Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Waswidish kipindi hichi cha sikukuu huwa wanasafiri kurudi katika miji waliozaliwa hivyo nao ni wachagga?
Kenya ni jambo la kawaida wakazi wa miji mikubwa mbalimbali kwenda walikozaliwa wanapaita ushagoo bila kujali kabila.
Kama mtu una uwezo na unapakufikia kwanini usiende kusalimia ulikozaliwa?
Kama kwenu umeacha tembe usilaumu na kukosoa waliojenga kwao.
Mhhh..... Mnavotetea mizimu yenu! Mkiwa wa kweli kuna shida gani? Ya nn kujifananisha na wajerumani au waingereza? Naambiwa huko ni natambiko ya damu na uchawi wa pesa basi
 
Salaam!
Umekuwa ni utamaduni wa watu wa kasikazini hususani Wachaga kwenda mapumzikoni kila mwisho wa mwaka
Nimejaribu kufikiria ni kwanini makabila mengine hayana utamaduni huu mzuri kama wachaga?jibu sahihi bado sijapata ila nimejaribu kuhisi labda ni kwa sababu Wachaga wengi wamesoma?
Au mkoa wa Kilimanjaro upo mbali sana kiasi cha wachaga kushindwa kwenda mara kwa mara?
Lakini nimegundua hata Morogoro na Tanga sio mbali lakini Waluguru na Wasambaa hua hawaendi makwao mwisho wa mwaka so umbali na ukaribu kwangu ni vigezo vilivyokosa nguvu.
Nini siri ya Wachaga na utamaduni huu mzuri wa kwenda mapumzikoni mwisho wa mwaka?
Kwa nini makabila mengine wamekuwa wazito kutekeleza swala hili?
Mjadala upo wazi!

Jibu: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
mila Ni moja, pili Ni dini ingawaje kuna baadhi Ni mkia siwezi litaja hilo mwisho Ni kisomo. kuna wakati was kufanya kazi na kupumzika. wakati mrefu muafaka na kukutanika ndugu na kujuliana matatizo na kutimixa mila pamoja Ni Xmas mpaka mwaka mpya hats aliye Washington lazima afike kwenye mila kuna kitu kinaitwa sale hapo shukran hutolewa tofauti na makibila yoote ambayo mila hizo hayana usiulize tena
 
We mtoa post toka uondoke kwenu miaka ya tisin bado haujarudi kwenu kanipange ili nawe uende kwenu
 
Ukweli ni kwamba .....Huu ndo muda wa hizo madhabahu zao kupokea sadaka kama
ulivyoamriwa na miungu familia za hao ambao bado wana fuatilia hayo....Though wengine wameshaacha bt ni wachache sana.

Ambao wameacha cha moto wanakiona na salama yao ni kwa Mungu wa kweli ili alipe fidia za damu ambazo huwa zinawaga km kafara wakati wa matambiko! Damu za Mafahari/wanyama

Laiti ungekuwa na Roho wa Mungu ungeongea ukweli. Huko ni dalili kuwa imani yako ina walakini.
Je kutambika huko ni kwa wachagga tu? Acha Ku changia kama umelewa pombe ya chuki. Mimi ni mchagga sijawahi kuona wala kushawishiwa na mzazi wangu ambaye ni msomi kuwa nikatambike. Anaamini wanaotambika hawajaenda shule, anaamini MTU akifa amekufa hawezi kuamua kilichopo. Nakuona kama mwandishi wa conspiracy. Unataka kujidanganya kuwa uchawi ndio unawatajirisha watu. Je shetani angependa wachagga watukuze siku aliyozaliwa yesu kristo?
Nadhani Ufanye na takwimu nyingine. Inawezekana umewahi kutendwa na mchagga kimapenzi ama vyovyote vile inakufanya uwachukie. Nakushauri don't generalize.

