Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

Wanadai mwezi una siku 30 which is 3+0=3
Mimi nadhani hizo ni nyakati zilixo wekwa na mwanadamu na hazina uhusiano na uhakisia wa muda na nyakati zilizo wekwa mwanzoni au zilizo jiweka hapo mwanzo. Sisi tunaweza sema mwezi una siku 30 ila walio pangilia ulimwenfilu mzima au ulimwengu ulivyo jipangilia wemyewe hautambui habari za mwezi mwaka siku wiki wala saa
 
Nakwambia hivi, habari nzima ya mwanzo na mwisho ni mauzauza tu.

Kabla hatujafika huko mbali kwenye ulimwengu ambako kuna kiza kikubwa, tuanze na dunia yetu tu hii ambayo tunaielewa vizuri zaidi.

Unaujua mwanzo au mwisho wa dunia yetu hii, kieneo?
Mkuu hapa napo bado kuna utata maana sio sehemu zote ambazomwanadamu amesha kanyaga hapa duniani. Japo najua unajua kwamba angalau kwa teknolojia tuliyo nayo binadamu ameweza kujua angalau mzingo au eneo la dunia
 
Mkuu,

Ili kujua tabia za namba even inabidi uzijue namba zote even?
 
Nilivyokuwa mdogo, nilikuwa napenda sana kusoma vitabu vya science fiction.

Nilipenda sana kusoma vitabu vya H. G Wells, Arthur C. Clarke na vya Isaac Asimov, pamoja na waandishi wengine wengi.

Sasa, kuna kitabu kimoja cha Dr. Isaac Asimov, sikikumbuki jina, Dr. Asimov alikuwa anazungumzia uhusiano uliopo kati ya Biblia na mfumo wetu wa jua, solar system.

Nikasema Dr. Asimov nipe mambo nipe mambo, haya ndiyo mambo ninayotafuta.

Basi Dr. Asimov akawa ananipeleka katika ile safari, anasema solar system ina miezi mingapi sijui, namba ya hiyo miezi ni sawa na namba ya jina la Yehova lilivyotajwa kwenye kitabu gani, namba hii ya kwenye Biblia ni sawa na hii kwenye solar system, mpaka nikafika sehemu nikawa namuamini Dr. Asimov.

Mwisho kabisa, Dr. Asimov pulled the rug from under my feet.

Akasema hakuna relationship yoyote kati ya vitabu vya Biblia na solar system, hiyo relationship yote niliyoionesha nimeitunga tu kwa kuungaunga mambo.

Alisema nia yake ilikuwa ni kuonesha kuwa mtu yeyote mjanja ukimpa datasets mbili kubwa anaweza kuonesha kuna uhusiano ambao hata haupo.

Kuanzia siku hiyo nimekuwa muangalifu sana kwenye haya mambo ya numerology.
Unachosema ni kweli Kuhusu Numerology..
Kwa sababu Ni mindset against number..

Na numerology hutafutwa Ikikosekana kwenye Namba basi kwenye herufi..

Ila mkuu Huoni kwamba Upekee huo kuhusu Numerology ndo ume-enclause Meaning zote kulingana na Jinsi Maana itakavyojiweka..
Na ndo Frequency na Energy tunazozipata..

Kwa mfano Swala la Miezi 9
  • NI Sawa na Siku 270 ambayo nayo ni sawa na 9
  • Ambayo ni sawa na masaa 6,480 ni sawa na (6+4+8+0=18=9) na jibu linakuja 9
  • Ambayo ni sawa na Dakika 388,800. Ambayo pia ni sawa na (3+8+8+8+0=27=9) na jibu pia litakuja 9
  • Tukienda mbele zaidi Hiyo ni sawa na Sekunde 23,328,000 ambayo ni sawa na (2+3+3+2+8=18=9) ambayo nayo pia ni Tisa..
Why are All those number when You crack them Numerologically Brought you back to number 9..
Kuna msemo mmoja wa kilatin huwa naupenda sana "Negare potes quod vis, sed veritati in eo resistere non potes."
Means "you can Deny what you have to,But the truth remain intact"

Kwenye Kitabu cha "God Delusion" cha Richard Dawkins kwenye chapter ya Science and GOD anasema kuwa
"the planets,Gravity and the universe zote zipo katika mpangilio maalumu wa Number special, Constantly, sometimes Infinity number na kuna wakati Finite na stil zinajidevelop kutokana na Energy and expansion."

