Si ni kwa sababu corona imepewa kiki ila mbona hutumii muda humu kuzungumzia hayo magonjwa mengine hata malaria ambayo nayo inaondoa watu sana tu? Ndio maana nakwambia kama si corona kupewa kiki basi usingekuja kupiga kelele humu za kuhusu corona.sipotezi muda
Hutakufa kabisa. Wewe utaishi mileleNatumaini sitokufa kwa sababu ya ujinga.
Lini watu waliacha kufa?Watu wanakufa balaa.
Unarudia tu vitu ambavyo tumeanza kuvisikia toka mwaka jana, tatizo sio ugonjwa wenyewe bali ni jinsi watu walivyoukuza huu ugonjwa na ndio tatizo lilipo. Wanaoumwa na kupona ni wengi kuliko wanaofariki ila ajabu muda wote vinaelezewa vifo tu, nakumbuka wakati huu ugonjwa bado upo China tulikataa hata wale wanafunzi wa kitanzania kule China kurudishwa kwa kuhofia kuleta ugonjwa ambao tuliona hatuuwezi hata kidogo.Korona inaweza usiuue kama Malaria na UKIMWI, lakini Ogopa sana airborne diseases. hizi ni tofauti na malaria na ukimwi. Plague ya miaka ya 1300(black death) na Spanish Influenza zote ni Airborne. Ziliuwa kwa kutisha. mwanzoni hii black death ilikuwa inaambukizwa kwa kung'atwa na viroboto wa 'panya' ambao walikuwa wanakudunga bakteria Yersinia Pestis. Sasa huyu mdudu akajigeuza, akaingia kwenye mapafu na kuweza kuambukizwa kwa njia ya hewa. hapo ndipo mamilioni ya watu wakaanza kufa. usifananishe aiborne diseases na vitu kama Malaria. huu ugonjwa unapotential ya kuua watu wengi kuliko UKIMWI na Malaria. au tuseme magonjwa yote yakiwekwa pamoja.
Hao madaktari unaowaamini wanasemaje kuhusu chanjo? Wengi wanaochanja wanajua kwanini wanachanja. Wengi wanaokataa chanjo hawajui kwanini wanakataa.Mbona hata huko hospitali tunafuata tu kila tunachoambiwa na daktari huku tukiamini yeye anajua kila kitu kwa sababu kasoma ni daktari, lakini uhalisia haupo hivyo. Hata hao waliyochanja si kwamba wote wamepata elimu ya chanjo ila wengi ni mkumbo tu, mtu kakaa kijiweni kaona wenzie wamechanja na yeye akaenda kuchanja wengine toka utu uzima hajachanja chanjo yeyote basi ushamba tu akaona nae kujaribu basi hawana elimu yeyote kuhusu huu ugonjwa wala hizo chanjo.
Kama watu bado wanaujinga ni muhimu kurudiarudia. Huo ugonjwa unaua kama 3% hivi. Ila variants zinatofautiana. Inaweza kuja yenye mortality rate kubwa zaidi.Unarudia tu vitu ambavyo tumeanza kuvisikia toka mwaka jana, tatizo sio ugonjwa wenyewe bali ni jinsi watu walivyoukuza huu ugonjwa na ndio tatizo lilipo. Wanaoumwa na kupona ni wengi kuliko wanaofariki ila ajabu muda wote vinaelezewa vifo tu, nakumbuka wakati huu ugonjwa bado upo China tulikataa hata wale wanafunzi wa kitanzania kule China kurudishwa kwa kuhofia kuleta ugonjwa ambao tuliona hatuuwezi hata kidogo.
Kama ni hivyo haina haja ya kutengeneza dawa na kuwa na hospitali.Lini watu waliacha kufa?