Kurudi xmass hakuna uhusiano na matambiko.
Bali Ni dalili kuwa wanao ndugu, wake, wazazi walowaacha huku wakaenda kusaka maisha, na kwakuwa tumemisi nyumbani. Maisha na mazingira ya Kilimanjaro ni mazuri kiasi lazina utapenda kurudi home.tatizo home hakuna hela ila ni pazuri sana. Maji safi, hewa safi, utulivu mzuri, hakuna vipindupindu, unaweza pishana na watasha utadhani upo ulaya, wengi familia bora, wamesoma n.k.
Sio kama mikoa mingine ambayo haina infrastructure wala maendeleo. Imedoda kwa umaskini, ushirikina na uchawi na ujinga n.k.

Pole kwa Kabila lako . pia we endelea kucheza sindimba. Sisi sindimba Ilikufa zamani. Tunajia pasaka na xmass tu.
Karibu mbege Mae.....




Mkuu hapo mwishoni sema ww na familia yako ndo mmeshaacha hayo matambiko!
Usiseme wote. ...coz wengi bado wapo huko!!
Mi minaposali hapa chaga ni zaidi ya 70% ni hatari!
Uzuri tu wameamua na wanafunguka ma Yesu anawafungua
 
Waswidish kipindi hichi cha sikukuu huwa wanasafiri kurudi katika miji waliozaliwa hivyo nao ni wachagga?
Kenya ni jambo la kawaida wakazi wa miji mikubwa mbalimbali kwenda walikozaliwa wanapaita ushagoo bila kujali kabila.
Kama mtu una uwezo na unapakufikia kwanini usiende kusalimia ulikozaliwa?
Kama kwenu umeacha tembe usilaumu na kukosoa waliojenga kwao.

Hawana hela hawa wanaolalamika waache wenye pesa wakale jasho lao na familia nzima na Mungu anazidi kuwaongezea hao wanaobaki mjini kilab siku hawaeshi jua kali hakuna kitu kikubwa kama kupata baraka za wazazi hata kama huna kitu wakikuina na nyoyo zao kuridhika basi baraka ipo juu yako hii ndio siri ya mafanikio ya wachaga .
 
Hawana hela hawa wanaolalamika waache wenye pesa wakale jasho lao na familia nzima na Mungu anazidi kuwaongezea hao wanaobaki mjini kilab siku hawaeshi jua kali hakuna kitu kikubwa kama kupata baraka za wazazi hata kama huna kitu wakikuina na nyoyo zao kuridhika basi baraka ipo juu yako hii ndio siri ya mafanikio ya wachaga .

Exactly
 
lugha ya picha huafiki mawazo ya mtu na pia huakisi kile anachokifanya yawezekana hiyo ndio chakula yako
 
Wachagga Hawana tofauti na makabila mengine hapa nchini katika kuabudu ama kukumbuka mizimu. Pia inasemekana wachagga hufanya matambiko ya kufa mtu ili wafanikiwe zaidi katika biashara zao.
 
Tunapenda kujumuika ndugu, jamaa na marafiki. Ingawa binafsi nipo hapahapa Moshi lakini bado xmass nitakwenda nilipozaliwa, hata kama ni kutwa 1 tu yatosha.
 
Pendeni au msipende mila ya wenzetu wachaga ni mila ya kuigwa na nchini,ktk kipindi cha kurudi nyumbani ktk sikukuu kama hii ya X Mas wenzetu wanapeana motisha sana yaani unakuta kila mtoto wa kitongoji fulani au mtaa au kata fulani anarudi nyumbani kusherehekea sikukuu pamoja na wanafamilia wote na watu wa kabila na kitongoji kimoja,inatia raha sana kila mtu akirudi nyumbani anarudi na achievement fulani ktk fani flani flani,hiyo husaidia sana kutoa changamoto kwa wengine ambao bado wanapigania kufikia malengo ka hayo.Wenzetu wako mbele sana na hata mimi napendelea family yangu ingechukuwa mfano toka kwa wachaga ili tuweze kufikia maendeleo ya kiaina fulani fulani.Zamani kabla bado sijaamua kuondoka nchini niliwahi fanya kazi ATC upande wa Sales and marketing,lo niliyoyaona hasa kipindi hichi cha ujio wa Xmas yalikuwa ni makubwa sana na hizi contacts zangu zote za wachaga ndipo zilizaliwa ktk kipindi niko nafanya kazi na Airline enzi za Harith Mwapachu kama General Manager na commercial director wake ambaye ndio alikuwa boss wangu Frank Makuaia,jamani tukitaka kwenda mbele sana tuige na tufuate njia wanayopita ndugu zetu wachaga ,kwa hiyo tupende au tusipende wenzetu muelekeo wao uko juu sana.Wenzetu hawana ukristo au uislam wote tabia yao ni moja na inazidi wapeleka mbele.M/Mpamba
 
