Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Sasa itakuwaje na mimi naenda kesho............?.......hebu nielekeze nipite wapi kuepuka jam............
 

Mkuu mi nimetoka town mida hii, kuja maeneo ya sadala! polisi kibao na mabasi ya Dar Arusha ndiyo yalikuwa yanapita, sijui yamechelewa wapi.

Shangwe shangwe, ila hawa Polisi wamezidi.
 
Sasa itakuwaje na mimi naenda kesho............?.......hebu nielekeze nipite wapi kuepuka jam............

Hebu tulia hapa mjini utafute pesa..umeshachelewa😉
 
Ukisikia kuhesabiwa ni mwaka huu kwani idadi kubwa ya wachaga 2po moshi aisee ni kula mbuzi tu na machalar raha sana
 
watanzania wote tungeiga mila na desturi za kichaga tungependana sana....mtu akitoka mwitongo butiama akifika dsm harudi kwao miaka 10.
baraka zinapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…