Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Mwanaume wa kiafrika ukiwa mweupe tu wanawake wanakuona kama mwenzao.

Wanawake wa kiafrika wanapenda aitha uwe mzungu pure ama black pure lakini ukiwa mweupe ama chotara wanakuona rojo rojo mshikishwa ukuta kama wao.

Kwenye kimo, kuna kanuni moja, the bigger the size the more the confidence. Mwanaume ukiwa mrefu tu ukipita mahala popote lazima u attract attention kidogo, na wanawake wanapenda sana hiyo.
 
Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepuka na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi namuacha siku hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…