Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kutochanja, ufe wiki ijayo kwa CoronaHongera kwa ku chanja, hutokufa mkuu
utaanza mkuuu wangu kaniandalie sitiHongera kwa kutochanja, ufe wiki ijayo kwa Corona
Nesi mwenyewe ana elimu gani?Mi nimechanja lakini kitoto changu kichanga sitaki kichanjwe! Kuna nesi hapa amenivuta sikio niwe makini.
Naona hakuna muitikio wa chanjo kwa watu wazima wanaamua kuipunguzia kwa vitoto huko leba
mzee unavyo jitahidi kutetea. Kwani covid yenyewe ukipata hata kwa takwimu za sasa ni asilimia ngapi wanakua kwenye siriaz illness? Toka inaanza ni % ndogo sana ambayo inakua kwenye risk kubwa kwaiyo hiyo 3% unayo isema ni ipi isije kua ndio hiyo hiyo tu ambayo ni sawa na bureKwanza ufahamu kuwa ukipata chanjo baada ya kupata Corona haitakusaidia. So usishangae sana mtu kupata chanjo na kufa. Na chanjo inachukua wiki zaidi ya mbili kujenga kinga dhidi ya corona.
Pia nikwambie tu. Corona imeonyesha kuwa mortality rate ni kama 3%. Hivyo kama katika watu mia walioumwa, ni watatu tu wanakufa. Hivyo huwezi kusema njia za 2020 zinafanya kazi bila utafiti wa kina wa kisayansi. Je kuna waliotumia njia za 2020 na wakafa?
Uko sahihi 100% mkuu. The world is so asleep - wawe wazungu au waafrika - wamelala fofofo. Lakini tutaendelea kusema hakika wapo watakaosikiaNi vigumu sana kuwaokoa watu ambao ni mind controlled...hili zoezi la microchopping world wide linakwenda kuleta catastrophy kwa wote waliojipeleka kupata Jab..
Hii ni agenda ya kina Bill Gates na Gates pia anatumika, the Hidden Master mwenye kutoa utajiri kwa wanaomcha ndo mwenye true agenda.
Haya ni maneno ya kujifariji. Chukua hatua kujilinda na CoronaHongera kwa ku chanja, hutokufa mkuu
Acha ubishi fuatilia death mortality rate kwa nchi masikini na nchi zilizoendelea ndo utaelewa kuwa ujinga unaua.Nakwambia hivi si ajabu hilo maana watu hawajaanza kufa leo kwa ujinga, huko hospitali kuna watu wamelazwa kwa maradhi ambayo sababu ni ujinga tu. Tunasumbuliwa na maradhi mengi sana na husababisha vifo vingi ila yote hayo sababu ni ujinga tu, kama tungejielewa hayo maradhi tusingapata na tungeepusha vifo.
Sasa mimi nakushangaa wewe unaona ujinga kwenye corona tu!
Kila ugonjwa ni wa kuchukua taadhari na sio corona tu, maana kila ugonjwa unaweza ukawa chanzo cha kifo kwa mwanadamuHaya ni maneno ya kujifariji. Chukua hatua kujilinda na Corona
Ujinga upi unaokusudia wewe ili tuchambue tuweze kujua kama hao nchi zilizoendelea kweli hawafi sana kwa ujinga?Acha ubishi fuatilia death mortality rate kwa nchi masikini na nchi zilizoendelea ndo utaelewa kuwa ujinga unaua.
Sasa nesi anakuvuta sikio ni kuwa amekupenda ama?Mi nimechanja lakini kitoto changu kichanga sitaki kichanjwe! Kuna nesi hapa amenivuta sikio niwe makini.
Naona hakuna muitikio wa chanjo kwa watu wazima wanaamua kuipunguzia kwa vitoto huko leba
Nani kakuambia kuchanja hiari?Kwasababu tumekubalina ni hiyari, ukichanja tuliza mshono, kama hutaki kuchanja endelea na maisha yako.....mambo ya mmoja kumtishia mwingine kwa msimamo wake nao ni ujinga......kila mtu abaki na anachokiamini basi, akifa athari ni kwa familia yake wewe inakuhusu nn?
Kichanja ni hiyari siyo lazima, JJ ONE Million zilizokuja hata laki 5 hazijaishaNani kakuambia kuchanja hiari?
Tofautisha dawa na chanjo.Hata malaria kila unapoumwa unapiga dawa.
Wanaopigia debe chanjo naona ni watu wenye akili fupi sana.Tumekuwa na Tatizo Kuu la kutaka Kusikia Unachokitaka au Kuona na Kifanywe Unachokitaka Mhusika na sio Uhalisia. Wewe ukitaka kukubali kubali, usipotaka acha. Juzi nipo ofisini, kuna jirani yangu hakuwa amefungua ofisi yake, nikampigia kumuuliza kama atakuja akaniambia hana uhakika sababu walikuwa kwenye mazishi ya jirani yao.
Picha nzima ikapatikana jana, kumbe aliyefariki aliwahi kuchanjwa! Baada ya muda maradhi yakawa yanapishana pishana hayamkauki, Jumanne hali ikawa tata akaaga dunia. Hapo Jeshi la Wokovu tena Kurasini nikakutana na same stori ukiachana na za huku mtaani kwetu. Wewe endelea kubisha, hakuna wa kubishana na wewe.