Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Kila kilichoongelewa kwenye public kina sababu
Tuache waambiane hiyo siri, sisi tuchape kazi na kuendelea kuliombea taifa letu

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote♥️🇹🇿🙏
Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli 💔🙌
 
Mkuu wa majeshi ni mtu anayeweza kuonana au kuwasiliana na Rais wakati wowote popote alipo iwe usiku au mchana. Sasa inakuwaje mkuu wa majeshi amewaambia waombolezaji wa kifo cha Rais Magufuli na watanzania wote hata dunia kuwa ana siri ya kumpa Rais Samia Suluhu Hassan wakati anao uwezo wa kufanya hivyo bila kutuambia?...
Ndio maana kigogo anawakumbiza sana,,,Magu n'a samia walikuwa ofisi moja sasa unajiuliza kulikuwa nasiri ambazo magu n'a mabeyo wanazo nasamia hazijui, kunashida mahali yaani mtu ambaye kikatiba alikuwa anasimamia ofisi ta rais kama rais hayupo Léo hii kumbe kuna baadhi yasiri hazijui? Ina maana mtu tuliemkabidhi taifa aliongoze kuna baadhi yasiri zataifa hazijui?

Kwahio Anatupeleka wapi ikiwa hatujui vizuri? Kila kiongozi anaesimama kuhutubia lazima aanze kututoa waswas mpaka unajiuliza mama hatoshi? Kama anatosha yanini kila mda kupeana kauli zakuondoa waswas?
 
Ndio maana kigogo anawakumbiza sana,,,Magu n'a samia walikuwa ofisi moja sasa unajiuliza kulikuwa nasiri ambazo magu n'a mabeyo wanazo nasamia hazijui,,, kunashida mahali yaani mtu ambaye kikatiba alikuwa anasimamia ofisi ta rais kama rais hayupo Léo hii kumbe kuna baadhi yasiri hazijui ?? Ina maana mtu tuliemkabidhi taifa aliongoze kuna baadhi yasiri zataifa hazijui ?? Kwahio Anatupeleka wapi ikiwa hatujui vizuri ?? Kila kiongozi anaesimama kuhutubia lazima aanze kututoa waswas mpaka unajiuliza mama hatoshi ??? Kama anatosha yanini kila mda kupeana kauli zakuondoa waswas ??
Msiba huu kuna watu umewaondolea "chaguzi za maneno ya kutamka hadharani" wengi wameponyokwa na kujidhihirisha kuhitaji usaidizi wa kuandikiwa hotuba ama waandika hotuba wao wanawapotosha...
 
Kwa cheo chake katika sekta hiyo hakutakiwa kuongea hivyo hadharani. Hivi marehemu alimwambia asimwambie makamu wa Rais mapaka awe Rais? Je, hilo 'dokezo' ni constitutional?
 
Sioni kama kulikuwa na haja ya kutoa dokezo juu ya dokezo alilopewa ilmradi hakuweza kufunua dokezo hilo kwa Wananchi, mkuu huyo hahitaji public notice kuomba appointment na Rais, wakati wowote ana access ya kumuona, hili kwangu naona si sahihi. VP ni mkono wa pili wa mkuu wa nchi sina uhakika kama dokezo hilo lilihitaji C/O, kama ndivyo basi kulikuwa na mushkeli.
Katika mazingira ya kawaida mke anawezaje kwenda shamba akiwa amemuacha mume mahututi kitandani, ili aje kuachiwa wosia mtoto! Najaribu tu kuwaza, hebu tusubiri dokezo.
 
Kuna baadhi ya mijitu ilikuwa haitaki Mama Samia awe rais.
Mabeyo mwana JF mwenzetu mtu makini sana na ana akili nyingi sana.
Akawatuliza.

Alichokifanya ni kutoa hotuba hadharani kitu ambacho sio cha kawaida na kumhakikishia mhe Rais kuwa jeshi litamlinda na litamheshimu.
Hii ni meseji kwa kina bashitu hata hilo dokezo anacheza na mind za haya mapumbavu yanayotaka kutuharibia katiba
Well said broo,Mabeyo kafikisha ujumbe jana.Moja ya hotuba bora kwa jana aisee
 
Kacheza na akili za watu hapo kwa waliokuwa wamepiga dili si kumpigia simu babu kuna ishu gani kwani leo simu ya kamanda itakuwa bize Sana.

Kama kumpigia simu demu wako na kumwambia ulidhani sitagundua halafu ukate.
Kamanda kalianzisha halafu kachuna,.kuna wajinga wajinga lazma wamgongee simu. Af unakuta ujumbe kumbe ni kwamba "watanzania tupendane"
 
Kuna vitu nadhani vilikuwa vinaendelea chini chini huko ndani kuhusu huyu Mama Samia Suluhu,either baada ya kifo cha Raisi au wakati anaumwa.CDF amepeleka ujumbe kwa baadhi ya watu hapo.
 
JE KULIKUWA NA UMUHIMU GANI WA MKUU WA MAJESHI KUTOA KAULI HIYO? Je, haoni kwamba kwa nafasi yake kutoa kauli kama hiyo kunaweza kuzua taharuki kwenye jamii juu ya usalama wa nchi au Mh. Rais?
Taharuki lazima iwepo kwa wapenda umbea mliojazana nchini
 
Nilipata matumaini makubwa pale uhuru kuwaona hawa wazee watatu(mabeyo,siro,msuya) wako pamoja nyakati zote za msiba....naamini hawatoweza kuharibu mifumo yao waliyoiweka kipindi cha Magu kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache waovu.
 
Watu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu

Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka katika nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita...

Kwa nafasi yake, anauwezo wa kumweleza Rais jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.

Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu flani.
Hapa umenena, huu ulikuwa ujumbe kwa baadhi ya watu au mtu, kwani alikuwa na uwezo wa kukaa kimya na kumuendea kimya kama Boss wake
 
Kacheza na akili za watu hapo kwa waliokuwa wamepiga dili si kumpigia simu babu kuna ishu gani kwani leo simu ya kamanda itakuwa bize Sana.

Kama kumpigia simu demu wako na kumwambia ulidhani sitagundua halafu ukate.
Kauli hii Kwa mtu kama CDF msiichukulie kiwepesi. Jua yule sio mwana siasa wala mtu wa kusimama majukwaani . Mimi Kila kauli iliyobeba Hotuba yake, naipa uzito sana .
However, we real have a very Smart CDF
Ambae hakujua hapo kabla sasa ndo ajue , kuna watu katika hii Nchi kwa sabbu ya sisi watanzania tunaishia tu kwenye media coverage tu tunashindwa kuwafahamu how smart thy are to their position.
Same same kukosa kwa media coverage kwenye mitandao na majukwaani kwa Dr. Hussein Mwinyi (By then) watu hawakujua who is that Hon.Dr. H.A Mwinyi,
Many of us we ended underating his candidacy. Mitandao iwe sehemu ya maisha ila tusiifanye kuwa kila kitu,
 
Back
Top Bottom