DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Huwezi amini Hii coments ndo nilkuwa naisubiria..Hivi unaelewa hata namba ni nini?
Namba za Ki Armenia ambazo zilikuwapo kabla ya Kiingereza si namba?
Namba za Kirumi zinazotumia herufi za alphabet si namba?
Tukiondoa watu wote kukawa na jiwe moja, likaongezeka la pili, kidhahania idadi ya mawe haijaongezeka na kuongeza namba ya mawe kutoka moja mpaka mawili, hata kama hatuna lugha yoyote ya kuandika?
Are you saying the color blue is not blue until we are there to call it blue?
Unakanusha logical fallacy ya argument from tradition kwa kutumia logical fallacy ya logical non sequitur.
Kwani wapi nimesema sitaki documentation? Kumtaja Pythagoras ndiyo documentation?
Sayansi si dini, dini ndiyo ina mitume.
Wewe unataka kufanya sayansi iwe kama dini, iwe na mitume.
The ideas are more important than yhe people in science.
Wewe unataka kufanya watu wawe muhimu kuliko ideas.
You don't understand science.
You are practising religion in science.
Complete with prophets.
And its called "hoisting the opponent on their own petard" au Reverse Psychology..
Umeingia kwenye mtego niliotaka uingie na umeingia mzima Mzma 😀😀..
So Kumbe nmba haina mwanzo so kama haina mwanzo na ipo siku zote huoni ina miliki Certain kind of energy which can Never change regardless on its represantation?
So Regardless of the Language Development The Energy and frequency ya Namba inabki same..
Sasa kwanini unakataa kuhusu Numerology?
Nikikwambia the whole world comes from.number utanielewa?
Au nikimwambia Numbers are special utaelewa sasa?
Kumbuka ni your words Against Yours na nitayatumia kama Refference pia..
Nimecheka kwa sauti hapa mpaka kuna Mtu ameniona amenishangaa 😅😅😅..
Eti prophets!
Kama nilivyosema mwanzoni..
"The Minds decide what the eyes Should see"
Kwa upande wako umetafasiri Maelezo yangu kwa upande ambao kwangu mimi Sijawahi na siwezi kufanya hivyo..
"Quotation in Science is Allowed, Thats where we create foundation of Facts na Nothing kama Unavyosema prophets "