Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Pesa nimetafuta mwaka mzima.......sasa hivi ni wakati wa kunyofoa bunda bunda na kutumia taratibu........kupongezana na kuweka mezani nini umefanya mwaka mzima......kama ulishoia imekula kwako........

Haya mae..enda undeshika!!!
 
Mimi niko hapa meku's bistro naosha gari na nakunywa mbili tatu afu narud kibosho
 
Sahivi mkesha raha nimeshakunywa mbege yangu sina neno raha tu naskilizia tu inavyoshuka kwenye damu karibun wose
 
aliyekudanganya kuwa wachaga sio washirikina amekuroga ndio maana hauelewi kitu. kwa taarifa yako, wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji Tanzania ni wachaga. wao hawaendi kutafuta dawa ya magonjwa, wanaenda kutafuta uchawi wa kutafuta pesa hata kwa kuua ndugu. kuna mandondocha rundo kmanjaro na mandondocha wengine ni wale nusu, unamuona yupo anafanya kazi lakini hafanikiwi kumbe wamemkombea nyota zote. ulishawahi kuona mpemba amemshinda mchaga kwenye duka, chuma ulete ya wazee wa uswahilini ile imegonga mwamba kwa mchaga, anaenda kuweka duka katikati ya uswahili wa duka linaendelea. kuna siri nzito. kama haujui tuambie sisi tunaofanya biashara tunawajua sana hao ndugu.

Wewe inabidi utupe ushahidi kwasababu nikama una choking binafsi
 
Jibu unalo kumbe unatusumbua bule. Umesema ni utamaduni wao.
 
Mji umeanza kupendeza sasa.
Foleni zimepungua,tunapumuwa.
Enyi wakuja,muwaige wenzenu wachaga wana akili,nanyi muende kwenu mukasalimie,tuachieni Dar yetu ipumuwe,MURUUDI KWEEENU!
NARUDIA TENA,WAKUJA MURUUDI KWEENU,muziachie passport size zipumuwe!

Wewe mjinga kweli kwani Wewe ni mdaresslam au mtanzania?.... nakama wewe ni mdar ..pole sana kwa akili ndogo ulio nayo kwsababu .hakuna mwenye dar kila mtu nimgeni lakini tuna paita nyumbani kwasababu tunaishi hapa tumejenga hapa na sisi wote Kama watanzania nikwetu haijalishi either unatoka kigoma au mwanalumango au lindi au bagamoyo au chalinze no one has 3 generation lived at on place people always shift to a new area or new home
 
Bora tunapumua sasa Darisalama! Kwanini hambaki hukohuko? Mkaendeleza na huko pia?

Tukibaki huku mtashindwa kuendesha nchi nyie wacheza vigodoro.

Kodi kubwa za nchi hii zinachangiwa na wahindi, waarabu, wazungu na wachagga.
 
Back
Top Bottom