Many Scientist na Philosopher Huamini katika Number kuliko chochote kile Numbers Are Devine mkuu
 
IX. NUMBERS

Many numbers in the Bible have significance. The following are some examples.

One signifies the one unique God.

Two signifies fellowship.

Three also signifies God because He is triune. One refers to God’s unity, and three refers to God’s completion.

Four is the first number that is built upon three. It is three plus one. Hence, four is the number of creation. Everything that relates to the creature is four in number. For example, there are four corners of the earth, four seasons, four winds, and four rivers that flow from the garden of Eden. The image in Nebuchadnezzar’s dream has four sections. Four beasts come out of the sea. The living creatures that represent all creation are four in number. The Lord Jesus’ life on earth is recorded in four Gospels. Everything that is produced from God is four in number.

Five is the number of man’s separation. The left hand has five fingers. So does the right hand. Of the ten virgins five are foolish and five wise. Five also signifies human responsibility before God. The ear is one of the five organs, the thumb is one of the five fingers, and the big toe is one of the five toes. Applying the blood to the right ear, the thumb of the right hand, and the big toe of the right foot signifies man’s separation to bear responsibility before God.

Six is man’s number. Man was created on the sixth day. Seven is the number of perfection. Six is less than seven. This means that what man does can never match what God does.

Seven is the number of perfection. This perfection refers to the present temporary perfection; it is not eternal perfection. Three is the number of God. Four is the number of the creature. The sum of the Creator with the creature is perfection. God plus man equals perfection. But this is only three plus four; it is a temporary perfection. Everything temporal in the Bible is signified by seven. For example, there are seven days to a week, seven parables in Matthew 13, seven churches in Revelation, seven lampstands, seven messengers, seven seals, seven trumpets, and seven bowls. All these refer to temporal perfection rather than perfection in eternity.

Eight is the number of resurrection. Seven is a cycle. Eight is the first number after seven. The Lord Jesus resurrected on the eighth day. Hence, eight is the number of resurrection.

Nine is three times three, a multiplicity of God’s number. God’s testimony is not only God’s word but God’s speaking to us.

Ten signifies human perfection. The human number is completed at ten. For example, there are ten fingers to the hands and ten toes to the feet.

Eleven does not have much significance in the Bible.

Twelve is also a number for perfection, but this perfection refers to the perfection in eternity. There are two numbers for perfection: seven and twelve. Seven is divine perfection and has to do with today. Twelve is also divine perfection, but it has to do with eternity. The interesting thing is that in the new heaven and new earth, the number seven will be gone. The New Jerusalem has twelve gates, twelve foundations, the names of the twelve apostles, twelve kinds of precious stones, and twelve pearls. The wall of the city was a hundred and forty-four cubits, which is twelve times twelve. All these will remain forever. Thus, twelve signifies eternal perfection. Why is seven temporal perfection and twelve eternal perfection? Three plus four is simply God plus man, the Creator plus the creature. But three times four is the Creator multiplied by the creature. This means that the two are mingled together. There is a difference between addition and multiplication. In multiplication, God and man are no longer separate. It is a oneness between the creating God and the created beings. Such a oneness is eternal. Hence, the perfection signified by twelve is an eternal perfection.

(How to Study the Bible, Chapter 5, by Watchman Nee)
Ten (10) is not a number by itself, because it comprises of 1 and 0...!
 
Unachosema ni kweli Kuhusu Numerology..
Kwa sababu Ni mindset against number..

Na numerology hutafutwa Ikikosekana kwenye Namba basi kwenye herufi..

Ila mkuu Huoni kwamba Upekee huo kuhusu Numerology ndo ume-enclause Meaning zote kulingana na Jinsi Maana itakavyojiweka..
Na ndo Frequency na Energy tunazozipata..

