Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Mwanaume wa kiafrika ukiwa mweupe tu wanawake wanakuona kama mwenzao.

Wanawake wa kiafrika wanapenda aitha uwe mzungu pure ama black pure lakini ukiwa mweupe ama chotara wanakuona rojo rojo mshikishwa ukuta kama wao.

Kwenye kimo, kuna kanuni moja, the bigger the size the more the confidence. Mwanaume ukiwa mrefu tu ukipita mahala popote lazima u attract attention kidogo, na wanawake wanapenda sana hiyo.
Kwamba sisi kina Andunje hatuna mvuto?
 
Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepika na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi na namuacha siku hiyo hiyo.
Ngoja nitafute Namba za mkeo kisha ni date nae nimzalishe.Mimi ni wa kati,si fresh tu mkuu au?!![emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom