lilikuwa na uwezo kwa ELSijui Watu mmejaza kamasi gani kichwani maana hamuelewi kila Siku tunarudia,bunge halina nguvu Wala uwezo huo hapa TZ.
Sawa, lakini vingine haviwezekani...lilikuwa na uwezo kwa EL
EL was powerful mkuu
Usitukane pia, hoja inaweza au unaweza kuongea bila matusi
Duniani kila kitu kinawezekana kwa sababu ya msukumo fulani
Mkuu hujitambui kamwe, Samia na jpm wote walizunguka kutafuta kura.Labda una chuki binafsi na Samia.Kama Kuna mtu anamshauri Samia, huyo Ni mzalendo hasa.Mama kafanikiwa kuituliza nchi kiasi chake, tuache unafikiShe is being told what to do. Hana maamuzi na mipango na njozi zake binafsi kwa maendeleo ya taifa. Kama angezunguka kujitafutia kura za Urais wake mwenyewe kama alivyofanya JPM, kamwe asilani, asingefanya madudu haya.
Kumbuka pia bunge lile kilikuwa na makali sio Kama hili.lilikuwa na uwezo kwa EL
EL was powerful mkuu
Usitukane pia, hoja inaweza au unaweza kuongea bila matusi
Duniani kila kitu kinawezekana kwa sababu ya msukumo fulani
Nani anapenda kurudi kwenye uchaguzi?? Ndiyo huna imani naye vipi naye akilivunja bunge?? Tanzania ya CCM haijafikia hukoMuda ni Matokeo kwa Mwenendo wa boss lady kuna kura ya kutokuwa na imani itafuata muda si rafiki labda aweke kinga zake vizuri... na kimbunga jobu ataonekana Shujaa haswa... japo anaukichaa time will tell
Hizo ni ndoto!! Hakuna wa kuitisha hiyo kura...pengine hujui inaleta uchaguzi mpya...hao wabunge wengi wamepata ubunge kwa nguvu ya aliepita. Halitokei!.....Muda ni Matokeo kwa Mwenendo wa boss lady kuna kura ya kutokuwa na imani itafuata muda si rafiki labda aweke kinga zake vizuri... na kimbunga jobu ataonekana Shujaa haswa... japo anaukichaa time will tell
Haahaa bunge hili lirudi kwenye uchaguzi.haahaa Ni ngumu kumezaNdio maana kumbe mlipandikiza wabunge wenu ili kujiongezea muda wa kutawala na kujilinda na vote of no confidnece kutoka kwa kina ZZK...
Kabla hamjafika huko Mama analivunjilia mbali bunge tunarudi kwenye uchaguzi na wabunge wenu mliowekana tunakata wote mapeeema.. yaani ndio tunawapoteza kabisa labda mkaazishe sasa vikundi vya uasi..
Muda ni Matokeo kwa Mwenendo wa boss lady kuna kura ya kutokuwa na imani itafuata muda si rafiki labda aweke kinga zake vizuri... na kimbunga jobu ataonekana Shujaa haswa... japo anaukichaa time will tell
Kumbuka pia bunge lile kilikuwa na makali sio Kama hili.
Bunge chini ya Samweli Sitta na Makinda halikuwa la mchezo
umetumia emotionNdio maana kumbe mlipandikiza wabunge wenu ili kujiongezea muda wa kutawala na kujilinda na vote of no confidnece kutoka kwa kina ZZK...
Kabla hamjafika huko Mama analivunjilia mbali bunge tunarudi kwenye uchaguzi na wabunge wenu mliowekana tunakata wote mapeeema.. yaani ndio tunawapoteza kabisa labda mkaazishe sasa vikundi vya uasi..
Mkuu hujitambui kamwe, Samia na jpm wote walizunguka kutafuta kura.Labda una chuki binafsi na Samia.Kama Kuna mtu anamshauri Samia, huyo Ni mzalendo hasa.Mama kafanikiwa kuituliza nchi kiasi chake, tuache unafiki
SSH ni hasara kwa taifa, ukimsikiliza unaweza pata kichefuchefu na kutamani kutapika, she’s so naive, CCM wakimuacha hadi 2030 chama kinakufa.
Asilimia kubwa ya wabunge mle bungeni hawana uwezo zaidi ya mipasho, spika wao muda mwingi kuvunja katiba na kurusha vijembe kwa kina mbowe na lissu.Wakati kanuni haziruhusu.Spika ameanza kusifia wabunge wa darasa la Saba.Sio kwa bunge hilo la majizi ya kura. Hakuna mbunge hata mmoja huko ndani anataka uchaguzi, hasa uchaguzi wenyewe ukiwa halali maana 75% hawatarudi. Hilo bunge ni kibogoyo fullstop.
Huna akili wewe ki.ma, unahisi Rais anaeweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge anakubalika na wananchi? Rais asokubalika na wananchi hana uwezo wa kulivunja Bunge sababu ukivunja Bunge lazima uitishe uchaguzi mkuu upya na hapo chama chako au wananchi watakuondoa..Bunge ni kielelezo cha wananchi, Bunge lisipokukubali ujue the majority ya wananchi hawakukubali.
lilikuwa na uwezo kwa EL
EL was powerful mkuu
Usitukane pia, hoja inaweza au unaweza kuongea bila matusi
Duniani kila kitu kinawezekana kwa sababu ya msukumo fulani