Kaka k ni nani mdau? Ulimaanisha mimi?
Mimi ni mchagga bila kuchanganya kabila. Wazazi wote wachagga.
Huyu atakuwa huwa anaenda tu kama routine na bila malengo!
dah..we acha tu, ni raha kwenda lakini kuanzia january ukiangalia account unaweza kulia!!
kweli kabisa....wengi wanafuta mkumbo tu!!Ohhh anafuata mkumbo tu sio. . ?
ulikuwa unazimwaga tu...full kuzungusha raundi au?Hahahahaaaaa........iliwahi kunikuta hii aisee dah!!
Heheh asante.
Mbege itanikoma leo. . .
destination wapi? useri, mashati, mkuu au tarakea?Infact Mimi nitaondoka hapa Dar kwa Meridian ifikapo tarehe 20 December 2011.
destination wapi? useri, mashati, mkuu au tarakea?
Heheheh. . . wanapata nafuu.Na tukiondoka watu huwa wanafurahia sana maana hata Foleni inapungua kwa zaidi ya 50% Maana wengi wetu huwa tunakamata ESCUDO na RAV4 zet haooooooooooo Mgombani! Karibu Lizzy kwetu Maana shughuli ya Kuandaa Mbege tayari iko kwenye Maandalizi
Heheheh. . . wanapata nafuu.
Mhh kama ukiniambia kutakua na mbege + mbusi ntakuja Mashati kula mwaka mpya.
ulikuwa unazimwaga tu...full kuzungusha raundi au?
:flame:
Kuwa mchaga haina maana kujua kila kitu kuhusu wachaga! Na siyo kila mchaga anakula kisusio.Sasa kama wewe ni Mchagga inakuaje unauliza maswali ambayo ulitakiwa uwe na majibu yake?