda tena na zaidi ya kushinda kwa sababu Umoja ni Nguvu na Umoja haujawahi kushindwa na lolote
Takataka umeandika Magu atabaki kuwa Magu tuKuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR.John Pombe Joseph Magufuli.
Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi ujao kwa kuwa kinafuata mlengo wa Dr.Magufuli na mambo mengi aliyoyafanya akiwa hai.
Binafisi sina tatizo na Chama hiki kipya.
Ila naomba wanisaidie kujibu maswali haya 1.Wanafikili Dr.Magufuli kipindi Cha uongozi wake alikubalika sana nchini?? Kama wanaamini hivyo kwa nini yeye mwenyewe uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita 2019 hakuruhusu democrasia ichukue mkondo wake?? badala yake alilazimisha wenyeviti wa mitaa na vijiji washinde wa Chama chake
CC M bila kupingwa?? nini aliogopa??
2.Kama hayati Dr.Magufuli aliamini aliongoza kwa haki na utawala bora hivyo kuamini aliongoza vizuri kwa nini alivuluga uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais wa mwaka 2020.Sote tunajua Wabunge wengi walipita bila kupingwa kuliko uchaguzi wowote ule hapa nchini.
Ushauli wangu kwa Chama hiki kisijipe matumaini hewa ambayo siyo ya kweli Kwa kuwa hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli hakuwa muumini wa Democrasia nje ya chama na ndani ya chamabadala yake alitumia mamlaka na madaraka yake kumpa Ubunge mtu yeyote aliyemtaka yeye.
Rejea akina Kabudi Ndalichako, gwajima, patrobas Katambi, Silinde hawa yeye alishapanga wawe wabunge hata waliposhindwa kura za maoni ndani ya chama alitumia mamlaka yake wakapitishwa kwa hivyo siyo kweli kuwa alikuwa na political influence kiasi kinachosemwa.
Vile vile Dr.Magufuli alikuwa popula mikoa ya kanda ya ziwa hasa Mwanza na Geita na Kanda ya kati na Kwa watu wenye elimu ndogo.Lakini Kaskazini na kusini kule mbeya hakuwa popular na Kwa watu wengi wasomi.
Nihitimishe kwa kurejea maneno ya mheshimiwa Lusinde kuwa tumuache hayati Dr. Magufuli aachwe apumzike kwa amani maana hawezi kujibu.Lakini anaachwaje sasa?? Tusimtumie kwa faida yetu ya kisiasa tulio hai maana tukimtumia kupata political populality tutakuwa tumewaruhusu wengine kumsema kinyume chake ili kuleta political demage.Watanzania Tupendane.
Uwe na subira nduguKama umoja ni nguvu, mbona nchi yetu kabla ya dhalimu ilikuwa na umoja lakini bado ni masikini?
Hicho umoja party kimejivika koti la dhalimu wakiamini kuwa alikuwa anakubalika. Sasa ingieni field mjue ni jinsi gani watu hawamkubali dhalimu.