Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

Hii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.
Ukiwa na tall handsome hutomuweza 😊😊
 
Uko sahihi J, halafu hao wanaosema wanaume warefu eti wana mizigo kunako boksa sio kweli kuna mkaka ni mrefu sana anaweza kumzidi yule mabangi wa clouds anaewapigaga wenzie ila ndg ni ana kibamia pro max km kidole cha kati yani kidudu km cha mtoto wa darasa la tano
We ulijuaje???
 
Siku izi wanawake hawachagui ni yeyote tu atakaeonesha signs anajipendekeza kwake
 
Madam mama Nyangeta wangu amesha nielewa tukilala tukiamka ananipa maua yangu,hata nikimwambia mama geuka kila siku hasemi nimechoka yaani anataka! Hao wengine hata wakinikataa wakanikubali I have nothing to bother! Karibu tena mama Nyangeta nyumbani,pole na safari
 
Hivi wanawake wa humu JF sio hawa wa huku mtaani?

Maana huku mtaani wanaume weupe tunagombaniwa kama lulu hakuna mwanamke utakayemtongoza akachomoa ukigusa mwanamke yeyote imooo.

Yaani ukipita mbele ya wanawake utazungumziwa kwa kusifiwa weupe wako na wanajisemea wenyewe kwamba wanatamani sana wapate watoto weupe kama wanayemuona mbele yao.

Wanawake wanajidanganya wenyewe tu ila kiuhalisia mioyoni mwao wanawataka sana wanaume weupe shida tu wanahisi akiwa na mwanaume mweupe ni kama huyo mwanaume atamfunika mwanamke.

Pia wapo wanawake wamekuwa wawazi tu wanasema wanapenda sana kuwa na mahusiano na wanaume weupe shida ni kwamba mwanaume mweupe sio wa mwanamke mmoja wanakuwa na wanawake wengi kwasababu wanagombaniwa kisirisiri lakini wakija public wanajifanya wanapenda wanaume warefu, weusi tii.😂😂
 
Wanaume weusi acheni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa wanawake wanawa snitch.

Mwanamke akitaka kuzaa atatafuta mwanaume mweupe kwa udi na uvumba ili azae mtoto mweupe.

Sasa unajiuliza kama anampenda mwanaume mrefu, mweusi kwanini asizae nae ili apate mtoto mweusi?😂

Utawasikia wanawake wakisema amezaa litoto jeusiiii ila hao hao wanawake akizaliwa mtoto mweupe utasikia wanasema " amezaa katoto keupeeee kazuri".

Sasa hapo ndipo unapojiuliza huyu mtoto mweusi anaonekana wa hovyo akiwa mdogo lakini akiwa mkubwa anabadilika na kuwa wa maana?

Wenye akili tunawaelewa wanawake kiurahisi sana.
 
Mm ni white hivi na natongozwa hatari na wadada vipi hivi kuna siri gani??
Mkuu hata mimi huwa najiuliza hawa wanawake wa JF au sio tunaokutana nao mtaani?

Maana tunaokutana nao mtaani wanatushobokea sana wanaume weupe hadi wanashindwa kujiuzia wanafikia kututongoza kabisa wakiamini akichelewa kukutongoza utatongozwa na wengine.

Hakuna kazi nyepesi kama kumtongoza mwanamke ukiwa mwanaume mweupe hapindui.

Labda kwakuwa hawa wanawake wa JF wote ni matajiri wana maisha ghali hivyo wana machaguo yao tofauti kabisa na wanawake wa kawaida mtaani.
 
Yani wanawake kweli hatujielewi pale mnapotaka blacks ila watoto mnapenda weupe hahahaha...mimi nilipenda weupe tuchanganye rangi..sasa lazima utafute yule ambae hatakuja kukucost..ukachubua mtoto..
Ulihofia kuzaa mtoto mithili ya mkaa yaani anaonekana meno tu kwakuwa ni meupe.😂

Kuchanganya rangi ni muhimu sana nimekuelewa mrembo Kalpana .
 
Jaribu kuchunguza nature ya mwanamke ni kupenda rangi nyeupe ya mwili hasa ya kwake ndio maana kujichubua kwao kwingi na mafuta ya kung'arisha ngozi zao,na kwenye mahusiano kimaumbile mwanaume ndie humfuata mwanamke na kwenye masuala ya uzazi wanadamu huenda akipata kitoto basi kiwe kung'aa kikiwa kama lami hata kwenye mitandao hautakaona kakitupiwa na akikatupia kanapitishwa kwenye filter za Tecno mpaka basi shida mng'ao tu huamini rangi nyeupe ni Bora na Ina thamani,na ukifuatilia wanaume weupe wanasumbua kwenye mahusiano na wao hujua hilo na hawapelekeshwi sababu hawababaishwi ni rangi iliyopo sokoni anauzika haraka sasa Kwa wanaume weusi huperekeshwa sababu Hana Cha kuringia hivyo wanawake wa sasa huongea wazi napenda mweusi mrefu hapo kwenye weusi anammudu na urefu ni chaguo wanalolipenda sana,Kwa sie wafupi pesa ndio itasababisha tupendwe,binafsi Mweupe,futi 6.3 body mascural Kwa kweli sipati tabu ningekuwa mwenye kuwahitaji mwisho wananiambia naringa basi nawaangalia tu sababu hawawezi kuniendesha.
 
