Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Sasa itakuwaje na mimi naenda kesho............?.......hebu nielekeze nipite wapi kuepuka jam............
 
Mkuu its really amazing...Inapendeza mno watu ni wengi nipo mitaa ya oriental hapa no sheedah watu waliopotezana miaka na miaka wanaonana.... Jana nilikuwa kijijini nimekutana na jamaa nilipotezana nao almost 7 years ago.

Full shangwe...mbuzi wanaadhibiwa balaaa

Mkuu mi nimetoka town mida hii, kuja maeneo ya sadala! polisi kibao na mabasi ya Dar Arusha ndiyo yalikuwa yanapita, sijui yamechelewa wapi.

Shangwe shangwe, ila hawa Polisi wamezidi.
 
Ukisikia kuhesabiwa ni mwaka huu kwani idadi kubwa ya wachaga 2po moshi aisee ni kula mbuzi tu na machalar raha sana
 
Ukisikia kuhesabiwa ni mwaka huu kwani idadi kubwa ya wachaga 2po moshi aisee ni kula mbuzi tu na machalar raha sana
0f82204172c08175495702703b299fff.jpg
 
watanzania wote tungeiga mila na desturi za kichaga tungependana sana....mtu akitoka mwitongo butiama akifika dsm harudi kwao miaka 10.
baraka zinapotea
 
Back
Top Bottom