Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepika na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi na namuacha siku hiyo hiyo.
Jamaa mrefu sio Mwanaume mrefu
Rekebisha
 
🤣🤣🤣 mkuu niaje, ila wanawake baadhi huwa wanasema wanaume wafupi huwa na gubu kwa sababu ya insecurities, hata ukikosewa huchukulii kama ni kosa la kawaida ila dharau kwa kimo chako.
Kama Ina ukweli hii, baadhi pia ni wabishi na hawakubali kushindwa, wakali na anaweza hata akakudunda kwa kuhisi unamuignore sababu ya kimo chake😔
 
Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepika na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.

Akichepuka na mfupi na namuacha siku hiyo hiyo.
Wtf
 
Ni basi tu ila ukiangalia what matters ni upendo,japo housing pia muhimu, so tall and dark kuna maua yenu huku😛
Umeonaaa eeeh...yaan Mimi niliowaonaa hao vijana warefuu Wanaweusi wa kun'gara..ndevu zilipangangika vizuri,mwili uliojengekaa kiumee kbsaaa...mavazi mazuri ya kistaharabuu kbsaaa plus viatu vizuri ngozi original kbsaaa iliyokaaa vema miguuni mwaoo..unawezaa ukaimagine mpk hapooo...macho mazuri na angavuu nyiee kweli Mungu fundiii😅😅😅😅
 
Ulienda kwenye kivutio gani cha utalii mom? Ulinotice hadi viatu vya ngozi original😀🙌
 
Back
Top Bottom