Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Sio watz tu ni issue ya dunia nzima, Kuna siku nilikuwa naangalia interviews za video vixens wa Nigeria ambao ni weusi, wakiongelea wanavyobaguliwa kupewa leading role kwenye videos za wasanii kwa sababu tu ngozi zao haziwaki vizuri kwenyw camera. Na hii issue hata ukifuatilia bongo ipo pia
So mwanamke anatakiwa awe white while mwanaume anatakiwa awe black?Akili za black descendants ni changamoto
 
Kabisaaa!heshima sana like neno "Tafuta Hela"
Ahh wapi ni kujizima data tu kwa ajili ya maslahi ila pesa haiondoi uhalisia wa mtu mbele ya macho yako, kama ni mfupi ni mfupi tu, akiwa mweupe ni mweupe tu, kwa upendo unaweza kuridhika ila kwa ajili ya pesa unakuwa unavumilia tu😁😁
 
Binafsi Mimi navutiwa na Mwanamke mweupe na natamani kuzaa watoto weupe hii rangi ni rangi Bora Sana , Mwanamke akiwa mweupe vijana tunamuwinda Sana ..

Pia wanawake wa bongo wanawapenda Sana wanaume weupe sema kuwapata ndo issue so inabaki ile sizitaki mbichi hizi
 
Kiufupi hii nchi yetu inaonekana Mtu akizaa watoto weupe anaona ufahari Sana hasa wanawake .

Wanawake weusi hawapendi kuzaa watoto weusi


Hapo jibu ni illusion ndo inafanya kazi
Aiseee,,,hao hao watoto wakiume tunaowapenda wakiwa watoto wakifika ukubwani jamii inaanza kuwabeza kwamba wamepoa??na wale waliobezwa na kufichwa utotoni mwao wanaanza kutukuzwa?jamii inabidi ichange huu upuuzi aiseeee
 
Binafsi Mimi navutiwa na Mwanamke mweupe na natamani kuzaa watoto weupe hii rangi ni rangi Bora Sana , Mwanamke akiwa mweupe vijana tunamuwinda Sana ..

Pia wanawake wa bongo wanawapenda Sana wanaume weupe sema kuwapata ndo issue so inabaki ile sizitaki mbichi hizi
Sijawahi elewa hype ya weupe inatokana na nini
 
Weusi au weupe
Urefu au ufupi una mahusiano gani na
mapenzi,watu wa utafiti wakuje kutoa ufafanuz plz
 
wapo warefu zao wastani na wapo wafupi zao ndefu. ujumla kawaida, itategemea mtu anafikilia nini., hamjaona watu wafupi wana vichwa vikubwa, ndivyo ndude zao zilivyo kuu
 
🤣🤣🤣 mkuu niaje, ila wanawake baadhi huwa wanasema wanaume wafupi huwa na gubu kwa sababu ya insecurities, hata ukikosewa huchukulii kama ni kosa la kawaida ila dharau kwa kimo chako.
We unaonaje mkuu? Yupo sahihi?
 
Urefu na ufupi,weupe na weusi sio kipaumbele kwangu.......Ana akili TIMAMU?....TIMAMU jamani anazooo????
Oooooh Isije huko mbele ukamuona ni Goliath yanapoanza mambo ya kutumia akili.
Humu Kwa sababu hatujuani watu wanasema tu Kwa keyboard ila kwa real life mambo ni tofauti wanamdate yeyote, humu wanasema venye wana-wish
 
Back
Top Bottom