Kwa mfano Swala la Miezi 9
  • NI Sawa na Siku 270 ambayo nayo ni sawa na 9
  • Ambayo ni sawa na masaa 6,480 ni sawa na (6+4+8+0=18=9) na jibu linakuja 9
  • Ambayo ni sawa na Dakika 388,800. Ambayo pia ni sawa na (3+8+8+8+0=27=9) na jibu pia litakuja 9
  • Tukienda mbele zaidi Hiyo ni sawa na Sekunde 23,328,000 ambayo ni sawa na (2+3+3+2+8=18=9) ambayo nayo pia ni Tisa..
Why are All those number when You crack them Numerologically Brought you back to number 9..
Kuna msemo mmoja wa kilatin huwa naupenda sana "Negare potes quod vis, sed veritati in eo resistere non potes."
Means "you can Deny what you have to,But the truth remain intact"

Kwenye Kitabu cha "God Delusion" cha Richard Dawkins kwenye chapter ya Science and GOD anasema kuwa
"the planets,Gravity and the universe zote zipo katika mpangilio maalumu wa Number special, Constantly, sometimes Infinity number na kuna wakati Finite na stil zinajidevelop kutokana na Energy and expansion."

Many Scientist na Philosopher Huamini katika Number kuliko chochote kile Numbers Are Devine mkuu
Kwa hivyo watoto wote wa watu wanazaliwa exactly dakika 388,800 after conception?
 
Sijasema kuwa Ni wote..
Ninachozungumzia ni asilimia kubwa wanacheza kwenye Range exactly the same as that na ukiaproximate inakuja hiyo Dakika..

Kumbuka ni Asilimia kubwa na sio wote

(6+4+8+0=18=9) why are you adding, not subtracting, multiplying or dividing?

Isn't this arbitrarily pointed at producing the answer you want?

Ukishaanza na "asilimia kubwa wanacheza kwenye range exactly the same as that na uki approximate inakuja hiyo dakika" unatengeneza oxymoron ya "almost exactly".

It is either exactly or almost.

I understand ranges and all that.

Look, if you want to say that the number pi seems to have some special importance because it is in the formulae to create a perfect cycle and the three dimension manifestation of that cycle is a sphere, and nature favors that to form bodies due to a center of gravity at the center of a sphere being perfectly equidistant from all points on the surface, forming some sort of a sphere, even if not a perfect one, I understand that.

One can show the universality of that principle. Not only are planets in our solar system following this formulae and spherical, the sun is, the moons are, any body that is larger than a certain threshold is, other stars are, planets orbiting other stars are, even black holes seem to be following this formulae.

We can even predict that once we discover moons orbiting exoplanets, they will be based on this universal format.

So one could talk about pi being central with unique properties.

But this 9 months business, because humans give birth in 9 months? Don't you see that as anthropic bias? Elephants give birth in 2 years. Why not 9 months?

In fact, one can argue that the number pi is truly special, because it is a ratio regardless of units used.

Why say 9 months and not 3/4 of a year? If you express the same period as 3/4 of a year, you don't have 9 there. And even if you try your mumbo jumbo numerology of arbitrarily adding up 3 and 4, you get 7 not 9.

But here is the kicker.

I can show you how to make that work too, just to show you that one can string up together any tale to support a "special" number.

You see, even as you express 9 months as 3/4 of a year, 3 plus 4 is 7, and the seventh month of the Roman year is September, which is the ninth months of our year.

So 3 plus 4 is 7, which gives us September in the Roman calendar, which equals the 9th month in our present calendar.

We are back at 9. Special number.

You see what I did there?
 
Ukishaanza na "asilimia kubwa wanacheza kwenye range exactly the same as that na uki approximate inakuja hiyo dakika" unatengeneza oxymoron ya "almost exactly".

It is either exactly or almost.

I understand ranges and all that.

Look, if you want to say that the number pi seems to have some special importance because it is in the formulae to create a perfect cycle and the three dimension manifestation of that cycle is a sphere, and nature favors that to form bodies due to a center of gravity at the center of a sphere being perfectly equidistant from all points in the surface, forming some sort of a sphere, even if not a perfect one, I understand that.

One can show the universality of that principle. Not only are planets in our solar system following this formulae and spherical, the sun is, the moons are, any body that is larger than a certain threshold is, other stars are, planets orbiting other stars are, even black holes seem to be following this formulae.

We can evennpredict that once we discover moons orbiting exoplanets, they will be based on this universal format.

So one could talk about pi being central with unique properties.

But this 9 months business, because humans give birth in 9 months? Don't you see that as anthropic bias? Elephants give birth in 2 years. Why not 9 months?

