1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
- Thread starter
- #241
Nakuelewa, lakini kuna sehemu moja muhimu unachanganya: kutokuwa na uthibitisho wa Mungu hakuthibitishi kwamba Mungu hayupo.Mimi ninayesema Mungu hayupo sina mzigo wa kuthibitisha Mungu ana sababu ya kuruhusu suffering.
Kwa sabau, kama Mungu hayupo, hana sababu ya kuruhusu suffering, suffering inatokea kwa sababu Mungu hayupo.
Kutoka upande wangu, sina sababu wala mzigo wa kuthibitisha Mungu anaruhusu suffering.
Ila wewe, unayesema Mungu yupo, ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha Mungu anaruhusu siffering.
Hunathibitisha hata Mungu yupo, let alone anaruhusu suffering.
Unarudia rudia "inawezekana". Ukisema "inawezekana" hapo maana yake kuna uoande wa pili kuwa inawezekana isiwe hivyo pia. Sasa unathibitishaje ukweli uko wapi?
Nimekuwekea contradictions kemkem hapa unaziruka kwa sababu huzipendi zina expose uongo kagika hoja yako ya Mungu kuwapo.
Inaonekana huna interwst na hizo contradictions una intwrest ya kumtetea Mungu wako, ambaye huwezi hata kuthibitisha kwamba yupo.
Kuhusu kubadikisha mawazo, sasa Mungu akiwa kashapanga tangu awali atafanya hivi hapo kabadikisha mawazo kivipi?
Mungu anaweza kubadilisha nawazo au hawezi? Kwa namna yoyote ile. Hujajibu unarukaruka tu.
Thibitisha Mungu yupo.
Nimeonesha contradictions za Mungu omnipotent, omniscuent na omnibenevikent lakini huzitaki.
Unakuja na pingamizi za kijinga za kidini za "the lord works in mysterious ways" tu.
Kwa sasa unani bore tu, unarudia wooden arguments za kukwepa hoja wala sioni maana kuendelea kujibizana nawe.
I do not find that interesting and it is frankly wasting my time.
Umesema wewe huna mzigo wa kueleza kwa nini suffering ipo kwa sababu unaamini Mungu hayupo. Sawa—lakini hapo bado unahitaji kuonyesha kwa nini conclusion yako “Mungu hayupo” inafuata kimantiki. Ukisema tu “sijaona sababu ya Mungu kuruhusu suffering”, hiyo si proof ya kutokuwepo kwake.
Kuhusu “inawezekana”, sikusema inawezekana = ni kweli. Nimesema hoja yako haijathibitisha contradiction ya lazima. Kama unaweza kuonyesha kwamba Mungu mwenye omnipotence, omniscience na omnibenevolence hawezi kimantiki kabisa kuumba ulimwengu wenye suffering, basi hapo umeweka contradiction halisi. Lakini kusema “Mungu angeweza kuzuia suffering, kwa hiyo hana sababu ya kuiacha” bado hakuthibitishi kwamba hakuna sababu yoyote inayowezekana.
Na kuhusu kubadili mawazo: Mungu kujua tangu mwanzo kwamba atafanya X si sawa na kusema hawezi kubadili X. Swali ni kama “kubadili” kunamaanisha Mungu alikuwa na knowledge ya uongo hapo awali. Kama Mungu ni omniscient, tatizo lako linahitaji kulenga hilo moja kwa moja.
Kwa hiyo tusibishane kwa “mysterious ways”. Chukua contradiction moja tu unayoiona ni ya lazima, iandike kwa premises → conclusion, halafu tui-test moja moja.
Mimi niko tayari kuijadili. Lakini “huwezi kuthibitisha Mungu yupo” na “Mungu hawezi kuwepo” ni madai mawili tofauti.