Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
lilikuwa na uwezo kwa ELSijui Watu mmejaza kamasi gani kichwani maana hamuelewi kila Siku tunarudia,bunge halina nguvu Wala uwezo huo hapa TZ.
EL was powerful mkuu
Usitukane pia, hoja inaweza au unaweza kuongea bila matusi
Duniani kila kitu kinawezekana kwa sababu ya msukumo fulani