In fact, one can argue that the number pi is truly special, because it is a ratio regardless of units used.

Why say 9 months and not 3/4 of a year? If you express the same period as 3/4 of a year, you don't have 9 there. And even if you try your mumbo jumbo numerology if arbitrarily adding up 3 and 4, you get 7 not 9.

But here is the kick.

I can show you how to make that work too, just to show you that one can string up together any tale to support a "special" number.

You see, even as you express 9 months as 3/4 of a year, 3 plus 4 is 7, and the seventh month of the Roman year is September, which is the ninth months of our year.

So 3 plus 4 is 7, which gives us September in the Roman calendar, which equals the 9th month in our present calendar.

We are back at 9. Special number.

You see what I did there?
Mkuu!
Hiyo Sentensi niliyoweka hapo Juu kuiweka kama "synonyms" ya "almost exactly" ni "uncognitive parallel," tena kwa Logical Personel kama wewe..
Kwahyo Huwezi kuiita oxymoron Statement..
Bora Hata ungesema a tautology one;..

Kwa sababu Kuna sentensi ya Mfananisho na baadaye kuna sentensi iliyoandika na ikitenganisha maana na sentensi hizo mbili..
Its A simple Figure in Fiction Writing..

Ziko namba Nyingi sio Pi tu..
I think wewe pia unazijua hilo, We have A Drake Equation, we have Gravity,e.tc..

Each number has a meaning on its own , Dont you think that Even an elephant has its meaning on her number of Birth amd delivery? dont you ?

Lets looks..
2 years =24 Months Which is 6
Hii 6 inamaanisha nini and what its relation with 2 as the matter of years..

In numerology, the number 2 is associated with balance, cooperation, and relationships.
It signifies diplomacy, teamwork, and a harmonious coexistence.

so the Energy from number 2 are often considered peacemakers, sensitive, and inclined towards forming connections with others...(I will connect Later with Elephants)

number 6 associated with harmony, balance, and nurturing.

It is considered a symbol of responsibility, love, and domestic affairs. The energy from 6 is caring, and focused on creating a harmonious environment.

So Lets Make the connection on what we got from Elephants What are elephants Behavior Mkuu!

Its almost The same as the number which represents Them so When an elephant is born..The Enviromental Soldier "the peacemaker" is born which cared about other animals...(Go and study Behavior of Tembo)..

So the numerology Haikuja Bahati mbaya..
Namba 9 ni kwa ajili ya Foundation ya Binadamu so as the Humanoid Is the foundation of all Creature..

Mfano wako kuhusu 3/4 as Robo Tatu ya mwaka Lets Kick it I love Challenge espeacially on Math and Number (Numerology)..

So the 3 is Over 4 what does it means in Numerology..
3 means The completion of the cycle or the "complete cycle" or Complete form..

And what about 4 four means the Birth and Dealth or Dealth and rebirth So its Number of Birth..

So you just made the puzzle easy..

9 months Means its (3/4) "the completion of the cycle of Birth" or "The Complete cycle over Birth"

Kumbuka "Antecessor et medievales non sunt insani"
Yaani "The ancestor and medieval are not crazy"...
 
The Drake Equation is not a number, it is an arbitrarily made equation.

Drake himself meant to use the equation as a springboard for further discussion at a conference, not as anything special.

If each number has a meaning on its own, then each number is special.

You can choose to look at how 9 is slecial just as you can choose to look at how 2 is special.

Which means neither is that special.
 
The Drake Equation is not a number, it is an arbitrarily made equation.
Which Give us number For Extraterrestrial..
Why uko Phobia na kutamka Namba..
Equation haiwezi kuwa namba ila inatupa namba..
That number ndo inayoweza kuonyesha the Really Meaning of that we are looking for..
If each number has a meaning on its own, then each number is special.

You can choose to look at how 9 is slecial just as you can choose to look at how 2 is special.

Which means neither are that special.
nitarudia Hili Kusema tena..
each Number Has a special Meaning and Offcuz a disntict meaning with different value of energy and different frequency..
thats What made each number to be special..

Your Logical Point of view Haiko Sahihi Mkuu kwa kuwa kila Moja ina special Capability basi haiwezi kuwa special?

Whats Your Definition of special?

