Kuna Siku Spika ataoneka Shujaa ile kura ya kutokuwa na imani ikiitishwa

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Muda ni Matokeo kwa Mwenendo wa boss lady kuna kura ya kutokuwa na imani itafuata muda si rafiki labda aweke kinga zake vizuri... na kimbunga jobu ataonekana Shujaa haswa... japo anaukichaa time will tell
 
Kama kuna uwezo huu kwanini kusitolewe shindano kwa graduates watakao kuja na business proposal nzuri wakopeshwe milioni 50 wapewe grace period ya miaka miwili kabla hawajaanza marejesho na kodi.

Ninauhakika watazalisha ajira nyingi kwa vijana na kuongeza. mzunguko wa pesa mitaani.
 
Sijui Watu mmejaza kamasi gani kichwani maana hamuelewi kila Siku tunarudia,bunge halina nguvu Wala uwezo huo hapa TZ.
Wewe sikushangai sababu watu wa kwanza kuchangia mada wa jf huwa ni matahahira na hii iko proven soma tread bora zote jf... you are the one too
 
Wewe sikushangai sababu watu wa kwanza kuchangia mada wa jf huwa ni matahahira na hii iko proven soma tread bora zote jf... your the one too
Kwanza usijaribu kuandika kiingereza maana hujui 'your Vs you are'.

Kwa hiyo Kwa ujuha wako unaona hii ni thread bora? Ubora wa thread ni hoja zilizomo, ushahidi,utafiti na uchambuzi.

Sasa wewe kenge usiyejua kwamba Katiba iliyotoa nguvu ya kisheria Kwa bunge kumuengua Rais Kwa kupitia mchakato wa Siku kadhaa imetoa pia nguvu Kwa Rais kulivunja bunge bila kupitia mchakato wowote wala kuhojiwa na yeyote.
Bado unaamini kwamba bunge linaweza kumuengua Rais
Kwamba Wakati wanaanza mchakato Siku kadhaa mpaka kufikia tarehe ya kura yeye atakuwa amelala fofofo.

Ukiwa unaandika fikiri kwanza sio unajitutumua kujaza JF Kwa utumbo Kama huu
 
Kama kuna uwezo huu kwanini kusitolewe shindano kwa graduates watakao kuja na business proposal nzuri wakopeshwe milioni 50 wapewe grace period ya miaka miwili kabla hawajaanza marejesho na kodi.

Ninaihakika watazalisha ajira nyingi kwa vijana na kuongeza. mzunguko wa pesa mitaani.
Kamanda hii inahusiana na alichoandika bwashee? Naona kama ungeanzishia siredi yake ungepata mawazo mazuri ya wachangiaji
 
Kwanza usijaribu kuandika kiingereza maana hujui 'your Vs you are'.

Kwa hiyo Kwa ujuha wako unaona hii ni thread bora? Ubora wa thread ni hoja zilizomo, ushahidi,utafiti na uchambuzi.

Sasa wewe kenge usiyejua kwamba Katiba iliyotoa nguvu ya kisheria Kwa bunge kumuengua Rais Kwa kupitia mchakato wa Siku kadhaa imetoa pia nguvu Kwa Rais kulivunja bunge bila kupitia mchakato wowote wala kuhojiwa na yeyote.
Bado unaamini kwamba bunge linaweza kumuengua Rais
Kwamba Wakati wanaanza mchakato Siku kadhaa mpaka kufikia tarehe ya kura yeye atakuwa amelala fofofo.

Ukiwa unaandika fikiri kwanza sio unajitutumua kujaza JF Kwa utumbo Kama huu
Huna akili wewe ki.ma, unahisi Rais anaeweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge anakubalika na wananchi? Rais asokubalika na wananchi hana uwezo wa kulivunja Bunge sababu ukivunja Bunge lazima uitishe uchaguzi mkuu upya na hapo chama chako au wananchi watakuondoa..Bunge ni kielelezo cha wananchi, Bunge lisipokukubali ujue the majority ya wananchi hawakukubali.
 
SSH ni hasara kwa taifa, ukimsikiliza unaweza pata kichefuchefu na kutamani kutapika, she’s so naive, CCM wakimuacha hadi 2030 chama kinakufa.

She is being told what to do. Hana maamuzi na mipango na njozi zake binafsi kwa maendeleo ya taifa. Kama angezunguka kujitafutia kura za Urais wake mwenyewe kama alivyofanya JPM, kamwe asilani, asingefanya madudu haya.
 
Huna akili wewe ki.ma, unahisi Rais anaeweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge anakubalika na wananchi? Rais asokubalika na wananchi hana uwezo wa kulivunja Bunge sababu ukivunja Bunge lazima uitishe uchaguzi mkuu upya na hapo chama chako au wananchi watakuondoa..Bunge ni kielelezo cha wananchi, Bunge lisipokukubali ujue the majority ya wananchi hawakukubali.

Excellent
 
Kwanza usijaribu kuandika kiingereza maana hujui 'your Vs you are'.

Kwa hiyo Kwa ujuha wako unaona hii ni thread bora? Ubora wa thread ni hoja zilizomo, ushahidi,utafiti na uchambuzi.

Sasa wewe kenge usiyejua kwamba Katiba iliyotoa nguvu ya kisheria Kwa bunge kumuengua Rais Kwa kupitia mchakato wa Siku kadhaa imetoa pia nguvu Kwa Rais kulivunja bunge bila kupitia mchakato wowote wala kuhojiwa na yeyote.
Bado unaamini kwamba bunge linaweza kumuengua Rais
Kwamba Wakati wanaanza mchakato Siku kadhaa mpaka kufikia tarehe ya kura yeye atakuwa amelala fofofo.

Ukiwa unaandika fikiri kwanza sio unajitutumua kujaza JF Kwa utumbo Kama huu
Your vs you are ni ugonjwa wa vilazza wengi
 
Kama kuna uwezo huu kwanini kusitolewe shindano kwa graduates watakao kuja na business proposal nzuri wakopeshwe milioni 50 wapewe grace period ya miaka miwili kabla hawajaanza marejesho na kodi.

Ninaihakika watazalisha ajira nyingi kwa vijana na kuongeza. mzunguko wa pesa mitaani.
Hujawahi kuniangusha yaan, big up mommy
 
Back
Top Bottom