Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
sasa unataka uende kati ya mwaka utamkuta nani huko?? Watu wa mijini hawapo wakati huo, na wale wa vijijini wako busy na kazi sasa unaenda kupumzika na nani?? Mwisho wa mwaka watu wanaenda sababu unaenda kukutana na ndugu zako, rafiki zako waliotoka pande mbalimbali za dunia.. and yep, kama una rafiki mchagga hebu mwombe siku moja umsindikize uone kama kila mwaka hutotia timu..
Watu wanalima tu masaa 24 ndani ya miezi 11 kasoro mwezi wa 12 tu?
Bas uchagan kungeendelea kuliko mkoa wwte TANZANIA
aliyekudanganya kuwa wachaga sio washirikina amekuroga ndio maana hauelewi kitu. kwa taarifa yako, wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji Tanzania ni wachaga. wao hawaendi kutafuta dawa ya magonjwa, wanaenda kutafuta uchawi wa kutafuta pesa hata kwa kuua ndugu. kuna mandondocha rundo kmanjaro na mandondocha wengine ni wale nusu, unamuona yupo anafanya kazi lakini hafanikiwi kumbe wamemkombea nyota zote. ulishawahi kuona mpemba amemshinda mchaga kwenye duka, chuma ulete ya wazee wa uswahilini ile imegonga mwamba kwa mchaga, anaenda kuweka duka katikati ya uswahili wa duka linaendelea. kuna siri nzito. kama haujui tuambie sisi tunaofanya biashara tunawajua sana hao ndugu.
Mkuu uchaggani watu hawategemei kilimo tu.. Na hicho kilimo unachosema wanalima mwezi mmoja tu. Wachagga wako busy na kazi mzee, wengine wako kule mgombani ila shughuli zao wanafanyia mjini. Mtu akirudi anaenda kujipumzisha na familia yake tu. Au wewe hata hapo mjini ulipo unathubutu kwenda kumtembelea mtu weekday??
ni mazindiko ndugu, mashetani. wanaenda kutii yalivyosema mizimu yao. ndio maana wachaga wana vifungo vya kila aina kwasababu koo zao zimeunganishwa na mikataba ya kimizimu. huu ndio ukweli. kila kabila kuna mizimu, lakini kwa wachaga kuna mizimu sana sana. mbuzi na kondoo mwezi huu huwa wanapata shida sana. wachaga wengi mwezi wa kumi na wa kumi na moja, wanaenda kwao kama kuna mkataba fulani hivi katika familia utakuta wameondoka wanaume tu/baba wa nyumba ameungana na wababa wenzie kila baada ya miezi hiyo, na kuna mambo fulani hata kama pengine sio uchawi na mengine ni ya kichawi huwa wanaenda kuyafanya. vilevile wengine kuna mikataba ya pamoja ya kishetani/cults huwa wamepatana kwa mganga huwa wanaenda kama kurenew kwaajili ya kutafutia pesa.
Acha uongo. Mbona husemi kuhusu MAKAFARA ya kumwaga damu ya mbuzi ama kondoo?!!!
Salaam!
Umekuwa ni utamaduni wa watu wa kasikazini hususani Wachaga kwenda mapumzikoni kila mwisho wa mwaka
Nimejaribu kufikiria ni kwanini makabila mengine hayana utamaduni huu mzuri kama wachaga?jibu sahihi bado sijapata ila nimejaribu kuhisi labda ni kwa sababu Wachaga wengi wamesoma?
Au mkoa wa Kilimanjaro upo mbali sana kiasi cha wachaga kushindwa kwenda mara kwa mara?
Lakini nimegundua hata Morogoro na Tanga sio mbali lakini Waluguru na Wasambaa hua hawaendi makwao mwisho wa mwaka so umbali na ukaribu kwangu ni vigezo vilivyokosa nguvu.
Nini siri ya Wachaga na utamaduni huu mzuri wa kwenda mapumzikoni mwisho wa mwaka?
Kwa nini makabila mengine wamekuwa wazito kutekeleza swala hili?
Mjadala upo wazi!
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.
