Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kutoa, kuzidisha, kugawanya nazo ni arithmetic operations.Kwanini unajumlisha kwa sababu Numerology ni Arithmetic operations ya number au Alphabetical to number value..
Sijui nimekujibu hapo?
Unataka niweke Kalendar ya warumi ya Mwaka gani 😂😂😂 BCE au C..
Unataka rome enzi as Kingdom(Roman kingdom) as Republic (Roman Republic) au As Empire (Roman Empire)..
Unataka Gregory au Julian 😂..
Kwa nini unajumlisha, hutoi, hugawanyi, huzidishi?