Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Hakuna namna unaweza kuidefend hii old tradition aisee... Its old fashioned...
 
watu ni muhimu kwenda kujuliana hali na kijadili ya kifamilia ka si ya kiukoo🙂🙂
 
wewe una sababu zako mimi binafsi si mchaga lakini utamaduni wa hawa jamaa nimeukubali kwanza kwa kwenda kwao mara kwa mara kumewafanya wafanye maendeleo makubwa vijijini kwao unakuta mijengo ya maana iko migombani mikoa mingine hata vyoo vya kawaida kabisa vijijini hakuna sembuse nyumba inatubidi tukubali na sisi tubadike na kufanya maendeleo tulikotoka ili tuwe na hamu ya kwenda kufurahi wakati wa likizo wengi wetu wengine mazingira hayako rafiki mahali tunapotoka ndio maana tunashindwa hata kuipeleka familia kujua kwenu mpaka matatizo yakukute ndio unaaibika ,pili naomba ufahamu mpaka miaka ya 1980 hapo wilaya zote kilimanjaro zilikuwa zinafikika kwa barabara nzuri na zingine zilikuwa na lami wakati mikoa mingine hata barabara hakuna au zinapitika kwa shida kwahiyo ninachotaka kusema hawa jamaa walikuwa na maono na viongozi wao na watendaji walikuwa wazalendo wa kweli wacha chuki binafsi ukweli unaonekana.
 
Wapi palikuwa hapapitiki ? Labda huko kwenu
 

Stupid comment
 

Wasukuma moahi ndio ombaomba pita ujionee tu
 
Arusha gani unayoisema ? Hiyo ya Longido na Monduli ambako wamasai huokota maji tunayowarushia sisi watalii ? Mwanza hapa Tz inazidiwa na Dar tu , Moshi na Arusha ligi yao ni kina Morogoro, Mbeya, Kahama, Dodoma na Tanga.

Unaandika kwa jazba sana hii sindano uliyopigwa ina nguvu sana
 
Duh! Jina mkaruka tayari ni utambulisho tosha unatoka mkoa gani, sawa unaishi Klm, lakini ulichoelezea ni jinsi nafsi yako inavyoteseka na life style ya wana- Klm
 
Wake za watu wanabanjuliwa kwa wingi sana mkoani Kili mwezi Dec kuliko mahala popote pale ukanda wa SADC.

Mliooa Kili komaeni muende na wake zenu kama hamuwezi kuwakatalia
Ww wafikiria kubanjwana tu, kweli maendeleo utayasikia kwa [emoji343] radio
 
Povu kama lote, usije jinyonga kisa wachaga, au ww gagula nn!
 
Jaziba ? Ni lini mkoa wa Kikimanjaro uliwahi kusapoti chakula usukumani ? Wewe ni mburula fulani uliyejwa na ukabila. Wao wachagga ndio kutwa kucha kuwaza kuhamia sukumaland kukimbia njaa kwao.
Unaandika kwa jazba sana hii sindano uliyopigwa ina nguvu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…