Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Hatar. Mmoja akaniambia mimi ni mrefu na mwembamba ila tatizo ni mweupe kwa hiyo nimekosa sifa moja kuwa sukari ya warembo
Sasa mwanaume rijali unakuajee mweupee bhanaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepuka na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi namuacha siku hiyo hiyo.
Assasination
 
Umeonaaa eeeh...yaan Mimi niliowaonaa hao vijana warefuu Wanaweusi wa kun'gara..ndevu zilipangangika vizuri,mwili uliojengekaa kiumee kbsaaa...mavazi mazuri ya kistaharabuu kbsaaa plus viatu vizuri ngozi original kbsaaa iliyokaaa vema miguuni mwaoo..unawezaa ukaimagine mpk hapooo...macho mazuri na angavuu nyiee kweli Mungu fundiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hukuomba hata namba
 
Mwanaume wa kiafrika ukiwa mweupe tu wanawake wanakuona kama mwenzao.

Wanawake wa kiafrika wanapenda aitha uwe mzungu pure ama black pure lakini ukiwa mweupe ama chotara wanakuona rojo rojo mshikishwa ukuta kama wao.

Kwenye kimo, kuna kanuni moja, the bigger the size the more the confidence. Mwanaume ukiwa mrefu tu ukipita mahala popote lazima u attract attention kidogo, na wanawake wanapenda sana hiyo.
Mm ni white hivi na natongozwa hatari na wadada vipi hivi kuna siri gani??
 
Back
Top Bottom