Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

sasa unataka uende kati ya mwaka utamkuta nani huko?? Watu wa mijini hawapo wakati huo, na wale wa vijijini wako busy na kazi sasa unaenda kupumzika na nani?? Mwisho wa mwaka watu wanaenda sababu unaenda kukutana na ndugu zako, rafiki zako waliotoka pande mbalimbali za dunia.. and yep, kama una rafiki mchagga hebu mwombe siku moja umsindikize uone kama kila mwaka hutotia timu..

Watu wanalima tu masaa 24 ndani ya miezi 11 kasoro mwezi wa 12 tu?
Bas uchagan kungeendelea kuliko mkoa wwte TANZANIA
 
Watu wanalima tu masaa 24 ndani ya miezi 11 kasoro mwezi wa 12 tu?
Bas uchagan kungeendelea kuliko mkoa wwte TANZANIA

Mkuu uchaggani watu hawategemei kilimo tu.. Na hicho kilimo unachosema wanalima mwezi mmoja tu. Wachagga wako busy na kazi mzee, wengine wako kule mgombani ila shughuli zao wanafanyia mjini. Mtu akirudi anaenda kujipumzisha na familia yake tu. Au wewe hata hapo mjini ulipo unathubutu kwenda kumtembelea mtu weekday??
 
aliyekudanganya kuwa wachaga sio washirikina amekuroga ndio maana hauelewi kitu. kwa taarifa yako, wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji Tanzania ni wachaga. wao hawaendi kutafuta dawa ya magonjwa, wanaenda kutafuta uchawi wa kutafuta pesa hata kwa kuua ndugu. kuna mandondocha rundo kmanjaro na mandondocha wengine ni wale nusu, unamuona yupo anafanya kazi lakini hafanikiwi kumbe wamemkombea nyota zote. ulishawahi kuona mpemba amemshinda mchaga kwenye duka, chuma ulete ya wazee wa uswahilini ile imegonga mwamba kwa mchaga, anaenda kuweka duka katikati ya uswahili wa duka linaendelea. kuna siri nzito. kama haujui tuambie sisi tunaofanya biashara tunawajua sana hao ndugu.

Huo uchawi wa wachagga anatoka kwa waganga gani na wakabila gani?? kwanini makabila mengine hawanunui huo uchawi kwa hao waganga?? Nenda Moshi mjini tu ukikuta kibao kimeandikwa Njoo usafishe nyota, sijui kufanikiwa kibiashara njoo hapa kipige picha ukilete humu..
 
Mkuu uchaggani watu hawategemei kilimo tu.. Na hicho kilimo unachosema wanalima mwezi mmoja tu. Wachagga wako busy na kazi mzee, wengine wako kule mgombani ila shughuli zao wanafanyia mjini. Mtu akirudi anaenda kujipumzisha na familia yake tu. Au wewe hata hapo mjini ulipo unathubutu kwenda kumtembelea mtu weekday??

Ndio nawatembelea co wikiend tu hata cku muzionazo nyinyi n za kaz huwa natembelea watu
 
ni mazindiko ndugu, mashetani. wanaenda kutii yalivyosema mizimu yao. ndio maana wachaga wana vifungo vya kila aina kwasababu koo zao zimeunganishwa na mikataba ya kimizimu. huu ndio ukweli. kila kabila kuna mizimu, lakini kwa wachaga kuna mizimu sana sana. mbuzi na kondoo mwezi huu huwa wanapata shida sana. wachaga wengi mwezi wa kumi na wa kumi na moja, wanaenda kwao kama kuna mkataba fulani hivi katika familia utakuta wameondoka wanaume tu/baba wa nyumba ameungana na wababa wenzie kila baada ya miezi hiyo, na kuna mambo fulani hata kama pengine sio uchawi na mengine ni ya kichawi huwa wanaenda kuyafanya. vilevile wengine kuna mikataba ya pamoja ya kishetani/cults huwa wamepatana kwa mganga huwa wanaenda kama kurenew kwaajili ya kutafutia pesa.

