Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah.Nilijua upo full packed na issues za akina diamond na konde kumbe hadi haya mausala uko vizuri 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah.Nilijua upo full packed na issues za akina diamond na konde kumbe hadi haya mausala uko vizuri 😁
Mbona simple sasa9 x 1 = 9.
9 x 11 =99
Lete maneno dokta
Umenipiga kamba hapa mwamba..ila umeumiza kichwa honestly though am not convinced yetMbona simple sasa
Ngoja nisaidie huyo uliye mquote .
9×1=9 ambayo sawasawa pia na kuandika 9+0=9
9×11=99 ,9+9=18 , 1+8=9
Hence shown!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Una overthink katika vitu visivyo na maanaHii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9
Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?
View attachment 2899279
Freemason wanaiga kwa MunguMkuu kama umefika miaka 18, am sorry kwa kizazi chako,
Kama bado hujafika miaka 18, usijali mtoto, hio ni kazi ya freemason ,😂😂😂
Wapi panakutatizaUmenipiga kamba hapa mwamba..ila umeumiza kichwa honestly though am not convinced yet
99=9+9=18=99 x 1 = 9.
9 x 11 =99
Lete maneno dokta
Safi..Mtoto anakaa tumboni kwa wiki 40 ambazo ni sawa na miezi kumi (full term).
Miezi Tisa ni term ,miezi kabla ya Tisa ni pre term na miezi baada ya kumi ni post term.
Hivyo mtoto mkamilifu anazaliwa ndani ya miezi kumi na sio Tisa japo kama kutakuwa na complications za uzazi atazalishwa kwa miezi hiyo Tisa ila kwa uangalizi mkubwa mno .
Miracles of no. 9: 1x9=9, 2x9=18(9+9), 3x9=27(2+7=9), 4x9=36(3+6=9), 5x9=45(4+5=9), 6x9=63(6+3=9), 7x9=72(7+2=9), 8x9=81(8+1=9), 9x10=90(9+0=9), 11x9=99(9+9=18/2=9) na 12x9=108(1+0+8=9). Na hapo mtasema ni Freemason. Jifunzeni miujiza ya namaba.....Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9
Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?
View attachment 2899279
9x1?99=9+9=18=9
Freemason ilianzia kwa genius Kinf Solomoni alie kubalika Mbinguni,Duniani na kuzimuMiracles of no. 9: 1x9=9, 2x9=18(9+9), 3x9=27(2+7=9), 4x9=36(3+6=9), 5x9=45(4+5=9), 6x9=63(6+3=9), 7x9=72(7+2=9), 8x9=81(8+1=9), 9x10=90(9+0=9), 11x9=99(9+9=18/2=9) na 12x9=108(1+0+8=9). Na hapo mtasema ni Freemason. Jifunzeni miujiza ya namaba.....
walichukua maji wakayaweka kwenye baluli ya vibration ya Hz369 wakastukaIf you only knew the magnificence of 3, 6 and 9, you would have a key to the universe”. “If you want to find the secrets of the universe, think in terms of energy, frequency and vibration”. “My brain is only a receiver, in the Universe there is a core from which we obtain knowledge, strength and inspiration
Nikola Tesla
🤣9x1?
Mungu huyo huyo anamwambia muarabu aoe wake wanne alafu anamwambia myahudi aoe mke mmoja au asioe kabisa kama anataka kumtumikia...afu wewe mbongo wa kimara bonyokwa unajifanya "ndio Mungu kasema".. 😂amkeni jamani hizi dini za kitapeli tu
Kwenye suala la uumbaji hesabu hazihepukiki.Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.