Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Aika mbe.
Aika maee! Chamecha sanaa! Warikire wose.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aika mbe.
Mashati mkuu! Nashuka Kidogo kama naenda Maeneo ya Kiraeni Ukiulizia Polonium210 Mzee wa Kupulizia unafika Kwetu
Kuanzia tar 20 hadi 24 barabara ya dar moshi inakuwa na jam ya kufa mtu. Dar kunabaki kweupee.Moshi kwa sasa inageuka dar kwa foleni, idadi ya people imeongezeka.nukta
Wivu siyo dawa!waacheni tu waende lakini ukweli ni kuwa kule migombani hakuna kitu cha maana.
waacheni tu waende lakini ukweli ni kuwa kule migombani hakuna kitu cha maana.
waacheni tu waende lakini ukweli ni kuwa kule migombani hakuna kitu cha maana.
Wivu siyo dawa!
Karibu Mbege....... imetiwa Mseseve wa kutosha.
Kwahiyo ndugu tunaoenda kuwaona sio wa maana?
Mapumziko tunayoenda kujipatia sio ya maana?
Furaha tunayopata kuzungukwa na ndugu toka kila upande ambao hatujaonana nao mwaka mzima haina maana?
Kukumbuka tunapotoka hakuna maana?
Baki wewe na maana yako na sie tutaendelea na hiyo "hakuna maana" yetu miaka nenda rudi.
Kwasababu wengi tunakua likizo.kwani december tu,
kwani hiyo miezi mingine ina nini,
mimi nimetoka huko mwishoni mwa novemba na niko poa tu.
Sina swali la nyongeza! Wifu siyo?Nitakuwaje na wifu na kwetu?
hiyo hela ya kupanda huko nimeamua kupanga nyumba rangi,
inabidi wachagga tufike mahali tubadilike, nyie vipi.
uzuri wa kule lizzy kila mtu anaenda so inapendeza kweli hata alieko ulaya asia wapiwapi wanadondoka full ckampani sio huku mjini kutafuta kampani hadi uje uanzishe mthread huku jfkwasababu wengi tunakua likizo.
Point nzima ya kwenda likizo ni familia nzima kuwa pamoja na disemba(tofauti na miezi mingine) wengi tunakua kwemye nafasi yakuacha shughuli zetu na kwenda kukutana na wenzetu.
Kama hiyo sio sababu inayokupeleka wewe then sioni ajabu kwamba huelewi kwanini kwetu inaleta maana.
Sindo hapo sasa, bado hajajua kwanini.Ni tradition kama aliyojijengea yeye kwake, sema yetu inainvolve mtu mingi, vicheko na furaha kibao bila kusahau milo ya ukweli na watu wa ukweli.uzuri wa kule lizzy kila mtu anaenda so inapendeza kweli hata alieko ulaya asia wapiwapi wanadondoka full ckampani sio huku mjini kutafuta kampani hadi uje uanzishe mthread huku jf
tuna group yetu fb tupo watu 780 kwanza tunaenda kutoa fungu letu la kumi kwa kituo cha watoto yatima kipo pale vilage tutakesha nao tar 24 then mishemishe zingine just imagine itakavikuwa poasindo hapo sasa, bado hajajua kwanini.ni tradition kama aliyojijengea yeye kwake, sema yetu inainvolve mtu mingi, vicheko na furaha kibao bila kusahau milo ya ukweli na watu wa ukweli.