100%
Ndo ukweli japo waliomjua Yesu wameacha.
Lkn sio rahisi kuelewa mpaka upate neema
 
Watu wengi wa makabila tofauti wanapenda kuwa wachaga,watu wengi huwa wanadanganya kuwa ni wachaga. Kuna jamaa yangu chuoni alidanganya umma ni mchaga,kumbe anatokea Sumbawanga huko.
 
Mji umeanza kupendeza sasa.
Foleni zimepungua,tunapumuwa.
Enyi wakuja,muwaige wenzenu wachaga wana akili,nanyi muende kwenu mukasalimie,tuachieni Dar yetu ipumuwe,MURUUDI KWEEENU!
NARUDIA TENA,WAKUJA MURUUDI KWEENU,muziachie passport size zipumuwe!
 
Salaam!
Umekuwa ni utamaduni wa watu wa kasikazini hususani Wachaga kwenda mapumzikoni kila mwisho wa mwaka
Nimejaribu kufikiria ni kwanini makabila mengine hayana utamaduni huu mzuri kama wachaga?jibu sahihi bado sijapata ila nimejaribu kuhisi labda ni kwa sababu Wachaga wengi wamesoma?
Au mkoa wa Kilimanjaro upo mbali sana kiasi cha wachaga kushindwa kwenda mara kwa mara?
Lakini nimegundua hata Morogoro na Tanga sio mbali lakini Waluguru na Wasambaa hua hawaendi makwao mwisho wa mwaka so umbali na ukaribu kwangu ni vigezo vilivyokosa nguvu.
Nini siri ya Wachaga na utamaduni huu mzuri wa kwenda mapumzikoni mwisho wa mwaka?
Kwa nini makabila mengine wamekuwa wazito kutekeleza swala hili?
Mjadala upo wazi!

Projects monitoring & evaluation. ....like ole wako urudi hapa mwakani bila kutimiza haya hata kama ni kwa kuiba
 
Wachaga wengi wameelimika.Pia kumbuka katika historia waingereza waliishi sana kilimanjaro na hivyo kuwafanya wachaga kuadopt utamaduni wa kupumzika kipindi cha mwisho wa mwaka.Ambapo tamaduni hiyo mpaka leo inaendelezwa.Ukitizama maeneo ya kilimanjaro ni tafauti.na mikoa mingine hasa kimaendeleo,na upatikanaji wa huduma za kijamii.Hii ni kutokana na utamaduni wa kurudisha nyumbani walivyovipata through out th year.Hivyo vijana hushiriki katika kuchangia miradi ya maendeleo vijijini mwao mwishoni mwa mwaka.Ni wakati wa kufahamiana na kupanga mipango ya mwaka unaofuata,kujua nani kafanikiwa na nani wa kusaidiwa.Kufahamu waliotangulia mbele ya haki na wale waliozaliwa.Pia its a fun moment...These ar th issues behind.
 
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.

siyo kweli kwamba wakibosho na wamachame hawaoani

Wanaoana na mifano hai ninayo acha kupotosha umma
 
mkuu ulishawah kusikia mchaga mganga wa kienyeji? mtindo wa kuwa na kipindi cha mapumziko kwa mwaka mbona upo nchi nyingi duniani? matajiri wengi hapa tz huwa wana utaratibu wa kwenda kupata hewa safi ya vijijin kuepuka pollution za mijini. ww kama cku 366 kwa mwaka upo manzese shauri yako. kuna tajiri mmoja mhindi namfahamu kila mwisho wa mwez anaenda kwn milima ya Amani huko muheza tanga kupumzika kwenye nyumba yake aliyojenga katikati ya misitu kupata hewa safi. je na yeye ni mchawi? acheni kuwa na chuki zisizokuwa na maana.
 