Chaggas on the way to chaggaland.
 

Attachments

  • 1418700593842.jpg
    1418700593842.jpg
    20.5 KB · Views: 154
Wachagga Hawana tofauti na makabila mengine hapa nchini katika kuabudu ama kukumbuka mizimu. Pia inasemekana wachagga hufanya matambiko ya kufa mtu ili wafanikiwe zaidi katika biashara zao.
Kama hayo matambiko ni kwa nia njema basi tuwape big up na wenzetu waige ili sote tuendelee tusiachane achane
 
kwa mtazamo wangu mi naona hawana siri yeyote ila wenzetu wana asili ya kupenda kwao sana tu
makabila mengine ushirimina,husda roho mbays na chuki zimetutawala vijijini kwetu hatujengi,hatuendi kuogopa kurogwa au ukienda usiage maisha gani sasa hayo
wachaga wenzetu ht km wachawi wao wanaroga wafanikiwe ila sie wengine ukifanikiwa unapigwa juju upotee nani atakubali kurudi!

Mkuu nyumbani n nyumbani kujumuika n ndgu zko 4 xmas ni furaha sana.makabila mengne kwenda kwao mpka msiba mimi each month naenda moshi thou wazazi wangu wanaishi mwz,karibu ndafu nwyr
 
Sio habari ya siri. Watu ni waelewa kinyama. Wazee wanabaki kijiji wanaenda kuungana nao. Moshi huzidi Dar kwa mapato Dec. Wengine mmmh kwao ni kama ukoma. watalala wapi ?

Wengne mpka msiba ndio anaenda kwao pa kulala hana analala kwenye gari iliyobeba maiti
 
Plus maziwa...badala ya kunywa inapewa mizimu!

Mkuu hayo ni maneno kukutana n ndgu zako 4 xmas kuna furaha yke.hyo mambo y mizimu cjui tambiko ni blahblah tu.mimi nimekulia mwz n baba n mchaga istoshe huwa naenda kijijini sana kuna raha zke.pia ndafu tunachinja kwa burudani c tambiko
 
Huwezi ujua uhondo wa ngoma mpaka uingie ucheze karibu marangu kuna hotel nyingi sana utapumzika ujionee kwa macho.

Mkuu hao wamezoea kubwabwaja 2 acha tujilie vyetu nina ndafu 4 burudani taratibuuu.pia kuna bar mpya nyuma y mwanandio imefunguliwa
 
Wengne mpka msiba ndio anaenda kwao pa kulala hana analala kwenye gari iliyobeba maiti

Nimecheka sana kuna sehemu tulienda morogoro usiku watu tulikuwa tunapeana zamu na panya kulala tulitamani kukuche aisee tembea uone na ndio maana wengine huwa hawakanyagi kwao kwa kero kama hizi.
 
Nimecheka sana kuna sehemu tulienda morogoro usiku watu tulikuwa tunapeana zamu na panya kulala tulitamani kukuche aisee tembea uone na ndio maana wengine huwa hawakanyagi kwao kwa kero kama hizi.

Hahahaa mnapishana n panya dadadeki zao ukute twn ukimwona kelele n majigambo mengi.kumbe hom mbavu z mbwa ukitokea msiba anaenda kimyakimya hasemi hata kafiwa
 
Back
Top Bottom