Kwangu mimi..

Special means specific methods au tools used for a particular purpose, often in a specialized or unique way.
sasa kwa mfano nikisema Fingerprint ni special..

Unafikiri itakuwa Disqualified kwa sababu Kila mtu duniani ana finger prints?
But Kila mtu ni unique thats how the numbers Are kila number ni unique na special on its own Feequences and Energy..
 
Which Give us number For Extraterrestrial..
Why uko Phobia na kutamka Namba..
Equation haiwezi kuwa namba ila inatupa namba..
That number ndo inayoweza kuonyesha the Really Meaning of that we are looking for..

nitarudia Hili Kusema tena..
each Number Has a special Meaning and Offcuz a disntict meaning with different value of energy and different frequency..
thats What made each number to be special..

Your Logical Point of view Haiko Sahihi Mkuu kwa kuwa kila Moja ina special Capability basi haiwezi kuwa special?

Whats Your Definition of special?

Kwangu mimi..

Special means specific methods au tools used for a particular purpose, often in a specialized or unique way.
sasa kwa mfano nikisema Fingerprint ni special..

Unafikiri itakuwa Disqualified kwa sababu Kila mtu duniani ana finger prints?
But Kila mtu ni unique thats how the numbers Are kila number ni unique na special on its own Feequences and Energy..
First things first.

What does "which gives us number for extraterrestrial" mean?

This statement is vague as fvck.

The Drake Equation does not give you a number for jack.

Here is what the Wiki says.

"The equation was formulated in 1961 by Frank Drake, not for purposes of quantifying the number of civilizations, but as a way to stimulate scientific dialogue at the first scientific meeting on the search for extraterrestrial intelligence (SETI)."

It was meant to just stimulate scientific dialogue on the subject, not to quantify anything.

If every number is special, then special loses meaning of being special in numbers.

If everybody has a car, then having a car is nothing special.

Id everybody has fingerprints, even unique fingerprints, then fingerprints are not special, even as they may be unique for everybody.
 
First things first.

What does "which gives us number for extraterrestrial" mean?

This statement is vague as fvck.

If every number is special, then special loses meaning of being special in numbers.
kweli nimeamini "The mind Choose what the Eyes want to see"

Kama hujaelewa Nilichoamaanisha hivi Drake Equation ni just probabilistic formula ambayo ndo inafanya estimation ya number ya active, communicative extraterrestrial civilizations katika our Milky Way galaxy.

Neno Extra-ziada (Nje) , Terrestrial (Dunia yetu hii)..

Uspecial Unakuja kwa sababu kila namba inavitu vyake na Ni unique kwa sifa yake na hiyo ndo maana ya special hebu wewe nipe maana yako ya special?
 
Nimeona umetaka kuiweka Drakes Equation, an arbitrary, speculative, probabilistic, estimation, designed at stimulating conversation rather than quantifying anything, katika level ya vitu kama constants of nature na pi.

This is wrong.
 
Drake Equation haina Umri mrefu kwenye Physics hasa Astrophysics..what if miaka ijayo ikawa constants?

Maana Drake Eqn ina umri hauzidi Hata Miaka 63..
Tusiilinganishe na Pi yenye Umri zaidi ya karne na makarne..

Maybe itakuja Kuchange baadae Science changing kila siku..

Maana pi,Gravity na hizo such and such ambazo zinafahamika kama Constnts mwanzoni zilianza kama arbitrary speculative na approximately numbers..labda kama umesahau au unataka kujisahaulisha..mpaka kina william jones na euler ndo wakaipa chart kwa sasa.kama ilivyo..

"Kai aftó den einai láthos méchri na apodeichtei epistimoniká lanthasméno"

"And this is not wrong until proven scientifically wrong."
 
Ukishaleta argument ya "what if", kama msingi wa kitu kuwa valid, hata kwa future potential, anything is possible.

And impossible.

And possible and impossible at the same time.

Chaos.
 
Ujushaleta argument ya what if, anything is possible.

And impossible.

And possible and impossible at the same time.

Chaos.
Haha haya bhna
"Umeshinda bhna"
Anywei ulipo cite Tu "Aristote Law's of contradiction"

Unatafuta njia ya kukimbia Uhalisia 😀😀😀
 
Back
Top Bottom