Hivi wanawake wa humu JF sio hawa wa huku mtaani?

Maana huku mtaani wanaume weupe tunagombaniwa kama lulu hakuna mwanamke utakayemtongoza akachomoa ukigusa mwanamke yeyote imooo.

Yaani ukipita mbele ya wanawake utazungumziwa kwa kusifiwa weupe wako na wanajisemea wenyewe kwamba wanatamani sana wapate watoto weupe kama wanayemuona mbele yao.

Wanawake wanajidanganya wenyewe tu ila kiuhalisia mioyoni mwao wanawataka sana wanaume weupe shida tu wanahisi akiwa na mwanaume mweupe ni kama huyo mwanaume atamfunika mwanamke.

Pia wapo wanawake wamekuwa wawazi tu wanasema wanapenda sana kuwa na mahusiano na wanaume weupe shida ni kwamba mwanaume mweupe sio wa mwanamke mmoja wanakuwa na wanawake wengi kwasababu wanagombaniwa kisirisiri lakini wakija public wanajifanya wanapenda wanaume warefu, weusi tii.😂😂
Huu ni uongo
 
Huu ni uongo
Ndio maana nikasema labda nyinyi wanawake wa jf ni exceptional sio kama hawa tunaoishi nao mtaani.

Manake nasikia humu wanawake wote ni matajiri kwahiyo haishangazi kukanusha kwako maana matajiri ni very selective linapokuja suala la mahusiano hasa wanawake.
 
Jaribu kuchunguza nature ya mwanamke ni kupenda rangi nyeupe ya mwili hasa ya kwake ndio maana kujichubua kwao kwingi na mafuta ya kung'arisha ngozi zao,na kwenye mahusiano kimaumbile mwanaume ndie humfuata mwanamke na kwenye masuala ya uzazi wanadamu huenda akipata kitoto basi kiwe kung'aa kikiwa kama lami hata kwenye mitandao hautakaona kakitupiwa na akikatupia kanapitishwa kwenye filter za Tecno mpaka basi shida mng'ao tu huamini rangi nyeupe ni Bora na Ina thamani,na ukifuatilia wanaume weupe wanasumbua kwenye mahusiano na wao hujua hilo na hawapelekeshwi sababu hawababaishwi ni rangi iliyopo sokoni anauzika haraka sasa Kwa wanaume weusi huperekeshwa sababu Hana Cha kuringia hivyo wanawake wa sasa huongea wazi napenda mweusi mrefu hapo kwenye weusi anammudu na urefu ni chaguo wanalolipenda sana,Kwa sie wafupi pesa ndio itasababisha tupendwe,binafsi Mweupe,futi 6.3 body mascural Kwa kweli sipati tabu ningekuwa mwenye kuwahitaji mwisho wananiambia naringa basi nawaangalia tu sababu hawawezi kuniendesha.
Umezungumza kitaalamu sana mkuu. Ukweli mtupu huu.

Mwanamke anajua vizuri akiwa na mahusiano na mwanaume mweupe muda wote ana wasiwasi kwamba anaweza kutemwa kikaletwa kisu kingine kikali zaidi yake maana wanaume weupe wanajiamini sana.

Sasa mwanaume mweusi lazima aendeshwe na mwanamke na ndiyo maana unaona vilio vingi vya wanaume wanaoachwa na wanawake ni weusi.

Binafsi kuna wakati naingiwa na roho ya huruma pale ninapoona mwanamke ameniganda licha ya kumuonesha live kuwa ninamhiraji mwanamke mwingine huku akiwa hajanikosea chochote.

Hatujisifii ila ukweli ni kwamba wanawake wanapenda na kutamani sana kuwa na mahusiano na mwanaume mweupe shida wamejawa hofu ya kuachika ama kusalitiwa muda wowote ndiyo wanajifichia kwenye kichaka cha kupenda wanaume weusi.
 
Wanaume weusi wamegundua wanatumika kama option tu na ndiyo maana mwanamke anaweza kutamka live mbele ya huyo mwanaume wake kwamba anatamani kuzaa mtoto mweupe.

Wanawake kwa wanaume wanapigana vikumbo maduka ya vipodozi kununua madawa ya kujikoboa.

Sasa unajiuliza kama kweli wanaume weusi ndiyo chaguo sahihi kwa wanawake iweje hao wanaume weusi wanakimbilia kujichubua? Wanajichubua ili wasiwavutie wanawake ama ili wawavutie?
 
Back
Top Bottom