Ukweli ni kwamba .....Huu ndo muda wa hizo madhabahu zao kupokea sadaka kama
ulivyoamriwa na miungu familia za hao ambao bado wana fuatilia hayo....Though wengine wameshaacha bt ni wachache sana.
Ambao wameacha cha moto wanakiona na salama yao ni kwa Mungu wa kweli ili alipe fidia za damu ambazo huwa zinawaga km kafara wakati wa matambiko! Damu za Mafahari/wanyama
Laiti ungekuwa na Roho wa Mungu ungeongea ukweli. Huko ni dalili kuwa imani yako ina walakini.
Je kutambika huko ni kwa wachagga tu? Acha Ku changia kama umelewa pombe ya chuki. Mimi ni mchagga sijawahi kuona wala kushawishiwa na mzazi wangu ambaye ni msomi kuwa nikatambike. Anaamini wanaotambika hawajaenda shule, anaamini MTU akifa amekufa hawezi kuamua kilichopo. Nakuona kama mwandishi wa conspiracy. Unataka kujidanganya kuwa uchawi ndio unawatajirisha watu. Je shetani angependa wachagga watukuze siku aliyozaliwa yesu kristo?
Nadhani Ufanye na takwimu nyingine. Inawezekana umewahi kutendwa na mchagga kimapenzi ama vyovyote vile inakufanya uwachukie. Nakushauri don't generalize.
Kurudi xmass hakuna uhusiano na matambiko.
Bali Ni dalili kuwa wanao ndugu, wake, wazazi walowaacha huku wakaenda kusaka maisha, na kwakuwa tumemisi nyumbani. Maisha na mazingira ya Kilimanjaro ni mazuri kiasi lazina utapenda kurudi home.tatizo home hakuna hela ila ni pazuri sana. Maji safi, hewa safi, utulivu mzuri, hakuna vipindupindu, unaweza pishana na watasha utadhani upo ulaya, wengi familia bora, wamesoma n.k.
Sio kama mikoa mingine ambayo haina infrastructure wala maendeleo. Imedoda kwa umaskini, ushirikina na uchawi na ujinga n.k.
Pole kwa Kabila lako . pia we endelea kucheza sindimba. Sisi sindimba Ilikufa zamani. Tunajia pasaka na xmass tu.
Karibu mbege Mae.....
Mkuu hapo mwishoni sema ww na familia yako ndo mmeshaacha hayo matambiko!
Usiseme wote. ...coz wengi bado wapo huko!!
Mi minaposali hapa chaga ni zaidi ya 70% ni hatari!
Uzuri tu wameamua na wanafunguka ma Yesu anawafungua