Wanarudsha nchi Nyuma tu
.................wewe ni punguani kabisa........akili za kuambiwa changanya na zako.........uchangani hakuna....kitu kama hicho....kwa taarifa yako....kwa wachagga...... kwa wengine hii ni generation ya.... 03 wapo wa generation ya ....pili na generation ya kwanza wamebaki wachache saana........WALE WAZEE WALIOKUWA MIJINI MIAKA YA 50/60/,,,80.....WENGI WAMESHAKUFA AU WENGINE NI WAZEE SANA...NA WAPO MOSHI......WATOTO WAO NDIO WAPO MJINI......MWISHO WA MWAKA NI MUDA MWAFAKA KWENDA KUWAJULIA KHALI.....WAPO WALE WALIOZALIWA NA HAWA WAZEE HUKU MIJINI ...WENGI WALISOMEA MOSHI.....WENGI WALIKAA NA BABU ZAO MOSHI.....WALIPO MALIZA SHULE ,,,WAKARUDI MJINI....KWENDA KUWASALIMIA WAZEE WAO NI KOSA????? KUNA VITUKUU.....VIJANA WALIOKULIA KIJIJINI WAKAJA MJINI BAADA YA KUMALIZA DARASA LA SABA.....WENGINE NI WAFANYABIASHARA ......WENGINE NI WAAJIRIWA.....WASIENDE KWAO KUSALIMIA NA KUWA PAMOJA NA FAMILIA ZAO MWISHO WA MWAKA////////////tambua wachagga hawaishi Dar es salaam tu.......unakuta familia moja....watu wako mikoa tofauti zaidi ya 05.....wote ni watoto....familia kukutana wote mnafikiri watakutana wapi????kama sio kwa wazee wao...KILIMANJARRO ....????Tambua kama MTOTO amezaliwa dar es salaam kila mwisho wa mwaka anaona wazee wanaenda pumzika Moshi...mwisho wa mwaka ......huo utamaduni lazima na yeye atakuwa anafanya hata watoto wataiga kwa baba yao........hiyo mizimu kwa kila kabila IPO...NI WACHAGGA TU KWA SABABU MAMBO YETU YAKO WAZI......NAAMINI WAKINGA WASUKUMA....HAYA MAMBO YAPO..........Wachagga kwa kiasi kikubwa......Ukristu umeshayapiga marufuku hayo mambo..MIZIMU..MATAMBIKO......wapo Wachagga waliokulia mjini hawajui hata kuchinja kuku?????akienda kijijini kusherekea na ndugu zake mliokremishwa mnaimba wanaenda toa sadaka kwa mizimu.....KIKUBWA TAMBUENI KILA MTOTO WA KIUME UCHAGGANI ANA .....KIHAMBA........ANATAKIWA AJENGE NYUMBA YAKE KWENYE KIHAMBA CHAKE.......AKIFA YEYE AU MTOTO AU MKE ANAZIKWA KWENYE KIHAMBA CHAKE...SO KILA MTU ANAJITAHIDI KUWA NA NYUMBA YAKE MWISHO WA MWAKA NI MUDA MUAFAKA WA KULALA KWENYE NYUMBA YAKO NA FAMILIA YAKO...............KWA MSIOELEWA XMAS NA MWISHO WA MWAKA KWA JAMII NYINGI ZA KILIMANJARO ......NI...NAFASI YA WANAFAMILIA KUKUTANA PAMOJA.....WATOTO KUFAHAMIANA.....KUSULUGHISHA UGOMVI KAMA UPO WA KIFAMILIA.........KUPEANA POLE KWA WALE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPOTEZA NDUGU ZAO NK....,...MITAMBIKO TUSHAIZIKA NA KUISAHAU KWA JINA LA YESUni mazindiko ndugu, mashetani. wanaenda kutii yalivyosema mizimu yao. ndio maana wachaga wana vifungo vya kila aina kwasababu koo zao zimeunganishwa na mikataba ya kimizimu. huu ndio ukweli. kila kabila kuna mizimu, lakini kwa wachaga kuna mizimu sana sana. mbuzi na kondoo mwezi huu huwa wanapata shida sana. wachaga wengi mwezi wa kumi na wa kumi na moja, wanaenda kwao kama kuna mkataba fulani hivi katika familia utakuta wameondoka wanaume tu/baba wa nyumba ameungana na wababa wenzie kila baada ya miezi hiyo, na kuna mambo fulani hata kama pengine sio uchawi na mengine ni ya kichawi huwa wanaenda kuyafanya. vilevile wengine kuna mikataba ya pamoja ya kishetani/cults huwa wamepatana kwa mganga huwa wanaenda kama kurenew kwaajili ya kutafutia pesa.
Wakati mwingine wote wa mwaka wanakuwa wakichapa mzigo vibaya!
Watu wanalima tu masaa 24 ndani ya miezi 11 kasoro mwezi wa 12 tu?
Bas uchagan kungeendelea kuliko mkoa wwte TANZANIA
Wachaga wanatafuta sana hela lakini hawatumii,mi naonaga uchizi tu.