Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Si unajua moshi ni kama scotland-ulaya ndugu, xmass ni wakati wa kukutana na ndugu na marafiki mliopotezana mwaka/miaka na kufurahi pamoja kwa kula na kunywa....
Ofkoz na nauli wanayo baadhi ya makabila hawana nauli na wanaogopa kurudi kwao watalogwa..lol
 
kwa mtazamo wangu mi naona hawana siri yeyote ila wenzetu wana asili ya kupenda kwao sana tu
makabila mengine ushirimina,husda roho mbays na chuki zimetutawala vijijini kwetu hatujengi,hatuendi kuogopa kurogwa au ukienda usiage maisha gani sasa hayo
wachaga wenzetu ht km wachawi wao wanaroga wafanikiwe ila sie wengine ukifanikiwa unapigwa juju upotee nani atakubali kurudi!
 

Kama unakupnda kwenu ndio uende mwisho wa mwaka kila mwaka?
 
Kama unakupnda kwenu ndio uende mwisho wa mwaka kila mwaka?

ni utaratibu ambao wameuweka wao maana kwao mwezi huo una sikukuu kubwa ya krismas na new year na wapo ambao hukutana hapa dar
mi nawasifu kwa hilo jamani km wana yao mengine shauri yao maana hakuna ktu kizuri km ndgu kujuana
 
jamani waacheni waende makwao na makabila mengine wekeni utaratibu wa kwenda makwenu february au septemba tuone
waacheni km wanaenda roga na nyie karogeni km rahisi hvyoo
 
Sio habari ya siri. Watu ni waelewa kinyama. Wazee wanabaki kijiji wanaenda kuungana nao. Moshi huzidi Dar kwa mapato Dec. Wengine mmmh kwao ni kama ukoma. watalala wapi ?
 
Asiyejali kwao ni Mtumwa
Soma.biblia vizuri Ibrahimuv
Aliishijex,, Yakobo alifanya nini baada ya Yusufu babaye kufa,
Wana wa israeli je,???

Marekani???
,uingereza je??
 

Sasa hii inakwendaje na ukweli kwamba kati ya makabila yote nchini hawa watu ndio kwamba hawana mambo ya kishirikina.

Na hata mambo hayo hayasikiki huko kwao kama vile mwanza, bukoba, tanga, morogoro, lindi, mtwara pwani nk

kuna ukweli zaidi ya unavyofikiri
 

Kina nani awana mambo ya kishirikina?
 
Ni utamaduni tu na sio lazma tamaduni zote zifanane ndo maana kukawa na wamasai ,wadigo na makabila mengine kama utamaduni wao unaonekana kuwa mzuri ni ruksa kwa wengine kuuiga maana kuna wengine kama wahaya huwa hawaendagi kwao maisha yao yote mpaka msiba(sio wote japokuwa)
 
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.

Nani kakudanganya hatuoani?? Hivi unajua hata kilichotokea kati ya wakibosho na wamachame au unatema povu tu??
 
Kwa uelewa wng kama mchagga mi naona ni kipind kizuri cha kujua na ndugi zako mbalimbali walioko sehem mbalimbali za dunia coz ndo kipind ambacho likizo zipo mashulen,Ofisi za Umma nying hutoa likizo kipind cha Dec. Hivyo kuwapa nafasi ya kukutana na kujua zaid tusije leta matatizo kweny ukoo kama uchumbiana ndugu
 
Kama unakupnda kwenu ndio uende mwisho wa mwaka kila mwaka?

sasa unataka uende kati ya mwaka utamkuta nani huko?? Watu wa mijini hawapo wakati huo, na wale wa vijijini wako busy na kazi sasa unaenda kupumzika na nani?? Mwisho wa mwaka watu wanaenda sababu unaenda kukutana na ndugu zako, rafiki zako waliotoka pande mbalimbali za dunia.. and yep, kama una rafiki mchagga hebu mwombe siku moja umsindikize uone kama kila mwaka hutotia timu..
 
aliyekudanganya kuwa wachaga sio washirikina amekuroga ndio maana hauelewi kitu. kwa taarifa yako, wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji Tanzania ni wachaga. wao hawaendi kutafuta dawa ya magonjwa, wanaenda kutafuta uchawi wa kutafuta pesa hata kwa kuua ndugu. kuna mandondocha rundo kmanjaro na mandondocha wengine ni wale nusu, unamuona yupo anafanya kazi lakini hafanikiwi kumbe wamemkombea nyota zote. ulishawahi kuona mpemba amemshinda mchaga kwenye duka, chuma ulete ya wazee wa uswahilini ile imegonga mwamba kwa mchaga, anaenda kuweka duka katikati ya uswahili wa duka linaendelea. kuna siri nzito. kama haujui tuambie sisi tunaofanya biashara tunawajua sana hao ndugu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…