Madaktari kawaida yao huwa hawafikiri nje ya box hivyo ndivyo walivyofundishwa na kwao hivyo ndio huona ni usomi, ni madaktari wachache sana ambao hufikiri nje ya box.Hao madaktari unaowaamini wanasemaje kuhusu chanjo? Wengi wanaochanja wanajua kwanini wanachanja. Wengi wanaokataa chanjo hawajui kwanini wanakataa.
Hayo magonjwa yamezungumzwa sana, na yanazidi kuzungumzwa. Huu ugonjwa ni mpya na ni hatari sana. Lazima watu waelimishwe. Unataka mfano Ebola ikilipuka isizungumzwe sababu kuna Malaria?Si ni kwa sababu corona imepewa kiki ila mbona hutumii muda humu kuzungumzia hayo magonjwa mengine hata malaria ambayo nayo inaondoa watu sana tu? ndio maana nakwambia kama si corona kupewa kiki basi usingekuja kupiga kelele humu za kuhusu corona.
Hoja yangu ipo kwenye kuukuza huu ugonjwa kuliko uhalisia jinsi ugonjwa wenyewe ulivyo.Hayo magonjwa yamezungumzwa sana, na yanazidi kuzungumzwa. Huu ugonjwa ni mpya na ni hatari sana. Lazima watu waelimishwe. Unataka mfano Ebola ikilipuka isizungumzwe sababu kuna Malaria?
So unachagua madaktari wanaosema mtazamo kama wako. Yaani umeshaamua jambo, halafu ndipo unaanza kutafuta maoni ya wale wanaoendana na maamuzi yako!!!Madaktari kawaida yao huwa hawafikiri nje ya box hivyo ndivyo walivyofundishwa na kwao hivyo ndio huona ni usomi, ni madaktari wachache sana ambao hufikiri nje ya box.
Kwahiyo wapo madaktari ambao wanapinga si chanjo tu bali hata jinsi huu ugonjwa wenyewe jinsi unavyoshughulikiwa.
Kuchanja au kutochanja haimaanishi kuwa hautakufa.Hongera kwa ku chanja, hutokufa mkuu
Ugonjwa haujakuzwa. Unaua. Unadesrupt uchumi na shughuli zingine. Na unapotential ya kuwa kama tauni za kwenye biblia.Hoja yangu ipo kwenye kuukuza huu ugonjwa kuliko uhalisia jinsi ugonjwa wenyewe ulivyo.
Sijui chanjo alizochanja utotoni zimemfanya asife!Kuchanja au kutochanja haimaanishi kuwa hautakufa.
Nafikiri ubishani ulioibuka juu ya huu ugonjwa ndio unaouvumisha zaidi.Hoja yangu ipo kwenye kuukuza huu ugonjwa kuliko uhalisia jinsi ugonjwa wenyewe ulivyo.
Nakwambia hivi wanaokufa ni wachache kuliko wanaopona ila muda wote vinazungumziwa vifo tu,ndio maana ilifikia watu kutabiri kuwa huu ugonjwa ukija afrika tutaokota maiti barabarani na ni kweli kwa kipindi kile ilikuwa halali kusema vile.Kama watu bado wanaujinga ni muhimu kurudiarudia. Huo ugonjwa unaua kama 3% hivi. Ila variants zinatofautiana. Inaweza kuja yenye mortality rate kubwa zaidi.
Kwani unafikiri Korona tumeiweza? Tumezamisha vichwa mchangani kama mbuni.
Wewe umesema watu wanakufa sana, ndio nikakuuliza lini watu waliacha kufa sana?Kama ni hivyo haina haja ya kutengeneza dawa na kuwa na hospitali.
Kabla ya corona, watu walikuwa hawafi?Wasio na uzoefu na kifo wataendelea kuchukulia hili suala kama mzaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kifo kipo palepale tuache kutengeneza dawa, kuchanjwa na kujenga hospitali.Wewe umesema watu wanakufa sana, ndio nikakuuliza lini watu waliacha kufa sana?
Zitengenezwe dawa za aina zote, zijengwe kila aina ya hospitali KIFO KIPO PALEPALE