Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

Namba 9 ni foundation Number..
The number which set all things into existence..
9 planet
9 Human Body system (Mifumo 9 ya mwili)

9 (Nine) Pia ni Namba ya Mama "WomanHood"
Feminine (Femi "Nine").. Femi means Woman So Feminine its the Woman in Nine..

Na Tisa ni namba Pekee ambayo ukiizidisha na namba yoyote Jibu lazma lipunguzwe kuwa 9..

Kwa mfano 9x2 =18=1+8=9
9×6=54=5+4=9
Etc...

360°
Kama Degree ya sphere na Duara au Dunia Yetu nayo pia chanzo chake ni 9 energy..

So 3+6=9

Tisa ina mambo mengi sana Haya ni machache sana
Mkuu umenishangaza Sana.
Ñi Kweli numbers or hasabu ndio lugha ya Universe.
Mfano Pi ni 3.14 itaendelea kuwa hivyo Tu infinity time.

9*9 =81, 8+1=9,

So kuna la kujifunza hapa,

Kuna secret kwenye numbers, na wengi wetu hatujui jinsi ya kuzitumia
 
Ni upuuzi tuu hiyo ni Lebo tuu tungeweza kumua mwezi mmja uwe na siku 270
 
View attachment 2899650
Umeona Judaism symbol yao inaonyesha uumbaji ama ratio ambayo ndio hata pyramid of Giza was constructed by
Yeah Uumbaji..
But Symbolically it has alot of Meaning mkuu..

Kwanza we have two Triangle..

First one its looking up..
images.png
This Tringle ambayo inaangalia Juu hutambulika kama Phallus au Penis au Unaweza ukaita mwanaume..

Second tuna hii inayoangalia Chini

images.png
Na hii inayoangalia Chini inasymbolise Chalice au Wombs (Woman Reproductive system) au inaweza ikawa symbolise na cup, Vessel au Kwa wakatolic Huita The Holy grail..

Sasa zikikutana Pamoja ndo tunaunda kitu kinaitwa Shatkona
download (1).png

Shatkona represents both the male and female form, as a symbol of the divine union of masculine and feminine and as a source of all creation...(Au kwa Wale wanaochimba Sana Inaitwa Sexual Alchemy)..

Lakini pia inaweza ikatambuliwa na illuminati kama The pentagram with 6 pointing stars..
Au unaweza ukaita vyovyote..
download.jpeg
As the Sources of all Power..

So tuendleee..

Kwa Freemason kuna mchoro maarufu sana Ule wenye G and Compass Bikari na Ruler..
download (1).jpeg

This Symbol 👆 ni sawa na hii hapa chini 👇
download (1).png
Japo utofauti ni mdogo sana..

Moja ni kwa Ajili ya Power,Utawala na Nyingine ni Creation..

Hiyo ya Freemason ni kwa ajili ya Utawala,Nguvu na mamlaka..
wengi wanaweza kukwambia kuwa The Middle G inamaanisha Geometry as the Sources of Masonry or Tools..
But In realy Meaning Its means GOD au GRANDMASTER....

So male and female meet to Create The God'S power ..Or The Shatkona union can is the key to create God's Power..
As shown Bellow..

download (3).jpeg

Kwahyo Mkuu Shatkona Symbol Inaweza kumaanisha Vitu vingi sana na Actually Sio Nyota kama watu wanavyojidanganya..

Its Sexual Alchemy
 
Mkuu umenishangaza Sana.
Ñi Kweli numbers or hasabu ndio lugha ya Universe.
Mfano Pi ni 3.14 itaendelea kuwa hivyo Tu infinity time.

9*9 =81, 8+1=9,

So kuna la kujifunza hapa,

Kuna secret kwenye numbers, na wengi wetu hatujui jinsi ya kuzitumia
Kuna Siri kubwa sana hakika..
Zamani ilikuwa huwezi kuitwa Philosopher Kama huna hata kijielimu cha Numerology..(Elimu ya Namba)

Kadhalika hata sasa huwezi kuwa Mwalimu au kiongozi wa Dini ya Kiyahudi (Rabbi,Rabboni) kama Hujui Gematria (Elimu ya Number kwenye Biblia kwa herufi za kihebrania)..

So thats means The universe Control and works through numbers
 
Yeah Uumbaji..
But Symbolically it has alot of Meaning mkuu..

Kwanza we have two Triangle..

