Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepika na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi na namuacha siku hiyo hiyo.
why wafupi nao ni watu jamani😃, 6.6ft? You mean wewe uko 6ft pia? Aisee
 
Siku zote ubongo wa mtu Mia hisia saana Huwa una mlango wa nyuma unaojiachia kwa mjanja mwenye ushawishi na ukajipatia uchi vizuri tu.
 
😅😅😅😅Mazingiraaa yaliruhusuu kbsaa mpk nikanotice viatu ngozi original...si unajuaa tukiamuaa kufanyaa kauchunguzi ketuu huwaa hatushindwii😅😅
Uko vizuri, siku nipeleke na mimi nikajionee Mungu alivyofundi😀
 
Aiseee,,,hao hao watoto wakiume tunaowapenda wakiwa watoto wakifika ukubwani jamii inaanza kuwabeza kwamba wamepoa??na wale waliobezwa na kufichwa utotoni mwao wanaanza kutukuzwa?jamii inabidi ichange huu upuuzi aiseeee
Hii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.
 
Urefu na ufupi,weupe na weusi sio kipaumbele kwangu.......Ana akili TIMAMU?....TIMAMU jamani anazooo????
Oooooh Isije huko mbele ukamuona ni Goliath yanapoanza mambo ya kutumia akili.
Teh teh teh 😂😂😂 intelligence level matters....wewe unafaa kabisa kuwa life partner....
 
Hii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.
Woow!...una akili nzuri sana...pokea maua yako..🌺🌺🌺🥀🥀🥀🌹🌹....mnapatikana wapi nyie akili nzuri?
 
Attachments

  • IMG_20230709_105647.jpg
    IMG_20230709_105647.jpg
    68.8 KB · Views: 17
Kwa kweli
Hii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.
Kwa kweli umeongea vyema,hayo mambo ya uhandsome hayana impact kwenye maisha endelevu.
 
Mwanaume wa kiafrika ukiwa mweupe tu wanawake wanakuona kama mwenzao.

Wanawake wa kiafrika wanapenda aitha uwe mzungu pure ama black pure lakini ukiwa mweupe ama chotara wanakuona rojo rojo mshikishwa ukuta kama wao.

Kwenye kimo, kuna kanuni moja, the bigger the size the more the confidence. Mwanaume ukiwa mrefu tu ukipita mahala popote lazima u attract attention kidogo, na wanawake wanapenda sana hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamaniii
 
Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepuka na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi namuacha siku hiyo hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom