Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

kuna kitu bado naona hakiongelewi hapa. ngoja niendelee kusoma huenda ntakiona huko mbele!
 
kuna kitu bado naona hakiongelewi hapa. ngoja niendelee kusoma huenda ntakiona huko mbele! au hakuna hata mrombo mmoja kati yenu?
 
waacheni tu waende lakini ukweli ni kuwa kule migombani hakuna kitu cha maana.

Binafsi huwa napenda yale MATAMBIKO YAO. Huwa naenjoy sana, lakini ndo hivyo tena nshahama, imebaki historia tu kwangu
 
Yuuuuethu lazima niende kwetu Uru babangu nikakutane na kina Njau aaisee
 
Binafsi huwa napenda yale MATAMBIKO YAO. Huwa naenjoy sana, lakini ndo hivyo tena nshahama, imebaki historia tu kwangu
Matambiko yepi tena? Hizo imani tayari zishaachwa kabisa. Hamna cha isale wala mshimbika!
 
Mi mwenyewe nashangaa.
Watu wasione thread ya maana imewekwa kuhusu waChagga, lazima wachomekee vitu ambavyo ni negative hata kwa kulazimisha (visivyo na ukweli).
 
chagga people wanajua raha ya xmass, mkutane ndugu wote mle kwa pamoja, mfurahi, huku mnaimba...Kokoya ki wari kya msiha...Huwa burudani sana.
 
wachagga ni wezi, tena ni wezi wakubwa,
wanatafuta nauli za kwenda kwao hata kwa njia za haramu,
kwenye duka la mchagga nimenunua rangi, ameweka lebo ya broken white
kumbe ndani ni rangi ya cream, kurudisha amekomaa hataki kurudisha hela wala kutoa rangi nyingine,
mmeniuzi, tena kuanzia sasa hadi januari 2012 mimi siyo mchagga tena.
 
Utajijuuu.
 
Huwezi kana kabila lako.
 
Kwani wachaga ndio wanaotengeneza hizo rangi? Wao wauzaji tuuuu!!
 
Mi mwenyewe nashangaa.
Watu wasione thread ya maana imewekwa kuhusu waChagga, lazima wachomekee vitu ambavyo ni negative hata kwa kulazimisha (visivyo na ukweli).
Wanajaribu sana kuwaharibia wachaga but waishia kujikuta kuwa wanawapromote zaidi.
 
tarehe za kukata tiketi mapema izi zishafika.
kuanzia wiki ijayo, mabasi yatakuwa hayatoshi.
tarehe hizi moshi ni movement za mabegi tu.
machame, kibosho, uru, kilema, marangu, kirua, rombo(keni,mashati,tarakea, mkuu kushaanza kujaa watu
 
Wasoro, waka na wana sindenyi mochi, yewooomi lanye, sindenyi wose mlarie numa.....

msing'ang'anie mjini tu.... twendeni tukasalimie baba,mama, bibi, mjomba,shangazi kijijini.

mimi nawahi machalari ya kupikwa kwenye chungu, na kiburu cha moto, na kitawa cha baridi.

sio mazingira tu yanachange, hata diet inabadilika,,,kisusio,nyama za kuchoma chini ya mikahawa na migomba, asubuhi magimbi ya kuchoma au ndizi za kuchoma....jamani.
wacha sisi tukafurahi.
 
Nimekwama hapa Mbezi but alhamdulilah hali imeshakuwa shwari na soon tutaendelea na safari! Nimeshatoa oder ya mbege ya kutosha! kesho naamkia chai na ngararimo!!!
 
mbege ipo ya kutosha , mradi tu tumbo lako lisiwe la'kichina'.
mana unaezapata taifodi bureee... vinginevo. mbege zipo za kutosha mdau.
Na kwa heshima, wewe utakunywa na 'kata'.
 
Niko machame hapa jamani wanakuita scotland sikuhizi karibuni sana huku ni Jim reeves,Don WILLIUM full country n soul kiukweli akili imetulia. Total rest ya nguvu nikirudi huko ni kusaka shekeli kwa style mpya.MERRY CHRISTMASS TO YOU ALL.
 
Back
Top Bottom