#COVID19 Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

Israeli wamechanja kuliko ncho yoyote duniani. Lakini ndio wanapigwa na korona kuliko nchi zingine. Hivi sasa wanaongelea kuchoma booster ya nne.

SWALI ni kuwa, je, kinachowasumbua ni korona kweli au ni hizo chanjo?

Hiki ndicho kitakachotokea kwetu. Kadiri wanaochanjwa wanavyoongezeka, na wagonjwa nao watakuja kuongezeka. Halafu tutaambiwa kovidi imeongezeka. Kwa sababu ya hofu, wasiojua kinachoendelea ni kweli watapanga foleni. Hapo ndipo tutakuwa tayari tumeingia kwenye mtego uliosetiwa, ambao hivi sasa unatenda kazi israeli, uingereza nk.
 
Nyingi ni stori tu. Ukiangalia percent ya wanaoganda damu, na wewe kusema watu kadhaa mtaani kwenu tu. Haviendani. Usizushe mambo.
 
Kila mtu afanye maamuzi yake anaepiga campaign za chanjo aachwe na anaepiga campaign za kukataa chanjo aachwe
Ya, hakuna anayezuia. Ila kumbuka kuwa hiyo hiari ni lugha ya siasa.
 
Chanjo imepunguza sana vifo Israeli. Ripoti moja ilionyesha kuwa kwa idadi sawa ya wagonjwa vifo vilitoka 101 hadi 25.
 
Ndio maana mapema kabisa nikakuambia kuwa wewe tayari una majibu yako na unataka kila atakayechangia apite kwenye majibu au mawazo uliyonayo.
Kuna fact za kisayansi zipo wazi. Zinaonyesha incidences za kuganda damu zipo kiasi gani. Sasa mtu kusema watu kadhaa mtaani kwake wamepatwa na hiyo kitu ni uzushi na hearsay. Uzushi juu ya chanjo ni mwingi sana. Mnazusha ili kulisha mtazamo wenu.
 
Kucheza bila mashabiki maana yake nini?

Sasa kucheza pasipo mashabiki ndio ina maana wasiochanjwa hawaruhusiwi uwanjani?

Ingekuwa kuna wanaoruhusiwa (walio chanjwa) na wanaozuiwa (wasiochanjwa) mfano wako ungekuwa sahihi...

Udhibiti wa mikusanyiko isiuo ya lazima hauna mahusiano na kuchanja au kutochanja...
 
Mi nimechanja lakini kitoto changu kichanga sitaki kichanjwe! Kuna nesi hapa amenivuta sikio niwe makini.

Naona hakuna muitikio wa chanjo kwa watu wazima wanaamua kuipunguzia kwa vitoto huko leba
Manesi hawahawa wa Kibongo unawaamini!? Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Kuna level ya chanjo inatakiwa. Mfano nchi za Ulaya baada ya karibu watu zaidi asilimia 60 kuchanjwa, mashabiki wameruhusiwa viwanjani.
 
So una ukweli kuwa chanjo hazisaidii kitu?
Wa kutosha sana. Jambo la kwanza kabisa, ukishaita hizi ni chanjo, unakuwa umeshatekwa. Bila kutambua ukweli kwamba hizi si chanjo, utazidi tu kuongea kana kwamba unatetea chanjo. Hizi si chanjo. Hizi ni gene therapy ambazo lengo lake

1. Kupunguza watu duniani.
2. Kusajili watu wote duniani kwenye database (Ndio maana WHO wameanza kuleta maelekezo ya namna ya kusajili watu. Unaweza kusoma hapa: Digital documentation of COVID-19 certificates: vaccination status: technical specifications and implementation guidance, 27 August 2021
Na hapa WHO inatumiwa tu lakini wahusika ni bill gate, WEF, na globalists wengine.
3. Kufanya transhumanism - yaani kuwageuza watu kuwa version ya Human 2.0

Kwa kifupi ulimwengu unaswagwa kama ng'ombe wanaoingizwa kwenye josho. Soon ulimwengu utajikuta umeingizwa kwenye tight spot ambayo kutoka haitawezekana.

Mimi nakupa challenge hii.
Kama unapenda kweli tuongee jambo hili, mimi niko tayari kwenda step by step, tuanzie mwanzo hadi tufike hapa tulipo.

Maana hapa nakatakata tu vitu.

Hiki kiitwacho chanjo ni part tu ya mega-scheme.

Lakini wengi wanatazama tu chanjo-kovid - chanjo-covid.

Do you know the bigger picture?
 
Hii ni paranoia, ni dalili ya kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…