Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
sasa unataka uende kati ya mwaka utamkuta nani huko?? Watu wa mijini hawapo wakati huo, na wale wa vijijini wako busy na kazi sasa unaenda kupumzika na nani?? Mwisho wa mwaka watu wanaenda sababu unaenda kukutana na ndugu zako, rafiki zako waliotoka pande mbalimbali za dunia.. and yep, kama una rafiki mchagga hebu mwombe siku moja umsindikize uone kama kila mwaka hutotia timu..
Watu wanalima tu masaa 24 ndani ya miezi 11 kasoro mwezi wa 12 tu?
Bas uchagan kungeendelea kuliko mkoa wwte TANZANIA