First one its looking up..
View attachment 2899796
This Tringle ambayo inaangalia Juu hutambulika kama Phallus au Penis au Unaweza ukaita mwanaume..

Second tuna hii inayoangalia Chini

View attachment 2899802
Na hii inayoangalia Chini inasymbolise Chalice au Wombs (Woman Reproductive system) au inaweza ikawa symbolise na cup, Vessel au Kwa wakatolic Huita The Holy grail..

Sasa zikikutana Pamoja ndo tunaunda kitu kinaitwa Shatkona
View attachment 2899809

Shatkona represents both the male and female form, as a symbol of the divine union of masculine and feminine and as a source of all creation...(Au kwa Wale wanaochimba Sana Inaitwa Sexual Alchemy)..

Lakini pia inaweza ikatambuliwa na illuminati kama The pentagram with 6 pointing stars..
Au unaweza ukaita vyovyote..
View attachment 2899812
As the Sources of all Power..

So tuendleee..

Kwa Freemason kuna mchoro maarufu sana Ule wenye G and Compass Bikari na Ruler..
View attachment 2899816

This Symbol 👆 ni sawa na hii hapa chini 👇

View attachment 2899809
Japo utofauti ni mdogo sana..

Moja ni kwa Ajili ya Power,Utawala na Nyingine ni Creation..

Hiyo ya Freemason ni kwa ajili ya Utawala,Nguvu na mamlaka..
wengi wanaweza kukwambia kuwa The Middle G inamaanisha Geometry as the Sources of Masonry or Tools..
But In realy Meaning Its means GOD au GRANDMASTER....

So male and female meet to Create The God'S power ..Or The Shatkona union can is the key to create God's Power..
As shown Bellow..

View attachment 2899818

Kwahyo Mkuu Shatkona Symbol Inaweza kumaanisha Vitu vingi sana na Actually Sio Nyota kama watu wanavyojidanganya..

Its Sexual Alchemy
Nimekuja kugundua kuwa freemason Wao wanajua secret of numbers and how to used them.

Alama za bikari,pembe tatu, etc hivi vyote ni vifaa vya ujenzi .

Na majengo ya ulaya yaliyojengwa Muda mrefu mpaka leo yapo, ukiangalia architecture yake ni amazing Work. Yali jengwa na wajenzi huru, Freemasons

Kuna haja ya kujua mathematical formulas and they work in universal laws
 
Kuna Siri kubwa sana hakika..
Zamani ilikuwa huwezi kuitwa Philosopher Kama huna hata kijielimu cha Numerology..(Elimu ya Namba)

Kadhalika hata sasa huwezi kuwa Mwalimu au kiongozi wa Dini ya Kiyahudi (Rabbi,Rabboni) kama Hujui Gematria (Elimu ya Number kwenye Biblia kwa herufi za kihebrania)..

So thats means The universe Control and works through numbers
Rabbon huyu wa JF 😂.
Mkuu una PDF cha kuanzia numerology?
 
Kwa habari ya ujauzito wa mtoro huwa wanahesabu kwa wiki ambayo ina siku 7. So mwezi mmoja wa tumboni ni siku 28 sio 30 wala 31
 
Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.

Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9

Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9

Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?

View attachment 2899279
Miezi tisa haina kitu chochote special, ni muda wa mtoto kuweza kukomaa na kuzaliwa vizuri tu.

Tembo wanabeba mimba kwa miaka miwili, kutokana na biology yao.

Swali lako lingeweza kuwa na uzito zaidi kama viumbe wote wanaobeba mimba wangekuwa wanabeba mimba kwa miezi 9.

Kwa sasa hivi umeuliza swali lenye "anthropic bias" tu.

Yani umempa mtu u special fulani ambao hana. Umemfanya yeye kuwa ndiyo kipimo, wakati si kipimo.

Kuna wanyama wengi sana wanabeba mimba kwa muda tofauti na huyu mnyama anayeitwa mtu.
 
Uspesho wa mwanadamu upo mkuu. Nadhani miongoni mwa viumbe ambavyo interejensia yao ni kubwa basi hawa wanyanya binadamu wapo top 3 au unasemaje kiongozi wangu? Sasa kwa uspesho huohuo tumjadili kama kiumbe pekee.
 
Unaondoka katika muktadha wa mimba kuwa ya miezi 9.

Unapokwenda ni kwenye kusema mtu ni special kwa sababu kaumbwa na Mungu atawale viumbe wengine.
 
Back
Top Bottom