kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Asante mkuu nipo nyumbani rasmi karibu meku tule machalari
Asante mkuu, naona Polisi leo wamefurika kila kona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu nipo nyumbani rasmi karibu meku tule machalari
Mkuu its really amazing...Inapendeza mno watu ni wengi nipo mitaa ya oriental hapa no sheedah watu waliopotezana miaka na miaka wanaonana.... Jana nilikuwa kijijini nimekutana na jamaa nilipotezana nao almost 7 years ago.
Full shangwe...mbuzi wanaadhibiwa balaaa
Sasa itakuwaje na mimi naenda kesho............?.......hebu nielekeze nipite wapi kuepuka jam............
Sasa itakuwaje na mimi naenda kesho............?.......hebu nielekeze nipite wapi kuepuka jam............
Duh wengine inabidi tubaki tuu.tutahesabiwa mwakani
Hivi bado kuna waliobaki?
Wengi tuu tumebakii mbona.yani daftari la mahudhurio nauhakika nusu hatupo
Sasa itakuwaje na mimi naenda kesho............?.......hebu nielekeze nipite wapi kuepuka jam............
Boda boda haina folen wewe njoo nayo tu
Wale mashemeji zangu wa machame mpo?
njia zote mbili za kwenda machame zimefurika....
na upepo ataiweza?
Ukisikia kuhesabiwa ni mwaka huu kwani idadi kubwa ya wachaga 2po moshi aisee ni kula mbuzi tu na machalar raha sana