Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hii hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiz ni normal maths,9 x 11 = 99 -> 9+9= 18 -> 1+8=9 solved
Your perception or your thinking capacity don't legalize it to be the objective and the facts.Namba,miezi, na siku hazina maana yoyote bali mwanadamu ndio America maana na kuzi name.ni kama unavyo zaa mtoto na ukaamua umuite jina x ba siyo y just utambulisho but hakuna maana yoyote hivyo hivyo kwenye numbers.
You too damn mad! Ndo dunia uliyoikuta no need to question just let it goHii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9
Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?
View attachment 2899279
Hapa umemaliza. Wanatakiwa wahesabu baada ya LMP na kuingia kwa mimba. wao wanfuata makadi ya Clinic.Mtoto anakaa tumboni kwa wiki 40 ambazo ni sawa na miezi kumi (full term).
Miezi Tisa ni term ,miezi kabla ya Tisa ni pre term na miezi baada ya kumi ni post term.
Hivyo mtoto mkamilifu anazaliwa ndani ya miezi kumi na sio Tisa japo kama kutakuwa na complications za uzazi atazalishwa kwa miezi hiyo Tisa ila kwa uangalizi mkubwa mno .