ni mazindiko ndugu, mashetani. wanaenda kutii yalivyosema mizimu yao. ndio maana wachaga wana vifungo vya kila aina kwasababu koo zao zimeunganishwa na mikataba ya kimizimu. huu ndio ukweli. kila kabila kuna mizimu, lakini kwa wachaga kuna mizimu sana sana. mbuzi na kondoo mwezi huu huwa wanapata shida sana. wachaga wengi mwezi wa kumi na wa kumi na moja, wanaenda kwao kama kuna mkataba fulani hivi katika familia utakuta wameondoka wanaume tu/baba wa nyumba ameungana na wababa wenzie kila baada ya miezi hiyo, na kuna mambo fulani hata kama pengine sio uchawi na mengine ni ya kichawi huwa wanaenda kuyafanya. vilevile wengine kuna mikataba ya pamoja ya kishetani/cults huwa wamepatana kwa mganga huwa wanaenda kama kurenew kwaajili ya kutafutia pesa.
.................wewe ni punguani kabisa........akili za kuambiwa changanya na zako.........uchangani hakuna....kitu kama hicho....kwa taarifa yako....kwa wachagga...... kwa wengine hii ni generation ya.... 03 wapo wa generation ya ....pili na generation ya kwanza wamebaki wachache saana........WALE WAZEE WALIOKUWA MIJINI MIAKA YA 50/60/,,,80.....WENGI WAMESHAKUFA AU WENGINE NI WAZEE SANA...NA WAPO MOSHI......WATOTO WAO NDIO WAPO MJINI......MWISHO WA MWAKA NI MUDA MWAFAKA KWENDA KUWAJULIA KHALI.....WAPO WALE WALIOZALIWA NA HAWA WAZEE HUKU MIJINI ...WENGI WALISOMEA MOSHI.....WENGI WALIKAA NA BABU ZAO MOSHI.....WALIPO MALIZA SHULE ,,,WAKARUDI MJINI....KWENDA KUWASALIMIA WAZEE WAO NI KOSA????? KUNA VITUKUU.....VIJANA WALIOKULIA KIJIJINI WAKAJA MJINI BAADA YA KUMALIZA DARASA LA SABA.....WENGINE NI WAFANYABIASHARA ......WENGINE NI WAAJIRIWA.....WASIENDE KWAO KUSALIMIA NA KUWA PAMOJA NA FAMILIA ZAO MWISHO WA MWAKA////////////tambua wachagga hawaishi Dar es salaam tu.......unakuta familia moja....watu wako mikoa tofauti zaidi ya 05.....wote ni watoto....familia kukutana wote mnafikiri watakutana wapi????kama sio kwa wazee wao...KILIMANJARRO ....????Tambua kama MTOTO amezaliwa dar es salaam kila mwisho wa mwaka anaona wazee wanaenda pumzika Moshi...mwisho wa mwaka ......huo utamaduni lazima na yeye atakuwa anafanya hata watoto wataiga kwa baba yao........hiyo mizimu kwa kila kabila IPO...NI WACHAGGA TU KWA SABABU MAMBO YETU YAKO WAZI......NAAMINI WAKINGA WASUKUMA....HAYA MAMBO YAPO..........Wachagga kwa kiasi kikubwa......Ukristu umeshayapiga marufuku hayo mambo..MIZIMU..MATAMBIKO......wapo Wachagga waliokulia mjini hawajui hata kuchinja kuku?????akienda kijijini kusherekea na ndugu zake mliokremishwa mnaimba wanaenda toa sadaka kwa mizimu.....KIKUBWA TAMBUENI KILA MTOTO WA KIUME UCHAGGANI ANA .....KIHAMBA........ANATAKIWA AJENGE NYUMBA YAKE KWENYE KIHAMBA CHAKE.......AKIFA YEYE AU MTOTO AU MKE ANAZIKWA KWENYE KIHAMBA CHAKE...SO KILA MTU ANAJITAHIDI KUWA NA NYUMBA YAKE MWISHO WA MWAKA NI MUDA MUAFAKA WA KULALA KWENYE NYUMBA YAKO NA FAMILIA YAKO...............KWA MSIOELEWA XMAS NA MWISHO WA MWAKA KWA JAMII NYINGI ZA KILIMANJARO ......NI...NAFASI YA WANAFAMILIA KUKUTANA PAMOJA.....WATOTO KUFAHAMIANA.....KUSULUGHISHA UGOMVI KAMA UPO WA KIFAMILIA.........KUPEANA POLE KWA WALE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPOTEZA NDUGU ZAO NK....,...MITAMBIKO TUSHAIZIKA NA KUISAHAU KWA JINA LA YESU
 
Ni utamaduni wao na ni kawaida yao so na wewe ufanye kuwa utamaduni uwe unaenda kwenu mwez wa tatu.
 
Back
Top Bottom