Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Kwa CDF pia kaonyesha kaumia kupita maelezo na mipango Mingi walikuwa wamepanga na marehemu....amini mingine hataiweka hadharani milele...
Kuzingatia itifaki kwake nako kuna ujumbe wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa CDF pia kaonyesha kaumia kupita maelezo na mipango Mingi walikuwa wamepanga na marehemu....amini mingine hataiweka hadharani milele...
Asante Natena wiza. Pole ndugu yangu💔🇹🇿💔 Kama vile nakuelewa.... ngoja machungu ya msiba yapungue😭🙏Tuko pamoja Mama D, ingawa natumia I'd mpya hivyo huwezi huwezi nielewa.[emoji120]
This may be good in disgrace.Ukweli bila Samia kulindwa na katiba ccm walisha mzunguka mama kutaka kumuweka mtu wao na diyo maan Lisu na chadema walipanga kuitisha mkutano...
Ndio kinachoonekana. Maccm yameshavimba vichea hadi yanataka kuvunja katiba wazi wazi. Kuna tetesi kuwa hata JPM asingefanikiwa mipango yake ya kuea rais wa milele.Anawachimba biti wasio na nia njema na serikali ya awamu ya 6.
Well, labda nikusaidie tu, awamu za kikatiba hazihesabiwi kwa kukamilika kwa muhula wa miaka mitano au kumi ya kwenye uongozi baada ya kuchaguliwa na wananchi. Awamu hutambulika baada ya kiongozi mpya kwa maana ya Rais kuingia madarakani kwa namna yeyote ambayo imebainishwa kwenye Katiba.Awamu ni miaka 10. Ingawa hii fomula imeanza kipindi cha Mwinyi maana Nyerere alitawala miaka takriban 24. Na chaguzi zilikuwepo mtu na kivuli
Kungekuwa na Rais mpya 2020, nadhani tungemwita Rais wa 6 wa awamu ya 5
Inashangaza lakini pengine kuna intelligence behind the madness, it was unnecessary, na yeye Mabeyo anajua anaweza kumuona Mama muda wowote.Kwa nafasi yake, anauwezo wa kumweleza Rais jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.
Ni siri yake yeye na rais. wengine haiwahusu.Mkuu wa majeshi ni mtu anayeweza kuonana au kuwasiliana na Rais wakati wowote popote alipo iwe usiku au mchana. Sasa inakuwaje mkuu wa majeshi amewaambia waombolezaji wa kifo cha Rais Magufuli na watanzania wote hata dunia kuwa ana siri ya kumpa Rais Samia Suluhu Hassan wakati anao uwezo wa kufanya hivyo bila kutuambia?.
Ficha ujinga wako. Walikuwepo hapo pia Wakurya pure nao muda wao ukaisha. Again, ujinga ni mzigo kama ilivyo mizigo mingine ila unaweza kuuficha na sio lazima kila mtu ajue umeubeba.Povu lote la nini, huyu ndiyo CDF Venance Mabeyo Pure Msukuma,hutaki,hama Nchi.
Nionavyo hapana heri, tusitazamie mabadiriko yoyote.Mkuu wa majeshi ni mtu anayeweza kuonana au kuwasiliana na Rais wakati wowote popote alipo iwe usiku au mchana. Sasa inakuwaje mkuu wa majeshi amewaambia waombolezaji wa kifo cha Rais Magufuli na watanzania wote hata dunia kuwa ana siri ya kumpa Rais Samia Suluhu Hassan wakati anao uwezo wa kufanya hivyo bila kutuambia?
Je ni coded language kuwa majeshi hayatakubali mchezo wowote na lazima wawe players katika siasa kama ilivyokuwa kwa Magufuli hasa katika kuendeleza mema yote aliyoanzisha Magufuli? Je kweli kuna siri? Ni siri gani hii ambayo inaanza kutamkwa hadharani kabla ya kumfikishia mhusika? Je utaratibu wa kumfikia Rais kwanini haukufuatwa kama hamna namna? Tutegemee heri kwa maana kuwa Mabeyo atamwambia Rais hiyo siri ambayo tumegusiwa.
Kuna baadhi ya mijitu ilikuwa haitaki Mama Samia awe rais.Mkuu wa majeshi ni mtu anayeweza kuonana au kuwasiliana na Rais wakati wowote popote alipo iwe usiku au mchana. Sasa inakuwaje mkuu wa majeshi amewaambia waombolezaji wa kifo cha Rais Magufuli na watanzania wote hata dunia kuwa ana siri ya kumpa Rais Samia Suluhu Hassan wakati anao uwezo wa kufanya hivyo bila kutuambia?
Je ni coded language kuwa majeshi hayatakubali mchezo wowote na lazima wawe players katika siasa kama ilivyokuwa kwa Magufuli hasa katika kuendeleza mema yote aliyoanzisha Magufuli? Je kweli kuna siri? Ni siri gani hii ambayo inaanza kutamkwa hadharani kabla ya kumfikishia mhusika? Je utaratibu wa kumfikia Rais kwanini haukufuatwa kama hamna namna? Tutegemee heri kwa maana kuwa Mabeyo atamwambia Rais hiyo siri ambayo tumegusiwa.
hukunaga maagizo ya boss wa zamani. current president ndio mwenye power.MIMI, kwa haraka haraka, nimeelewa kama kuna maagizo ya boss wa zamani anayotakiwa kumfikishia boss mpya!
... JE, HUU SIO UVUNJAJI KATIBA?
KAMA NI MAELEKEZO HALALI KWANINI YASIPITIE KWENYE VIKAO HALALI, VYA WAZI AU VYA SIRI?
HaituhusuKigogo na yeriko wanasemaje kwenye hili????