Namba imetengenezwa?
Unajua argument ya "according to Pythagoras mwenyewe" is a logical fallacy, argument from authority. Unaelewa hilo?
Unajua jibu la "vitu vyote vipo from ancenstry history" ni logical fallacy, argument from tradition?
Hiyo arbitrary numerology ndiyo iko proven scientifically? How is something arbitrary scientific?
Bado hujajibu kwa nini 8 + 1, na si 8 - 1.
So unataka kusema namba haijatengenezwa 😀😀
Nikukumbushe kitu..
among the oldest known languages, dating back to around 3000 BCE zipo Aramaic as oldest Semitic languages na pia kuna Greek ,Sumerian, Akkadian, and Egyptian..
Baadae kwenye miaka ya 1300 BCE, Ndo tunapata Lugha kama Hebrew na Arabic..
Wakati huo english haipo kabisa Hakukuwa na Namba..Walitumia herufi zao kwa utambuzi wa kihesabu kama Hebrew na aramaic Aleph ilikuwa Moja na Bet ilikuwa 2 nakuendelea..
Unaita Logical fallacy Really?
Hakuna science bila history and doccumentation?
History and doccuments Preserve the ideas or Theory which baadae zinakuja kuwa Proved kama Facts au Experimental correct..
Ntazungumzia kitu kimoja tu Electromagnetism na magnetism..
Haya majembe hapa chini ndo yalifanya Kugundulika kwake na yote yalikuta history za newtons na wenzake huko wakaanza kuzifanyia kazi na kila alipofanya aliacha docc..
Hans Christian Ørsted (Discovered the connection between electricity and magnetism, 1820) Ila baadae akaja jembe André-Marie Ampère (Formulated Ampère's Law, early 1820s) Ukiachama na huyu muhuni ambaye anafahamuka sana Michael Faraday (Discovered electromagnetic induction, early 1830s) na mwisho alikuwa James Clerk Maxwell (Unified electromagnetic theory with Maxwell's equations, 1860s..
science is made with theory and observative equation au experiments..
Huwezi kukataa kuwa science haiongozwi na history mkuu!..
Nilikuwa naichukia history kipindi nasoma sana Na nilipataga "C" peke yake O Level maana Nilkuwa Siipendi lakini haiwi kigezo cha kusema Kuwa Sio chanzo cha experiment na thoey