Ukiwa na tall handsome hutomuweza ππHii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.
Hahaha π€£π€£Halafu wanazaa sana na wafupi, wafupi wakigusa tu imooo
Wanaume weupe ni bagia
Me na urefu huu na weusi nikachukue mwanaume mweupe napeleka wapi sasa
We ulijuaje???Uko sahihi J, halafu hao wanaosema wanaume warefu eti wana mizigo kunako boksa sio kweli kuna mkaka ni mrefu sana anaweza kumzidi yule mabangi wa clouds anaewapigaga wenzie ila ndg ni ana kibamia pro max km kidole cha kati yani kidudu km cha mtoto wa darasa la tano
Salama dhidi ya adui yupi?Wanajihisi salama sana wakiwa karibu na tall boys.
Mkuu hata mimi huwa najiuliza hawa wanawake wa JF au sio tunaokutana nao mtaani?Mm ni white hivi na natongozwa hatari na wadada vipi hivi kuna siri gani??
Ulihofia kuzaa mtoto mithili ya mkaa yaani anaonekana meno tu kwakuwa ni meupe.πYani wanawake kweli hatujielewi pale mnapotaka blacks ila watoto mnapenda weupe hahahaha...mimi nilipenda weupe tuchanganye rangi..sasa lazima utafute yule ambae hatakuja kukucost..ukachubua mtoto..
Huu ni uongoHivi wanawake wa humu JF sio hawa wa huku mtaani?
Maana huku mtaani wanaume weupe tunagombaniwa kama lulu hakuna mwanamke utakayemtongoza akachomoa ukigusa mwanamke yeyote imooo.
Yaani ukipita mbele ya wanawake utazungumziwa kwa kusifiwa weupe wako na wanajisemea wenyewe kwamba wanatamani sana wapate watoto weupe kama wanayemuona mbele yao.
Wanawake wanajidanganya wenyewe tu ila kiuhalisia mioyoni mwao wanawataka sana wanaume weupe shida tu wanahisi akiwa na mwanaume mweupe ni kama huyo mwanaume atamfunika mwanamke.
Pia wapo wanawake wamekuwa wawazi tu wanasema wanapenda sana kuwa na mahusiano na wanaume weupe shida ni kwamba mwanaume mweupe sio wa mwanamke mmoja wanakuwa na wanawake wengi kwasababu wanagombaniwa kisirisiri lakini wakija public wanajifanya wanapenda wanaume warefu, weusi tii.ππ
Ndio maana nikasema labda nyinyi wanawake wa jf ni exceptional sio kama hawa tunaoishi nao mtaani.Huu ni uongo
Umezungumza kitaalamu sana mkuu. Ukweli mtupu huu.Jaribu kuchunguza nature ya mwanamke ni kupenda rangi nyeupe ya mwili hasa ya kwake ndio maana kujichubua kwao kwingi na mafuta ya kung'arisha ngozi zao,na kwenye mahusiano kimaumbile mwanaume ndie humfuata mwanamke na kwenye masuala ya uzazi wanadamu huenda akipata kitoto basi kiwe kung'aa kikiwa kama lami hata kwenye mitandao hautakaona kakitupiwa na akikatupia kanapitishwa kwenye filter za Tecno mpaka basi shida mng'ao tu huamini rangi nyeupe ni Bora na Ina thamani,na ukifuatilia wanaume weupe wanasumbua kwenye mahusiano na wao hujua hilo na hawapelekeshwi sababu hawababaishwi ni rangi iliyopo sokoni anauzika haraka sasa Kwa wanaume weusi huperekeshwa sababu Hana Cha kuringia hivyo wanawake wa sasa huongea wazi napenda mweusi mrefu hapo kwenye weusi anammudu na urefu ni chaguo wanalolipenda sana,Kwa sie wafupi pesa ndio itasababisha tupendwe,binafsi Mweupe,futi 6.3 body mascural Kwa kweli sipati tabu ningekuwa mwenye kuwahitaji mwisho wananiambia naringa basi nawaangalia tu sababu hawawezi kuniendesha.
Em nijaribu mm uone, mm n mweupe na urefu size ya katiumepoa sana wanaume weupe asilimia kubwa kitandani hamna maajabu yan mko dorooo hamna jotroo
hehehe mimi sio mashine ya kujaribiaEm nijaribu mm uone, mm n mweupe na urefu size ya kati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanaume wafupi wasweet sana. Warefu tunawapenda ila tunajikuta(ga) tumeangukia kwa wafupi