Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

👏👏👏👏
 
hay

haya kiongozi, umetupatia historia ya diamond. nafikiri kiba alishapambana zamani tu na ndo maana yupo hadi leo, kinachotisha ni kwamba kwanini anafuatwafuatwa mno na wenye mafanikio zaidi yake?
Jibu ni kwamba, Diamond ni tishio,hawezejaniki na kashindikana. Hivyo waache kushindana naye.
Kama ameweza kudukua google/utube na kupanga views anavyataka huoni huyu jamaa hawezekaniki!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee,ashukuru anafuatiliwa!!!!

[emoji16][emoji16][emoji16]mnaanza kujihusisha na mafanikio yake sasa.kweli mchawi hajifichi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa zima la nchi gani,? Peleka uongo wako kwenye vilabu vya pombe za kienyeji
 
unafikiri kwenye hilo eneo wewe unajua zaidi kuliko yeye?!!!
!!
Kuliko yeye, "yeye nani"?! Na kujua nini?!
haya, kwahiyo hapo tunaweza kusemaje pale ambapo kina harmonize, mdee wanaomzidi followers kiba kazi zao zinazidiwa kiurahisi tu na kiba katika views?

kwanini kazi za huyu tu ndo views zinaganda na kurudishwarudishwa kila mara?!!!!
Sasa anawezaje kuwazidi wakati umeshasema anahujumiwa?!

In short mashabiki wa Kiba mnapenda kulia lia na wala hamjui system ya YouTube inafanya vipi kazi!!

Hakuna suala la kuganda... hicho mnachoita kuganda ni jambo la kawaida kupitia YouTube! Inavyokuwa ni kwamba, YouTube wanatumia bots (software) kukagua akaunti mbalimbali za YouTube, na hiyo kazi ni 24/7!

Hawa bots hawakagui accounts za Kiba ambae hata kumjua hawamjui bali wanapitia accounts mbalimbali! Bots zikikuta kuna suspicious clicks, accounts huwa zinakuwa "in hold" ku-evaluate fake na real views!

Lakini hata account ikiwa in hold, Views counting inaendelea "back office"!

Kama kuna fake views, zinafyekwa kisha akaunti inaendelea pale ilipoishia na itajumlisha views zote zilizokuwa counted back office!

Assume akaunti ilikuwa "on hold" wakati ina Views 900,000 na back office zika-count new real views 80,000 lakini katika kukagua zile 900,000 ikaonekana 10,000 ni fake!

Akaunti ikisharudi kwenye hali yake, itaonesha Views 900,000 - 10,000 +80,000 = 970,000!!

Kwa watu wa IT na Digital Marketers wanaifahamu vizuri sana website ya Hubspot! Msome hapa mmoja wa watumiaji wa huo mtandao akizungumzia hilo suala:-
Na Google wenyewe wanazungumzia hilo suala:- Kwahiyo hayo madai yenu ni porojo na hilo suala linaweza kutokea kwenye akaunti yoyote!!

Au pitia kwenye quora hapa, na hapo kwa chini utakuta posts kibao raia wakijadili hilo suala.

Na YouTube wanafanya hivyo kwa sababu kampuni zinatumia millions of dollars kuweka matangazo yao YouTube!! So, hili kuhakikisha matangazo yao yanaonekana na watu halisi na sio "watu fake/Fake Viewers" ndo hapo Google/YouTube walipotengeneza algorithm zinazopitia hizi accounts 24/7 kuhakikisha no fake views!!
 
followers kitu gani,unatumia akili gani[emoji16][emoji16]

impact ya anty ezekiel unaweza ukailinganisha na alikiba???au unaandika andika tu???

views 1.5 mln now,bado una swali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu taja Followers wa Ali kiba maana naona unabwabwa tu kama kenge aliyekatwa mkia
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zimeshuka tena saa hizi wimbo una views laki 6,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu taja Followers wa Ali kiba maana naona unabwabwa tu kama kenge aliyekatwa mkia
Labda ngoja nikuambie jambo moja: You're too low to argue with... in short, sina muda wa kubishana na majuha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…