Kuna Sifa nyingi Kwenye social media Kuhusu Chama kimpya kiitwacho Umoja Party

Kama wanafikri Magufuli wao alikuwa anakubalika na wananchi wengi tunawasubiri mitaani waone kama kuna mtu atakayethubutu kujiunga na chama kinachounga mkono sera za Magufuli za kuteka na kupiga watu risasi mchana kweupe kama mashetani vile.
 
Ni wajinga tuu ndio wanaweza chagua chama chenye mlengo huo..

Hata hivyo Kwa kuwa jamii yetu imeasisiwa na watu wenye mlengo wa ujamaa ambao mda mwingi wanaongea saaana na kutumia propaganda na nguvu kubwa kulazimisha mawazo yao sio ajabu vyama vya watu wa hivyo kutokea..

Hata France yupo Le Pan wa msimamo mkali so wanaoamini kwenye msingi wa ukweli na uliberali hawawezi shabikia vyama vya kipuuzi kama hivyo..

Hao ndio wanaaminisha wanyonge kuwa wanapambana na ufisadi kwa maigizo ilhali wao ndio majizi makubwa,ndivyo inatokea hata Russia na Putin..

Imagine watu hawatengenezi fursa za biashara kwa vijana,hawatoi ajira na wanapambana na wafanyabiashara kuharibu biashara zao eti nao wanataka kuwa viongozi..

Watu walioua private sector hawafai kabisa kuchaguliwa,sijui wajinga na maskini walisaidiwa vipi na kina Magufuli kutoka kwenye umaskini wao.
 
Mkuu, embu elezea vizuri hapo kwa Wasukuma muporwa!
 
Positive thoughts,thanks mkuu
 
Wizi wa kura 2019 na 2020 kama dhana ya kutokukubalika kwa Magufuli kwa kura za wananchi? Mbona haijajibiwa?
 
Hujajibu maswali kwa nini uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa na figusu kama jiwe alikuwa anakubalika.

Kwa nini haukuachwa uwe uhuru na haki?
 
Hakuna jambo sipend kama mtu wa aina yako kuattack kabila lingine

Mimi ni msukuma+mchaga na nayapenda sana makabila yote hayo

Acha ukabila hauna manufaa kwako wala kwa Taifa letu.
 
Hakuna jambo sipend kama mtu wa aina yako kuattack kabila lingine

Mimi ni msukuma+mchaga na nayapenda sana makabila yote hayo

Acha ukabila hauna manufaa kwako wala kwa Taifa letu.

Yupo aliyetaka sana kutugawanyisha na wasukuma wote wakapiga makofi,, mbona hamkumkemea, yeye ndo mwanzilishi wa ukanda na ukabila,,
 
Na Mimi hawa umoja party nawaona wanaelekea huko ndo maana nimeomba wanijibu maswali mawili kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Chaguzi zote zilikwenda vizuri wenye kulalamika si wangekwenda mahakamani? Acheni fitina bwana
 
Kama umoja ni nguvu, mbona nchi yetu kabla ya dhalimu ilikuwa na umoja lakini bado ni masikini?

Hicho umoja party kimejivika koti la dhalimu wakiamini kuwa alikuwa anakubalika. Sasa ingieni field mjue ni jinsi gani watu hawamkubali dhalimu.
 
Takataka umeandika Magu atabaki kuwa Magu tu
 
Kama umoja ni nguvu, mbona nchi yetu kabla ya dhalimu ilikuwa na umoja lakini bado ni masikini?

Hicho umoja party kimejivika koti la dhalimu wakiamini kuwa alikuwa anakubalika. Sasa ingieni field mjue ni jinsi gani watu hawamkubali dhalimu.
Uwe na subira ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…