Ndo jifunze kujikaza mkuu....siyo Lazima Kila tobo ukojoeKweli kabisa.....lakini wanaume wengi hatuezi kua marafiki na wanawake.....
Mi wanawake wote nlikua marafiki nao niliwasigelea[emoji23] labda kama sijamfeel au tunajuana kwa ajili ya ishu maalum tu
yaani hata haichukuagi mda mrefu unajua, mkitibuana tu ndo basi hiyo 😅🤣Unakuta mmekuwa maadui ghafla
me ndomana naogopa sana urafiki urafiki huu kati ya mwanaume na mwanamke, hatari sana🤣🤣🤣Imeisha hiyo🤒
Tatizo nina makali[emoji23]Ndo jifunze kujikaza mkuu....siyo Lazima Kila tobo ukojoe
🤣🤣Lazima visuguane
Kunywa chai au maji ya tangawizi kali....🤣🤣🙌Nilijua mie tu.... nakunywa maji hataree
Kujikaza ni kuutesa mwili kihisia 😃Ndo jifunze kujikaza mkuu....siyo Lazima Kila tobo ukojoe
Huduma ya kwanza hiyo...Utakuwa hunipeleki hospital? 😳Si nitaota mizizi ya tangawiz mwenzio?
Kwani we hupendi kulowekewa 😃Na unavyopenda kuloweka🤣🤣🙌
Na ww kinga hutaki unataka mguu kwa mguu 😃Watu hawataki kupima ivo nimeona ngoja nijipende kwanza