Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Acha uongo. Mbona husemi kuhusu MAKAFARA ya kumwaga damu ya mbuzi ama kondoo?!!!

Hakuna kafara yoyote inayofanyika...nikuambie tu,hakuna kabila lolote hapa Tanzania lililotawanyika hapa Tanzania kama Wachagga na Wapare,utaenda Mkoa gani au kijiji gani chenye maendeleo kidogo tu uwakose either Mchagga au Mpare?

So kwa muktadha huo wamejiwekea utaratibu mzuri tu kuwa wawe wanakutana kama ndugu once a year ambayo December ndo yenye siku kuu kubwa mbili za kusherekea na kijumuika pamoja kama ndugu jamaa na marafiki kwa kupotezana mwaka mmoja au zaidi.

Makabila mengine ndugu wote wapo sehemu moja,kweli kutakuwa na haja gani ya kurudi kwao ukizingatia makazi ya kuweza kuhifadhi watu hata watano ni kitendawili?

Japo pia pamoja na kuwa Wachagga na Wapare wanaishi mbali na makwao lakini wamepajenga sana kwao mpaka vijijini kiasi kwamba nyumba zinaweza ku-accomodate watu zaidi tofauti na vijiji vya mikoa mingi hapa Tanzania...

Mfano usiopingika toka nikue,sijawahi kuona nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kijijini kwetu toka miaka ya 1985 zaidi ya kuwa na nyumba zilizokuwa zimeezekwa kwa bati za madebe na nyingi zilizoezekwa kwa mtindo huo yalikuwa ni majiko na sehemu za mifugo japo chache pia zilikuwepo za kuishi zilizoezekwa kwa madebe,leo hii huzikuti kule hizo nyumba za mtindo huo.Hakuna nyumba za matope,na hakuna nyumba sijui ya vyumba viwili iliyojengwa kwa mtindo kama darasa na umeme kijijini hapo ulifika miaka ya 1968+ hivi...kwa maendeleo hayo na kwa ndugu,jamaa na marafiki kutawanyika kila mahali,kwanini.tusiwe na siku maalum za kuonana?

Lakini pia,katika makabila haya mawili,ni vigumu kumkuta kijana amekaa idle tu,hajui cha kufanya.Wengi wao wana shughuli za kujishughulisha hata kama anaingiza kidogo sana so anahitaji kupumzika mwisho wa mwaka na kusherekea siku kuu na ndugu zake,tofauti na jamii nyingi za makabila ya hapa Tz na huo ndo ukweli,wenye wivu mjinyonge ndo maana mna chuki sana na wana Kilimanjaro na Arusha pia kwa sasa nayo mmeanza kuichukia,na badoooo!!!!
 
Kwanza ukitoa mikoa ya dar,arusha,mbeya,na mwanza mkoa unaofatia kwa maendleo ni kilmanjaro then wachaga wamejenga kwako zaid kulko kabila lolote hapa tz
so kama nymbn ni pazur na umepajenga vizur umeme mpaka migombn ndio mana wachaga weng December wanaenda kushrehkea nymbni kwao.

Tena hiyo Mbeya sijui wameangalia nini,ni pa hivyo sana hata huwezi kuilinganisha na Moshi mjini na kama ni uchumi basi nadhani Moshi inachangia pakubwa kuliko Mbeya mjini labda wameangalia idadi ya watu kwa kweli
 
Watu wanalima tu masaa 24 ndani ya miezi 11 kasoro mwezi wa 12 tu?
Bas uchagan kungeendelea kuliko mkoa wwte TANZANIA

Siku moja katembelee vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro then urudi usome hii post yako...hakuna mkoa tz wenye nyumba za hali ya juu (maana imevuka standard tayari)kuzidi mkoa wa Kilimanjaro
 
Wachagga Hawana tofauti na makabila mengine hapa nchini katika kuabudu ama kukumbuka mizimu. Pia inasemekana wachagga hufanya matambiko ya kufa mtu ili wafanikiwe zaidi katika biashara zao.

Unaishi mkoa gani next December nikupeleke Kilimanjaro unioneshe tambiko lolote linalofanyika kule
 
Unaishi mkoa gani next December nikupeleke Kilimanjaro unioneshe tambiko lolote linalofanyika kule
Badala ya kuona wivu kwa utamaduni Wa kurudi moshi Christmas, wenye husuda wanakuja na uongo Wa kupakazia eti Kafara Na Matambiko kwa Mizimu! Haaaha mtasema sana hamnaga kitu kama hicho Kule ni Ibada kanisani Na shukrani, kula na kunywa, kukaribishana, kutembeleana, kuzindua majumba,kutambulishana, nyimbo za Injili kwa wingi, Family and Kinship unity. December hii ni green Mungu alitupa mvua Oct + Nov. Karibuni mahusuda mkajifunze mila inayojenga jamii
 
Hii mada imetusaidia sana kuwajua Wachaga wa JF
Hahahaaaaaa!!
 
Wachaga walikuwa na kamtindo ka kuwaacha wake zao Moshi na kwenda mjini kutafuta, hivyo sikukuu ya xmass ikawa ndo muda muafaka wa kwenda kuwaona wake zao na familia, sababu hii sikukuu huwa ni kubwa sana kwa wachaga hapo ndo ukawa mwendelezo hadi Leo..
 
Yesu wangu!Wameniambukiza hadi mtu wa mbee wa mbeya kweeeli!Muda huu nipo majengo kwa mtei uuuwii et mbege ni chakula!!!
 
kilimanjaro ni full green, full kipupwe miezi hii ndio maana kunavutia kwenda, mnaleta old memories back, yaani ni full raha aisee acha japi mwaka huu sijaenda, imeniuma sana
 
Back
Top Bottom