Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Nataka kuwaza kama wewe
 
Kuna eneo hapo nimewaza kama ulivyoainisha.
 
JE KULIKUWA NA UMUHIMU GANI WA MKUU WA MAJESHI KUTOA KAULI HIYO? Je, haoni kwamba kwa nafasi yake kutoa kauli kama hiyo kunaweza kuzua taharuki kwenye jamii juu ya usalama wa nchi au Mh. Rais?

Hajaitamka kwa bahati mbaya, ni mpango wa kuwapiga mkwara watu fulani.

Hapo utakuta hata hilo jambo ni hewa ila kuna watu watajamba jamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…